The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Mara nyingi ni umri,hata huyu apewe muda akili ikomae kwanza kuna siku atamuelewa Mangwair.Me zamani nilikuwa simuelewi nyimbo zake...
Ila saizi nazielewa sana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi ni umri,hata huyu apewe muda akili ikomae kwanza kuna siku atamuelewa Mangwair.Me zamani nilikuwa simuelewi nyimbo zake...
Ila saizi nazielewa sana tu
Habari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.
U need to see this.. imebeba majibu ya wote mdogo angu FK21 yaaan Ngwair hajui!! Dah umeniskitishaNGWAIR HAKUA MSANII WA KAWAIDA LABDA KAMA WEWE SIO MPENZI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA.
Sijajua Una umri gani huenda umemjua Ngwair baada ya kifo chake au pengine umeanza kushabikia bongo fleva enzi hizi za kina Zuchu na sukari yake.
Lakini Kwa mdau wa muziki wa Bongo fleva Ngwair ni miongoni ya wasanii Bora waliotamba ndani na nje ya mipaka ya Tanzania enzi za uhai wake na alikua anakinukisha kinoma.
Kusema kwamba alivuma baada ya kifo chake huu ni uongo wa Hali ya juu kwani jamaa alitamba Sana na Ngoma zake zilikua zinashika namba moja kwenye top ten ya vituo mbalimbali vya redio na T.v sasa sijui pote huko walikua wanampendelea Kwa kua walijua atakufa [emoji16][emoji1787]
Umeuliza eti Ngwair alikua na uspesho gani Hadi apewe Sana promo hata baada ya kufa..! ok kabla sijaandika uspesho alikua nao, hebu jiulize we wameshakufa wasanii wangapi hapa Bongo, na kwanini Ngwair ndio awe spesho? nazani kuna majibu yameshajijenga kichwani mwako.
Hizi na baadhi ya sifa "Spesho" alizokua nazo Ngwair.
1. KUIMBA NA KURAP
- Ngwair alikua na kipaji cha kipekee Sana kwani alikua na uwezo wa kuimba na kurap Kwa ubora wa hali ya juu Sana. mfano kwenye Ngoma ya She got a gwan na Nipo ndani ya club, Humo jamaa aliimba vibaya mna usingeamini ni msanii anaeweza kufanya rap.
2. TAJIRI WA MISEMO
Ngoma za Ngwair zilikua zinaacha MISEMO mingi Sana tu kitaani mfano kwenye Ngoma yake ya mikasi aliyoimba na mchizi mox ndio iliyopelekea neno "mikasi" kuanza kutumika kitaa kumaanisha sex. na Misemo mingine ni kama "cha Arusha" "kulipuka" na mingine
3. MKALI WA HIT SONGS
Kwa wasio mjua Ngwair ingia Google or boomplay sikiliza hizi Ngoma.
CNN ft Fid q
Mapenzi gani ft lady jaydee
Aminia feat Inspecta Haruni, FA
Birthday N'GE ft Mwasiti, TID & Mez B
Speed 120 ft Chid Beenz
TZ Hustler ft J-Son
She performs ft TID
Mafia ft. JAY MO
Bado nimo
Zawadi
Salamu
Mademu wangu
Mida mibovu
Kimya Kimya
Nipe deal
Singida Dodoma ft Dully Sykes
Napokea simu
Weekend
Sikiliza
Wife
Tupo juu ft Squeezer & Steve RNB
Ghetto langu
Clubbin'
She got a Gwan
4. INSPIRATIONAL RAPPER
Mistari mingi ya Ngwair imerudiwa kuimbwa na wasanii wengine..
mfano Young Lunya kuna mstari aliimba kwenye serikali kuu ya mizuka "niguse nikuchane chane na kiwembe" huu ni mstari wa Ngwair kwenye Ngoma ya Demu Wangu ft Mchizi mox.. lakini pia kwenye Ngoma ya "simu zinaita" Young Lunya kaikopi vilevile kama Ngwair alivoimba kwenye Ngoma ya "napokea simu"
pia msanii p the MC karudia baadhi ya Ngoma za Ngwair kuonesha kua jamaa alikua mwamba baadhi ya hizo Ngoma ni "weekend", "mademu zangu" na "ghetto langu".
