Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Huyo jamaa nilimkubali sana kuna kipindi salama alikuwa anapita kitaa akamkurupua free style, kilichofuata ni kicheko tu...

Final...nitafutie msanii aliyetoa single yenye kina kimoja kuanzia mwanzo hadi mwisho kama siyo mangwair ni nani tena R.I.P,,,,mengine ni utafutaji tu
 
 
U need to see this.. imebeba majibu ya wote mdogo angu FK21 yaaan Ngwair hajui!! Dah umeniskitisha
 
Ningeshangaa kama ungetulia tu na kuaacha Ngwair adhalilishwe [emoji23][emoji23][emoji38]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Basi mzee pumzika
 
Vipi Dj hupigi hii nyimbo na unasikilizia ghetto, halafu demu wako chumbani anaitumia kupigia nyeto, Hebu kwanza kata hiyo instrumento...UKISHINDANA NA SISI WE UTAKUWA MENTO.Tafuta nyimbo inaitwa Tupo juu yupo na Steve&Rnb ndo utamjuwa Ngwair ni nani.Watoto wadogoooooooooooooo.
 
Na hiyo Ngoma inaitwa mikasi imetoka zaidi ya miaka 15 iliyopita lakini ikipigwa club kunanuka...
Mwenyewe niliwaza jamaa anawezaje kutunga Ngoma yenye vina Sawa mwanzo Hadi mwisho na Ngoma ikabamba
 
ok
 
Nipe deal na akapewa na  likaondoka naye.
Deal la kulala masikini na kuamka tajiri, wenzake wakampa
Bora yeye alijaribu kutafuta kwa ajili ya kesho (japo ilikuwa illegally).

Wangapi leo mnachomana visu mkigombea wanawake wabovu wengine mnajinyonga?kifo kipo popote unaogopa kubeba unga unagongwa na bodaboda unakufa ngoma droo.
 
Kuna mdude wa aka Mimi,Speed 120 ,CNN halafu kuna moja kati ya verse yangu bora sana kwenye wimbo wa Msela ya KR Mulla ft Ngwair,Nature,ile verse ndio alinyonga kabisa halafu kwa Mujibu wa KR wakati akihojiwa na Jabir wa EFM ile verse ali freestyle.
Naaipata hii verse inaenda hivi
××××××××××××××××××××××××××


Hey !! darkmaster hey mzee chater nimekipasa nataka kuhubiri kama pastor
Ndani ya getto nimengi yametukuta
Lakn wazee bado hatuchoki kutafuta

Kama nipo juu ni juu ningoje chini
Au nifate juu uvunje guu .
Masuperstar tunang'aa kwa pamba tuzovaa ila kuja home mlango wagunia
Ndani hakuna mwiko sufiria wala kikombe cha udongo usione nipinda mgongo ukadhani ni kibyongo pengine tu ni ufupi wa mlango

We nenda kwanye bia chalii nikapate
Gongo ndyo life ya kibongo


Niweza kuwa nimeikosea kwenye kuiandika lakin ni verse ambayo haijawahi kunitoka kivile ndani ya kichwa changu kuna wakati nikikuta na walugaluga ambao hawaujui mziki huwa naifreestyle hii verse nikijifanya ni yangu basi huwa wananikubarii kweli jweli
 
Na hiyo Ngoma inaitwa mikasi imetoka zaidi ya miaka 15 iliyopita lakini ikipigwa club kunanuka...
Mwenyewe niliwaza jamaa anawezaje kutunga Ngoma yenye vina Sawa mwanzo Hadi mwisho na Ngoma ikabamba

Club y wap jamaa utakua unaishi porini sana wewe tena itakua una bang sana vilabuni
 
Na hiyo Ngoma inaitwa mikasi imetoka zaidi ya miaka 15 iliyopita lakini ikipigwa club kunanuka...
Mwenyewe niliwaza jamaa anawezaje kutunga Ngoma yenye vina Sawa mwanzo Hadi mwisho na Ngoma ikabamba
Respect...

Bado kuna mtu anabwabwaja kwamba jamaa hajui kitu 🤔🤔🤔
 
Respect...

Bado kuna mtu anabwabwaja kwamba jamaa hajui kitu [emoji848][emoji848][emoji848]

Na wewe kweli unajua mziki?kwani nyimbo ya mikasi ina vina mwanzo mwisho au Uelewa wako wa mziki ni mdgo sana
 
Jamaa hana hoja ila kaamua kubisha tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…