Samaritan Nemesis
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 239
- 284
CNN ilimfanya fid Q akafuta verse yake na kuandika upya. Aliona yupo miles away na verse za mwana FK21Kuna mdude wa aka Mimi,Speed 120 ,CNN halafu kuna moja kati ya verse yangu bora sana kwenye wimbo wa Msela ya KR Mulla ft Ngwair,Nature,ile verse ndio alinyonga kabisa halafu kwa Mujibu wa KR wakati akihojiwa na Jabir wa EFM ile verse ali freestyle.
Msumbufu tu huyo,anapata wivu hata Kwa marehemu?
Ila bado fid q ni mkaliCNN ilimfanya fid Q akafuta verse yake na kuandika upya. Aliona yupo miles away na verse za mwana FK21
Mnaomsifia ngwair mna hoja zipi,?Simuanzishii maada ya kwa ulicho kiongea ww na yy ni the same ndio maana ni kawaaunganisha.
HALAFU JIFUNZE KUWASILISHA MAADA KWA HOJA NA KUPINGA KWA HOJA. Ulicho kiandika sijaona hata hoja moja zaidi ya hisia ambazo hazina uhalisia.
Kizuri zaidi kuhusu jamaa alikuwa ana freestyle na mtiririko wa maneno unakuwa ni ule targeted kutoka na maudhui ya wimbo husika.Kuna mdude wa aka Mimi,Speed 120 ,CNN halafu kuna moja kati ya verse yangu bora sana kwenye wimbo wa Msela ya KR Mulla ft Ngwair,Nature,ile verse ndio alinyonga kabisa halafu kwa Mujibu wa KR wakati akihojiwa na Jabir wa EFM ile verse ali freestyle.
Weka hoja sijaona hoja why sio mkali KWAKO?Sawa Andika na wewe ata uko tinder
Nyingi freestyle, tungo, uwezo wa kubadilika katika kila mdundo ,uwezo wa kuwasilisha mada tena kwa tafsida (aka Mimi). Haya weka za KWAKO ww.Mnaomsifia ngwair mna hoja zipi,?
Goma jingine alilo freestyle ni lile kaimba na Jay Mo linaitwa KIMYA KIMYA, ile ngoma Majani aliitendea haki.Kuna mdude wa aka Mimi,Speed 120 ,CNN halafu kuna moja kati ya verse yangu bora sana kwenye wimbo wa Msela ya KR Mulla ft Ngwair,Nature,ile verse ndio alinyonga kabisa halafu kwa Mujibu wa KR wakati akihojiwa na Jabir wa EFM ile verse ali freestyle.
Kama mziki ni tuzoHata tuzo hana mafans wa unga
Sijaona kitu hapa it is too low.
P Diddy/jay z/nas/Eminem wawe maarufu mpaka sasa halafu Tupac asiwe maarufu