5. ALIKUA MBUNIFU SANA
Wakati ugonjwa wa ukimwi umeshika Kasi wasanii wengi walijaribu kutunga nyimbo mbalimbali ili kuionya jamii. Wengi wao walikua wanaenda straight kuuelezea ukimwi but Ngwair alikua tofauti Sana yeye alifanya Kwa staili nyingine.
mfano kwenye Ngoma ya bado nimo, alijivika balaa la Ngoma na kuelezea watu kua bado ukimwi upo na unawatafuna kimyakimya.. pia kwenye Ngoma ya zawadi alielezea ukimwi Kwa mtindo wa Stori, hapa alielezea jinsi alivompa dada mmoja (wanaodanga) zawadi nyingi kama gari,cheni na nyumba ya kifahari lakini kumbe kuna zawadi nyingine spesho alimpa kimyakimya ambayo ni HIV... na hata ni wengi tu wanapewa hiyo Zawadi.
6. MUZIKI WAKE ULIKUA VIWANGO VYA JUU
Ngwair pia aliwahi kushinda tuzo ya Kilimanjaro Music Awards kama mwana Hip Hop Bora wa mwaka 2005.
kipindi hicho tuzo zikiwa za Moto mno na zenye heshima kubwa.
nimechoka kutype Ila jua Tu Ngwair hakua MSANII wakaida kama unavozani ndo maana hata Legend wa Hip-hop Tanzania Farid Kubanda maarufu kama Fid Q kwenye Ngoma ya "Sumu" alionesha no jinsi gani alikua anamkubali Sana Ngwair kuna mstari anasema
"Aliyeniumba alinipa mdomo hivo n′na haki kuongea
Hii bahati meotea, safi kamwe siachi kui-share
Hamtaki niwe fair, trust me man huwa happy nki-care
Naona watachosema mshkaji uko smart upstairs
Usiache kuongea, usiache we ni incharge huna spare
KIPAJI ka' NGWAIR, mapaji ka′ bahati aliowagea
Flag pepea, hitaji zaidi ya maji na mmea
Ilikuwaje wa muache hadi mshkaji ulaji wa drugs ukamzoea"
Hapo anamaanisha tukimzungumzia Ngwair tunazumgumzia kitu kimoja tu KIPAJI...
Hicho Ndo kinafanya atajwe tajwe Sana Hadi we uhisi anapewa promo.
Ningeshangaa kama ungetulia tu na kuaacha Ngwair adhalilishwe [emoji23][emoji23][emoji38]No Agenda: Maisha ya Ngwair alijiona New York akiwa Bongoland
Nakupa homework; nitajie wimbo wa Ngwair akilia kuteswa na mapenzi. Nioneshe ngoma ya Albert Mangweha, akilalamika maisha yamempiga mpaka akakata tamaa. Ukipata, nitakwenda Kihonda, Morogoro, nikalale mwezi mzima juu ya kaburi lake. Ngwair alifanya muziki wa maono yake. Alijiona katika jukwaa...www.jamiiforums.com
Basi mzee pumzikaNGWAIR HAKUA MSANII WA KAWAIDA LABDA KAMA WEWE SIO MPENZI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA.
Sijajua Una umri gani huenda umemjua Ngwair baada ya kifo chake au pengine umeanza kushabikia bongo fleva enzi hizi za kina Zuchu na sukari yake.
Lakini Kwa mdau wa muziki wa Bongo fleva Ngwair ni miongoni ya wasanii Bora waliotamba ndani na nje ya mipaka ya Tanzania enzi za uhai wake na alikua anakinukisha kinoma.
Kusema kwamba alivuma baada ya kifo chake huu ni uongo wa Hali ya juu kwani jamaa alitamba Sana na Ngoma zake zilikua zinashika namba moja kwenye top ten ya vituo mbalimbali vya redio na T.v sasa sijui pote huko walikua wanampendelea Kwa kua walijua atakufa [emoji16][emoji1787]
Umeuliza eti Ngwair alikua na uspesho gani Hadi apewe Sana promo hata baada ya kufa..! ok kabla sijaandika uspesho alikua nao, hebu jiulize we wameshakufa wasanii wangapi hapa Bongo, na kwanini Ngwair ndio awe spesho? nazani kuna majibu yameshajijenga kichwani mwako.
