Langa hajawahi toa nyimbo zaidi ya 2 hitUkweli Langa Kileo alikua bora Lyrically n Flow kuliko Ngwea
"Watoto wa uswazi hawana matumaini, ndoto zao ni ujambazi sababu ya umaskini.
Enzi hizo Computer chache ila Beats zilikuwa hatari sana.A.K.A MIMI hiyo ni album bora ya muda wote ya Albert mangwea kulikuwa na hit songs zilizobamba kipindi iko
1-ghetto langu
2-skiliza jide ft fa
3-she got gwan
4-weekend
5-mikasi
6-bado nimo ft TID
7-kimya kimya
Najua ipo siku utakuja kumlinganisha p funk majani/master j na akina s2kizzy/laizer
Unaruhusiwa Kwan wakati ulikuwa na ten years au zaid so ulikuwa na ufahamu mzuri unless umezaliwa na kulelewa bushWa 94 tunaruhusiwa kuchangia?
Sasa wasimjaze ujingaMziki haulipi bongo[emoji1787]hata Domo na crew yake walibeba Sana sembe enzi za kikwete na ndiyo iliyomtajirisha Domo,ngwea ile ilikuwa ajali kazini tu,so usimseme hata hao punda wengine walikuwa na wafadhili wa kuwavusha eapot kirahisi tu,ndo pona yao
Before or after death baada ya CMG kumpa promo?Kuna wengine kwa kifupi wameshapotea, umeambiawa usiyaguse maji km hauwezi kuogelea, wamebaki kutapatapa wameshiwa Cha kuongea, wamebaki kum diss ngwea,............. NILIKUA NAPENDA SANA FLOWZ ZAKE
kha!! Ili tu upate comments nyingi 😁.. hivi si ni ww pia ulisema MICHAEL JACKSON hana jambo?Habari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.
Kwenye kimbia hyo... kila mtu alikua mtamu kwenye angle yake.Ukweli Langa Kileo alikua bora Lyrically n Flow kuliko Ngwea
"Watoto wa uswazi hawana matumaini, ndoto zao ni ujambazi sababu ya umaskini.
Wabongo ambao walishamkataa akiwa hai,baada ya kufa mapambio yakaanza.Kuna ile mtu anakua maarufu na kupata sifa zaidi baada ya kifo chake. Nadhani ndo iyo imemkuta Ngwair
Hiyo kimya kimya umetupiga hapoA.K.A MIMI hiyo ni album bora ya muda wote ya Albert mangwea kulikuwa na hit songs zilizobamba kipindi iko
1-ghetto langu
2-skiliza jide ft fa
3-she got gwan
4-weekend
5-mikasi
6-bado nimo ft TID
7-kimya kimya
Najua ipo siku utakuja kumlinganisha p funk majani/master j na akina s2kizzy/laizer
Wanafiki mnoWabongo ambao walishamkataa akiwa hai,baada ya kufa mapambio yakaanza.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Mama angu yupo kaburini. Hakuna JF na hajawahi tumia JF 😀Alisema mama ako hivyo[emoji16]
Hapana jamaa kichwani yuko vizuri ila miziki anafosiWanachomfanya huko twitter hadi huruma kuna clip yake moja alikuwa yupo times fm mtangazaji anamwekea biti halafu anamwambia tupe freestyle Wakazi anadai "leo sijajiandaa kwa freestyle.........." [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi wakazi hata uniwekee mil 1,uniambie nikutajie nyimbo yake hata moja sijui ana trend tu kwa kujiona anajua sana kisa kakaa US ila ni mweupe kishenzi.
Hili song ni moto.Ngoja kwanza nikasikilize "Nipeni dili masela". The song which was produced by Dunga then I'll come back to comment anything here.
Na fid q unamuweka wapi?Naona umekuwa inspired na mjadala wa Twitter wa wale watafuta attention.
Anyways Mangwea ndio msanii namba moja wa rap wa muda wote hapa Tanzania. Kwa mujibu wangu mimi mbobezi wa muziki wa kibongo.
Talent yake haijawai kuwa na mfano.
Alicho kiongea ww na yy ni the same ila different location.Wakazi wa nini apa?
KIMYA KIMYA WAS THE MF HIT!!🙌A.K.A MIMI hiyo ni album bora ya muda wote ya Albert mangwea kulikuwa na hit songs zilizobamba kipindi iko
1-ghetto langu
2-skiliza jide ft fa
3-she got gwan
4-weekend
5-mikasi
6-bado nimo ft TID
7-kimya kimya
Najua ipo siku utakuja kumlinganisha p funk majani/master j na akina s2kizzy/laizer
Simuanzishii maada ya kwa ulicho kiongea ww na yy ni the same ndio maana ni kawaaunganisha.Wakazi wa nini humu anzisha mada yake