Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

A.K.A MIMI hiyo ni album bora ya muda wote ya Albert mangwea kulikuwa na hit songs zilizobamba kipindi iko
1-ghetto langu
2-skiliza jide ft fa
3-she got gwan
4-weekend
5-mikasi
6-bado nimo ft TID
7-kimya kimya

Najua ipo siku utakuja kumlinganisha p funk majani/master j na akina s2kizzy/laizer
Enzi hizo Computer chache ila Beats zilikuwa hatari sana.


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mziki haulipi bongo[emoji1787]hata Domo na crew yake walibeba Sana sembe enzi za kikwete na ndiyo iliyomtajirisha Domo,ngwea ile ilikuwa ajali kazini tu,so usimseme hata hao punda wengine walikuwa na wafadhili wa kuwavusha eapot kirahisi tu,ndo pona yao
Sasa wasimjaze ujinga
 
Kuna wengine kwa kifupi wameshapotea, umeambiawa usiyaguse maji km hauwezi kuogelea, wamebaki kutapatapa wameshiwa Cha kuongea, wamebaki kum diss ngwea,............. NILIKUA NAPENDA SANA FLOWZ ZAKE
Before or after death baada ya CMG kumpa promo?
 
Habari zenu wadau wa sanaa,

Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?

Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?

Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!

Naombeni kuwasilisha.
kha!! Ili tu upate comments nyingi 😁.. hivi si ni ww pia ulisema MICHAEL JACKSON hana jambo?
 
A.K.A MIMI hiyo ni album bora ya muda wote ya Albert mangwea kulikuwa na hit songs zilizobamba kipindi iko
1-ghetto langu
2-skiliza jide ft fa
3-she got gwan
4-weekend
5-mikasi
6-bado nimo ft TID
7-kimya kimya

Najua ipo siku utakuja kumlinganisha p funk majani/master j na akina s2kizzy/laizer
Hiyo kimya kimya umetupiga hapo

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Wanachomfanya huko twitter hadi huruma kuna clip yake moja alikuwa yupo times fm mtangazaji anamwekea biti halafu anamwambia tupe freestyle Wakazi anadai "leo sijajiandaa kwa freestyle.........." [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi wakazi hata uniwekee mil 1,uniambie nikutajie nyimbo yake hata moja sijui ana trend tu kwa kujiona anajua sana kisa kakaa US ila ni mweupe kishenzi.
Hapana jamaa kichwani yuko vizuri ila miziki anafosi
 
Naona umekuwa inspired na mjadala wa Twitter wa wale watafuta attention.

Anyways Mangwea ndio msanii namba moja wa rap wa muda wote hapa Tanzania. Kwa mujibu wangu mimi mbobezi wa muziki wa kibongo.
Talent yake haijawai kuwa na mfano.
Na fid q unamuweka wapi?
 
A.K.A MIMI hiyo ni album bora ya muda wote ya Albert mangwea kulikuwa na hit songs zilizobamba kipindi iko
1-ghetto langu
2-skiliza jide ft fa
3-she got gwan
4-weekend
5-mikasi
6-bado nimo ft TID
7-kimya kimya

Najua ipo siku utakuja kumlinganisha p funk majani/master j na akina s2kizzy/laizer
KIMYA KIMYA WAS THE MF HIT!!🙌
 
Back
Top Bottom