Hizi na baadhi ya sifa "Spesho" alizokua nazo Ngwair.
1. KUIMBA NA KURAP
- Ngwair alikua na kipaji cha kipekee Sana kwani alikua na uwezo wa kuimba na kurap Kwa ubora wa hali ya juu Sana. mfano kwenye Ngoma ya She got a gwan na Nipo ndani ya club, Humo jamaa aliimba vibaya mna usingeamini ni msanii anaeweza kufanya rap.
2. TAJIRI WA MISEMO
Ngoma za Ngwair zilikua zinaacha MISEMO mingi Sana tu kitaani mfano kwenye Ngoma yake ya mikasi aliyoimba na mchizi mox ndio iliyopelekea neno "mikasi" kuanza kutumika kitaa kumaanisha sex. na Misemo mingine ni kama "cha Arusha" "kulipuka" na mingine
3. MKALI WA HIT SONGS
Kwa wasio mjua Ngwair ingia Google or boomplay sikiliza hizi Ngoma.
CNN ft Fid q
Mapenzi gani ft lady jaydee
Aminia feat Inspecta Haruni, FA
Birthday N'GE ft Mwasiti, TID & Mez B
Speed 120 ft Chid Beenz
TZ Hustler ft J-Son
She performs ft TID
Mafia ft. JAY MO
Bado nimo
Zawadi
Salamu
Mademu wangu
Mida mibovu
Kimya Kimya
Nipe deal
Singida Dodoma ft Dully Sykes
Napokea simu
Weekend
Sikiliza
Wife
Tupo juu ft Squeezer & Steve RNB
Ghetto langu
Clubbin'
She got a Gwan
4. INSPIRATIONAL RAPPER
Mistari mingi ya Ngwair imerudiwa kuimbwa na wasanii wengine..
mfano Young Lunya kuna mstari aliimba kwenye serikali kuu ya mizuka "niguse nikuchane chane na kiwembe" huu ni mstari wa Ngwair kwenye Ngoma ya Demu Wangu ft Mchizi mox.. lakini pia kwenye Ngoma ya "simu zinaita" Young Lunya kaikopi vilevile kama Ngwair alivoimba kwenye Ngoma ya "napokea simu"
pia msanii p the MC karudia baadhi ya Ngoma za Ngwair kuonesha kua jamaa alikua mwamba baadhi ya hizo Ngoma ni "weekend", "mademu zangu" na "ghetto langu".
5. ALIKUA MBUNIFU SANA
Wakati ugonjwa wa ukimwi umeshika Kasi wasanii wengi walijaribu kutunga nyimbo mbalimbali ili kuionya jamii. Wengi wao walikua wanaenda straight kuuelezea ukimwi but Ngwair alikua tofauti Sana yeye alifanya Kwa staili nyingine.
mfano kwenye Ngoma ya bado nimo, alijivika balaa la Ngoma na kuelezea watu kua bado ukimwi upo na unawatafuna kimyakimya.. pia kwenye Ngoma ya zawadi alielezea ukimwi Kwa mtindo wa Stori, hapa alielezea jinsi alivompa dada mmoja (wanaodanga) zawadi nyingi kama gari,cheni na nyumba ya kifahari lakini kumbe kuna zawadi nyingine spesho alimpa kimyakimya ambayo ni HIV... na hata ni wengi tu wanapewa hiyo Zawadi.
6. MUZIKI WAKE ULIKUA VIWANGO VYA JUU
Ngwair pia aliwahi kushinda tuzo ya Kilimanjaro Music Awards kama mwana Hip Hop Bora wa mwaka 2005.
kipindi hicho tuzo zikiwa za Moto mno na zenye heshima kubwa.
nimechoka kutype Ila jua Tu Ngwair hakua MSANII wakaida kama unavozani ndo maana hata Legend wa Hip-hop Tanzania Farid Kubanda maarufu kama Fid Q kwenye Ngoma ya "Sumu" alionesha ni jinsi gani alikua anamkubali Sana Ngwair kuna mistari anasema
"Aliyeniumba alinipa mdomo hivo n′na haki kuongea
Hii bahati meotea, safi kamwe siachi kui-share
Hamtaki niwe fair, trust me man huwa happy nki-care
Naona watachosema mshkaji uko smart upstairs
Usiache kuongea, usiache we ni incharge huna spare
KIPAJI ka' NGWAIR, mapaji ka′ bahati aliowagea
Flag pepea, hitaji zaidi ya maji na mmea
Ilikuwaje wa muache hadi mshkaji ulaji wa drugs ukamzoea"
Hapo anamaanisha tukimzungumzia Ngwair tunazumgumzia kitu kimoja tu KIPAJI...
