Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
Kala-dear godHuyo jamaa nilimkubali sana kuna kipindi salama alikuwa anapita kitaa akamkurupua free style, kilichofuata ni kicheko tu...
Final...nitafutie msanii aliyetoa single yenye kina kimoja kuanzia mwanzo hadi mwisho kama siyo mangwair ni nani tena R.I.P,,,,mengine ni utafutaji tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwaya ya mtakatifu kala au?Dear God haina vina ni Kama kwaya tu
Wewe unaoujua mziki taja ngoma yako moja tuiweke kwenye mzaniNa wewe kweli unajua mziki?kwani nyimbo ya mikasi ina vina mwanzo mwisho au Uelewa wako wa mziki ni mdgo sana
Kwenye top 5 ya Nani? Au kuna top 5 ambayo ni universal?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwaya ya mtakatifu kala au?
Kwa wasanii wa rap ngwear yupo kwenye top 10 na sio 5
Yes!! Na ndo ilikua generation ya mziki wa kizazi kipya mzee wangu. Haku rap kwa ajili ya watu flan flan wa rika... na sio wanafunzi tu Ngwair kila show yyte unayoijua alikua anaondoka na kijiji. Mikasi ilishika sana namba moja kwenye Top 10 za bamiza kama ulikua mkubwa mkubwa utaelewa nikisema show ya bamiza ni nn. Na unavosema hakua na Tuzo you wrong mdogo angu tuzo alibebaKijiji cha wanafunzi [emoji16]
Atakua mtoto mdogo uyu. Mana ukimjibu kwa hoja anaTukana mitusiMtoa mada una umri gani tuanzie hapo kwanza
Ngwair alipewa heshima yake kabla hajafa na baada ya kufa heshima yake ipo pale pale.Habari zenu wadau wa sanaa,
Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?
Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?
Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!
Naombeni kuwasilisha.
Achana nae shabiki wa singeli na vigodoro huyoNingeshangaa kama ungetulia tu na kuaacha Ngwair adhalilishwe [emoji23][emoji23][emoji38]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
MIKASI IPIGWE KOKOTE KINAWAKA. AAAH ACHANA NA MIKASI KABISAClub y wap jamaa utakua unaishi porini sana wewe tena itakua una bang sana vilabuni
Ngwair alikuwa hatari sana... Album ya east zoo nlitamba nayo sana...Achana nae shabiki wa singeli na vigodoro huyo
Hata sheta alikuwa akija kumsalimia Mr joel alikuwa anachukua kijijiYes!! Na ndo ilikua generation ya mziki wa kizazi kipya mzee wangu. Haku rap kwa ajili ya watu flan flan wa rika... na sio wanafunzi tu Ngwair kila show yyte unayoijua alikua anaondoka na kijiji. Mikasi ilishika sana namba moja kwenye Top 10 za bamiza kama ulikua mkubwa mkubwa utaelewa nikisema show ya bamiza ni nn. Na unavosema hakua na Tuzo you wrong mdogo angu tuzo alibeba
Point ya watu wajinga sana ndiyo naweza kuwa wa 2004 ila nina uelewa kukuzidi ww wa 69 sababu hata wapumbavu hukua piaNgwair alipewa heshima yake kabla hajafa na baada ya kufa heshima yake ipo pale pale.
BTW unaonekana wewe ni kizazi cha 2000s muziki umeanza kusikiliza juzi .
Sheta kuchukua kijiju ni kawaida si ni msanii na kazi zimeonekana na Benjamin ni home boy. Na uyo Shetta inspiration kapata kwa uyo uyo Ngwair na alichukuliwa kijiji hyo siku ya perfomance ya the LegendHata sheta alikuwa akija kumsalimia Mr joel alikuwa anachukua kijiji
Mzee points zako dhaifu. Hapa hoja ni kwann tunampa maua Ngwair... ni kazi alizofanya including the MF HIT MIKASI na ofcoz ni ngoma yake. Bas hata Ghetto langu tu ikipigwa watu wanaruka..Aliimba pekeake iyo mikasi?