Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
- Thread starter
-
- #21
kweli umaskini umetofautiana..kijana anaona Mil 4 hela nyingi mnoo..
Pambaf
Minimum,,,,,,Maximum 150 lazima azikwe home,,Yani ata maiti inaakili kukushinda...!!!
Unaanika utumbo apa...!!
Ata ingekuwa ni 60M lazima Gwear azikwe Hom
hujanielewa.,‎؛nime mquote Milad Ayo kwenye amplifire mzee,si mimi,what is 4mil?,ni pesa ndogo sana man iyo,mi mwenyewe ni fan wake mkubwa sana na nina uchungu.,
Wewe kweli unaona inawezekana kwa msanii kama yeye kuamua kuzikwa huko kwa ajili ya kukosa 4M?hujanielewa.,‎؛nime mquote Milad Ayo kwenye amplifire mzee,si mimi,what is 4mil?,ni pesa ndogo sana man iyo,mi mwenyewe ni fan wake mkubwa sana na nina uchungu.,
unadhani we ndio unamsikiliza
peke ako hacha kupotosha watu your minds is like wafu media ngwea
analetwa.
acha kupotosha jamii, uwezo wako mdogo rudi chekechea (fb)nimemsikiliza millady mbona ni mangwea wanamzungumzia tu na wanadai mwili kuja ni vigumu kidogo kwa sababu huko south hakuna ndugu na kusafirisha maiti si chini ya milioni nne za kibongo
hujanielewa.,‎؛nime mquote Milad Ayo kwenye amplifire mzee,si mimi,what is 4mil?,ni pesa ndogo sana man iyo,mi mwenyewe ni fan wake mkubwa sana na nina uchungu.,
hujanielewa.,‎؛nime mquote Milad Ayo kwenye amplifire mzee,si mimi,what is 4mil?,ni pesa ndogo sana man iyo,mi mwenyewe ni fan wake mkubwa sana na nina uchungu.,
Jamani tusimlaum sana huyo nae uwezo wake wa kufikiri umekomea hapo. Sawa jamani ee?
Mimi nataka kuchangia Ngwea aletwe home ni ndugu yako mgogo mwenzangu toka dodoma! ila pia ni heshima kwa msanii kama huyo kuzikwa kwa heshima na mashabiki na wasanii wenzake! Tunachangiaje kuketwa kwake?
Huyu nae.....kwahiyo wewe million 4 ndo umeona elaaaa sana mpaka Ngwair azikwe huko.
Acha kupotosha watu