Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ngwair alikua melodic rapper, lazima upende vocal zake na sio yy yoyote anayefanya melodic rap utampenda lakini hii haimaanishi kuwa ana flow nzuri na amewazidi wengineHaijalishi nyimbo ni remake au vipi, point ni kwamba kwa aina ya vocal yake ni rahisi kua versatile tofauti na chid,..Melodic Rap..by the way Kila mtu na mkali wake,Kuna mwamba anaitwa Noorah kavurugwa