Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Kuna mdude wa aka Mimi,Speed 120 ,CNN halafu kuna moja kati ya verse yangu bora sana kwenye wimbo wa Msela ya KR Mulla ft Ngwair,Nature,ile verse ndio alinyonga kabisa halafu kwa Mujibu wa KR wakati akihojiwa na Jabir wa EFM ile verse ali freestyle.
CNN ilimfanya fid Q akafuta verse yake na kuandika upya. Aliona yupo miles away na verse za mwana FK21
 
Mmmmmmhmn sasa ni ngumu kukuelezea kama wakati huo haukuwapo au ulikuwa bado mtoto.

Ila kwa kifupi mwamba alikuwa na vibe lake moja kali sana. Yaani akigusa nyimbo lazima iwake kwa swagger kali.

Alikuwa ana flow nzuri na sauti yake ilikuwa na ushawishi wa maajabu ya kumfanya kijana au binti kutaka kusikiliza zaidi.
 
Simuanzishii maada ya kwa ulicho kiongea ww na yy ni the same ndio maana ni kawaaunganisha.

HALAFU JIFUNZE KUWASILISHA MAADA KWA HOJA NA KUPINGA KWA HOJA. Ulicho kiandika sijaona hata hoja moja zaidi ya hisia ambazo hazina uhalisia.
Mnaomsifia ngwair mna hoja zipi,?
 
Kuna mdude wa aka Mimi,Speed 120 ,CNN halafu kuna moja kati ya verse yangu bora sana kwenye wimbo wa Msela ya KR Mulla ft Ngwair,Nature,ile verse ndio alinyonga kabisa halafu kwa Mujibu wa KR wakati akihojiwa na Jabir wa EFM ile verse ali freestyle.
Kizuri zaidi kuhusu jamaa alikuwa ana freestyle na mtiririko wa maneno unakuwa ni ule targeted kutoka na maudhui ya wimbo husika.

Kama kwenye hiyo ngoma ya MSELA.
 
Kuna mdude wa aka Mimi,Speed 120 ,CNN halafu kuna moja kati ya verse yangu bora sana kwenye wimbo wa Msela ya KR Mulla ft Ngwair,Nature,ile verse ndio alinyonga kabisa halafu kwa Mujibu wa KR wakati akihojiwa na Jabir wa EFM ile verse ali freestyle.
Goma jingine alilo freestyle ni lile kaimba na Jay Mo linaitwa KIMYA KIMYA, ile ngoma Majani aliitendea haki.

Kiswahili ni lugha ya ajabuajabu ila kwenye rap Ngwair alikifanya kama kiingereza tu, maneno anayatamaka smoothly bila nguvu.
 
Kwenye Action ya Cpwaa alipewa mwishoni ila aliflow kijamaica. Prof j alimpa chorus tu kwenye wimbo wa Una akiogopa amkimpa verse atafanya miujiza dogo. Fa na Ay kwenye dakika moja wakaona daaah tumchukue hardmad maana nabii Ngwair tukimuweka humu itakua balaa. Nikikumbuka xxl clouds jamaa kama fala flani ila ukimpa mic ni balaa. Shida ya vijana wa sasa wanalazimisha heshima na umaarufu, ila ukiwapa mic leo radio times lazma arudie mistari aliyochana mwezi uliopita akiwa E fm.
 
Weka hoja sijaona hoja why sio mkali KWAKO?

Manake husiwe mtu wa kuchefukwa ili mradi kama mjamzito, weka hoja hapa.......(JF ni jumba la hoja) nazisubiri hoja zako.
Yuko amekuzwa after death
 
Zile zilikuwa Promo za Clouds FM. Albert alikuwa wa kawaida sana. Clouds wakitaka kukufanya maarufu hata uwe rapa bubu hawashindwi
 
Back
Top Bottom