Hicho Ndo kinafanya atajwe tajwe Sana Hadi we uhisi anapewa promo.
Na hiyo Ngoma inaitwa mikasi imetoka zaidi ya miaka 15 iliyopita lakini ikipigwa club kunanuka...Huyo jamaa nilimkubali sana kuna kipindi salama alikuwa anapita kitaa akamkurupua free style, kilichofuata ni kicheko tu...
Final...nitafutie msanii aliyetoa single yenye kina kimoja kuanzia mwanzo hadi mwisho kama siyo mangwair ni nani tena R.I.P,,,,mengine ni utafutaji tu
Damn!!!
okUmeongizwa na chuki, ubinafsi na kutokujua mziki...kifupi unaumizwa na ukubwa na umaarufu wa marehemu!
Nitajie mwanamuziki aliyefanya muziki kipindi kile cha Ngwair (muziki aina ya aliofanya Ngwair) ambaye unaweza kumuweka daraja moja (kiuwezo) na Ngwair.
Bora yeye alijaribu kutafuta kwa ajili ya kesho (japo ilikuwa illegally).Nipe deal na akapewa na likaondoka naye.
Deal la kulala masikini na kuamka tajiri, wenzake wakampa
Naaipata hii verse inaenda hiviKuna mdude wa aka Mimi,Speed 120 ,CNN halafu kuna moja kati ya verse yangu bora sana kwenye wimbo wa Msela ya KR Mulla ft Ngwair,Nature,ile verse ndio alinyonga kabisa halafu kwa Mujibu wa KR wakati akihojiwa na Jabir wa EFM ile verse ali freestyle.
Na hiyo Ngoma inaitwa mikasi imetoka zaidi ya miaka 15 iliyopita lakini ikipigwa club kunanuka...
Mwenyewe niliwaza jamaa anawezaje kutunga Ngoma yenye vina Sawa mwanzo Hadi mwisho na Ngoma ikabamba
Jina lako lako tu linamaanisha we ni mlevi Kwa kiwango ganiClub y wap jamaa utakua unaishi porini sana wewe tena itakua una bang sana vilabuni
Respect...Na hiyo Ngoma inaitwa mikasi imetoka zaidi ya miaka 15 iliyopita lakini ikipigwa club kunanuka...
Mwenyewe niliwaza jamaa anawezaje kutunga Ngoma yenye vina Sawa mwanzo Hadi mwisho na Ngoma ikabamba
Respect...
Bado kuna mtu anabwabwaja kwamba jamaa hajui kitu [emoji848][emoji848][emoji848]
Jamaa hana hoja ila kaamua kubisha tuu.NGWAIR HAKUA MSANII WA KAWAIDA LABDA KAMA WEWE SIO MPENZI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA.
Sijajua Una umri gani huenda umemjua Ngwair baada ya kifo chake au pengine umeanza kushabikia bongo fleva enzi hizi za kina Zuchu na sukari yake.
Lakini Kwa mdau wa muziki wa Bongo fleva Ngwair ni miongoni ya wasanii Bora waliotamba ndani na nje ya mipaka ya Tanzania enzi za uhai wake na alikua anakinukisha kinoma.
Kusema kwamba alivuma baada ya kifo chake huu ni uongo wa Hali ya juu kwani jamaa alitamba Sana na Ngoma zake zilikua zinashika namba moja kwenye top ten ya vituo mbalimbali vya redio na T.v sasa sijui pote huko walikua wanampendelea Kwa kua walijua atakufa [emoji16][emoji1787]
Umeuliza eti Ngwair alikua na uspesho gani Hadi apewe Sana promo hata baada ya kufa..! ok kabla sijaandika uspesho alikua nao, hebu jiulize we wameshakufa wasanii wangapi hapa Bongo, na kwanini Ngwair ndio awe spesho? nazani kuna majibu yameshajijenga kichwani mwako.
