Hili suala sio la kubishaniwa mkuu,mziki upo hivi Kila mtu Kuna mtu anamkubali na wote hatuwezi kumuelewa mtu Mmoja..ndio maana list ya best rapper ya rolling stones na billboard tofauti... Ngwair mkali,chid mkali pia,ukisema nichague namchagua Ngwair