Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
- Thread starter
- #21
kweli umaskini umetofautiana..kijana anaona Mil 4 hela nyingi mnoo..
hujanielewa.,‎؛nime mquote Milad Ayo kwenye amplifire mzee,si mimi,what is 4mil?,ni pesa ndogo sana man iyo,mi mwenyewe ni fan wake mkubwa sana na nina uchungu.,