Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Ngwair alikuwa na kipi cha pekee kwa watu kumsifia sana, au ni kufunika kifo chake cha aibu?

Huyo jamaa nilimkubali sana kuna kipindi salama alikuwa anapita kitaa akamkurupua free style, kilichofuata ni kicheko tu...

Final...nitafutie msanii aliyetoa single yenye kina kimoja kuanzia mwanzo hadi mwisho kama siyo mangwair ni nani tena R.I.P,,,,mengine ni utafutaji tu
Kala-dear god
 
Sasa nakumbuka 2007 Albert Mangwair alikujaga Benjamin mkapa aliletwa na 5 selekt aka perform Nipeni deal masela kipindi hiko ni hit kwelikweli. Alisepa na kijiji mbaya.. FK21
Kijiji cha wanafunzi [emoji16]
 
Kijiji cha wanafunzi [emoji16]
Yes!! Na ndo ilikua generation ya mziki wa kizazi kipya mzee wangu. Haku rap kwa ajili ya watu flan flan wa rika... na sio wanafunzi tu Ngwair kila show yyte unayoijua alikua anaondoka na kijiji. Mikasi ilishika sana namba moja kwenye Top 10 za bamiza kama ulikua mkubwa mkubwa utaelewa nikisema show ya bamiza ni nn. Na unavosema hakua na Tuzo you wrong mdogo angu tuzo alibeba
 
Habari zenu wadau wa sanaa,

Mimi sipendi kuwa mnafiki, niko hapa, mwenye kutoa clarification aje. Je, msanii Ngwair alikuwa na kipi cha special kinachofanya asifiwe na kupewa promo kubwa na Clouds Media na wasanii baada ya kifo chake?

Maana imekuwa mkumbo sasa, kila mtu Ngwair hana mpinzani! Kwa lipi sasa? Mbona hata kukaza lyrics alikuwa hawezi, kidogo freestyle alijitahidi, ila mbona mnamsifia kuzidi uwezo?

Ttuacheni notion ya marehemu hasemwi vibaya, Magufuli daily anakaangwa tu!

Naombeni kuwasilisha.
Ngwair alipewa heshima yake kabla hajafa na baada ya kufa heshima yake ipo pale pale.

BTW unaonekana wewe ni kizazi cha 2000s muziki umeanza kusikiliza juzi .
 
Yes!! Na ndo ilikua generation ya mziki wa kizazi kipya mzee wangu. Haku rap kwa ajili ya watu flan flan wa rika... na sio wanafunzi tu Ngwair kila show yyte unayoijua alikua anaondoka na kijiji. Mikasi ilishika sana namba moja kwenye Top 10 za bamiza kama ulikua mkubwa mkubwa utaelewa nikisema show ya bamiza ni nn. Na unavosema hakua na Tuzo you wrong mdogo angu tuzo alibeba
Hata sheta alikuwa akija kumsalimia Mr joel alikuwa anachukua kijiji
 
Ngwair alipewa heshima yake kabla hajafa na baada ya kufa heshima yake ipo pale pale.

BTW unaonekana wewe ni kizazi cha 2000s muziki umeanza kusikiliza juzi .
Point ya watu wajinga sana ndiyo naweza kuwa wa 2004 ila nina uelewa kukuzidi ww wa 69 sababu hata wapumbavu hukua pia
 
Hata sheta alikuwa akija kumsalimia Mr joel alikuwa anachukua kijiji
Sheta kuchukua kijiju ni kawaida si ni msanii na kazi zimeonekana na Benjamin ni home boy. Na uyo Shetta inspiration kapata kwa uyo uyo Ngwair na alichukuliwa kijiji hyo siku ya perfomance ya the Legend
 
Back
Top Bottom