Hizi na baadhi ya sifa "Spesho" alizokua nazo Ngwair.
1. KUIMBA NA KURAP
- Ngwair alikua na kipaji cha kipekee Sana kwani alikua na uwezo wa kuimba na kurap Kwa ubora wa hali ya juu Sana. mfano kwenye Ngoma ya She got a gwan na Nipo ndani ya club, Humo jamaa aliimba vibaya mna usingeamini ni msanii anaeweza kufanya rap.
2. TAJIRI WA MISEMO
Ngoma za Ngwair zilikua zinaacha MISEMO mingi Sana tu kitaani mfano kwenye Ngoma yake ya mikasi aliyoimba na mchizi mox ndio iliyopelekea neno "mikasi" kuanza kutumika kitaa kumaanisha sex. na Misemo mingine ni kama "cha Arusha" "kulipuka" na mingine
3. MKALI WA HIT SONGS
Kwa wasio mjua Ngwair ingia Google or boomplay sikiliza hizi Ngoma.
CNN ft Fid q
Mapenzi gani ft lady jaydee
Aminia feat Inspecta Haruni, FA
Birthday N'GE ft Mwasiti, TID & Mez B
Speed 120 ft Chid Beenz
TZ Hustler ft J-Son
She performs ft TID
Mafia ft. JAY MO
Bado nimo
Zawadi
Salamu
Mademu wangu
Mida mibovu
Kimya Kimya
Nipe deal
Singida Dodoma ft Dully Sykes
Napokea simu
Weekend
Sikiliza
Wife
Tupo juu ft Squeezer & Steve RNB
Ghetto langu
Clubbin'
She got a Gwan
4. INSPIRATIONAL RAPPER
Mistari mingi ya Ngwair imerudiwa kuimbwa na wasanii wengine..
mfano Young Lunya kuna mstari aliimba kwenye serikali kuu ya mizuka "niguse nikuchane chane na kiwembe" huu ni mstari wa Ngwair kwenye Ngoma ya Demu Wangu ft Mchizi mox.. lakini pia kwenye Ngoma ya "simu zinaita" Young Lunya kaikopi vilevile kama Ngwair alivoimba kwenye Ngoma ya "napokea simu"
pia msanii p the MC karudia baadhi ya Ngoma za Ngwair kuonesha kua jamaa alikua mwamba baadhi ya hizo Ngoma ni "weekend", "mademu zangu" na "ghetto langu".
5. ALIKUA MBUNIFU SANA
Wakati ugonjwa wa ukimwi umeshika Kasi wasanii wengi walijaribu kutunga nyimbo mbalimbali ili kuionya jamii. Wengi wao walikua wanaenda straight kuuelezea ukimwi but Ngwair alikua tofauti Sana yeye alifanya Kwa staili nyingine.
mfano kwenye Ngoma ya bado nimo, alijivika balaa la Ngoma na kuelezea watu kua bado ukimwi upo na unawatafuna kimyakimya.. pia kwenye Ngoma ya zawadi alielezea ukimwi Kwa mtindo wa Stori, hapa alielezea jinsi alivompa dada mmoja (wanaodanga) zawadi nyingi kama gari,cheni na nyumba ya kifahari lakini kumbe kuna zawadi nyingine spesho alimpa kimyakimya ambayo ni HIV... na hata sasa ni wengi tu wanapewa hiyo Zawadi.
6. MUZIKI WAKE ULIKUA VIWANGO VYA JUU
Ngwair pia aliwahi kushinda tuzo ya Kilimanjaro Music Awards kama mwana Hip Hop Bora wa mwaka 2005.
kipindi hicho tuzo zikiwa za Moto mno na zenye heshima kubwa.
nimechoka kutype Ila jua Tu Ngwair hakua MSANII wakaida kama unavozani ndo maana hata Legend wa Hip-hop Tanzania Farid Kubanda maarufu kama Fid Q kwenye Ngoma ya "Sumu" alionesha ni jinsi gani alikua anamkubali Sana Ngwair kuna mistari anajisifu kua na kipaji kama cha Ngwair, anasema hivi..