Ngwair vs Jay Moe (AKA Mimi vs Ulimwengu ndio Mama)

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Hawa wote ni vijana waliofanya vizuri sana miaka ya mwanzoni mwa 2000 kazi zao zikiandaliwa na producer nguli P FUNK Majani, kulikuwa na mjadala huko nyuma kuhusu Ngwair 'Rip' lakini ndani yake uliingilia mjadala kuhusu Album za kwanza za Ngwea na JayMo, nikaona huu mjadala unafaa kuwa na thread yake inayojitegemea ili tuujadili kwa uzuri zaidi. Binafsi nilibahatika kununua 'cassete' zote mbili na kuzisikiliza vizuri sana, ila inaniwia vigumu kuchagua ipi ni bora zaid; Japokuwa kwa upande wa mashairi yaliyoshiba nitaichagua Album ya Jay Mo, Ila kwa upande wa Flow na ladha ya Ngwea imetisha zaidi. Overall naziweza hizi album katika uzani sawa. Karibuni kwa mjadala wahenga wenzangu...View attachment 2129957
Screenshot_20220224-190016.jpg

Screenshot_20220224-191708.jpg
 
Hawa wote ni vijana waliofanya vizuri sana miaka ya mwanzoni mwa 2000 kazi zao zikiandaliwa na producer nguli P FUNK Majani, kulikuwa na mjadala huko nyuma kuhusu Ngwair 'Rip' lakini ndani yake uliingilia mjadala kuhusu Album za kwanza za Ngwea na JayMo, nikaona huu mjadala unafaa kuwa na thread yake inayojitegemea ili tuujadili kwa uzuri zaidi. Binafsi nilibahatika kununua 'cassete' zote mbili na kuzisikiliza vizuri sana, ila inaniwia vigumu kuchagua ipi ni bora zaid; Japokuwa kwa upande wa mashairi yaliyoshiba nitaichagua Album ya Jay Mo, Ila kwa upande wa Flow na ladha ya Ngwea imetisha zaidi. Overall naziweza hizi album katika uzani sawa. Karibuni kwa mjadala wahenga wenzangu...View attachment 2129957View attachment 2129959

View attachment 2129958
Hii ya ngwea ni Hatari, labda album za profess au wachuja nafaka ndo levo zake
 
Safi sana Screpa kwa kuanzisha huu mjadala

Kwenye ile thread kuhusu Ngwair ni mimi ndie nilichomekea kwa kumwambia mchangiaji mmoja kwamba kama anasema hajaona álbum bora zaidi ya AKA MIMI basi itakuwa hajaisikiliza álbum ya 'Ulimwengu ndio Mama' ya Juma Mohamed Mchopanga aka J Mo au Mo Teknik

Back in Mada,

Álbum zote nilishawahi kuzinunua na kuzisikiliza sana na sana tu kwasbb walikuwa moja ya artists niliokuwa nawakubali sana

Ubora wa Jmo ktk hii album:

Binafsi ubora wa Jmo nauona ktk uandishi mzuri wa mashairi, flowing styles, beats kali za Pfunk na matumizi mazuri ya lugha kiasi kwamba nyimbo zake zote za hio álbum unaweza kusikiliza hata na mzazi wako au mtu yoyote wa heshima na usifadhaishwe na hata neno moja lenye kukengeuka maadili

Udhaifu wake nauona ktk kutumia mtindo mmoja wa kurap karibu nyimbo zake zote na hana club bangers song hata moja ktk hii album

Albert Mangwea ( RIP) :

Kwenye hii álbum nakubali sana uwezo wa Ngwea ktk flowing styles ( namna anavyonata na beatz), vina mwanzo kati na mwisho hasa ktk ngoma za Mikasi, Gheto langu, Napokea simu nk,
beats zilizoenda Harvard University kutoka kwa Pfunk nafikiri ni moja ya artist aliyependelewa sana na Pfunk ktk beats labda kwasbb ya ule uswahiba wa kushibana na vile alikuwa chini ya management yake,
Ngwea ni bora sana pía ktk kubadilika kwenye nyimbo ana uwezo wa kurap, kuimba, kupiga back vocal nk kwa mfano nyimbo za Dakika moja na Bado Nimo utaona uwezo wa kuimba wa Albert.

Pia ana ngoma kadhaa ambazo ni club bangerz

Udhaifu ktk ngoma zake kwenye hii álbum kulinganisha na JMo ni uandishi wa songs zake nyingi sio za kusikilizwa na rika lote au Ukiwa na watu wa heshima maana Albert anapenda sana kutumia vijimaneno vya hapa na pale vyenye ukakasi ktk maadili kama ngoma ya Mikasi kuna sehemu demu anatoa sauti za miguno ya sex ( bahati nzuri miaka ile basata walikuwa kama joka la kibisa, hawaumi) 😀

All in All hizi álbum mbili sio za kukosa kuacha kusikiliza hata kidogo na kwangu mimi naziona ni moja ya álbum bora kabisa za wasanii wetu kuwahi kuzisikiliza na hata kwenye ngoma zao walizoshirikiana zilikuwa hits haswaaa...!!!
 
Hiyo AKA mimi labda uipambanishe na Elimu Dunia lakini iyo Ulimwengu ndio Mama hapana.
 
Daz Baba ni muimbaji sio rapa, mpambanishe ni kina TID 'Sauti ya Dhahabu'[emoji2][emoji2]. BTW Umewahi kuisikiliza Ulimwengu ndio Mama?
 
Safi sana Screpa kwa kuanzisha huu mjadala

Kwenye ile thread kuhusu Ngwair ni mimi ndie nilichomekea kwa kumwambia mchangiaji mmoja kwamba kama anasema hajaona álbum bora zaidi ya AKA MIMI basi itakuwa hajaisikiliza álbum ya 'Ulimwengu ndio Mama' ya Juma Mohamed Mchopanga aka J Mo au Mo Teknik

Back in Mada,

Álbum zote nilishawahi kuzinunua na kuzisikiliza sana na sana tu kwasbb walikuwa moja ya artists niliokuwa nawakubali sana

Ubora wa Jmo ktk hii album:

Binafsi ubora wa Jmo nauona ktk uandishi mzuri wa mashairi, flowing styles, beats kali za Pfunk na matumizi mazuri ya lugha kiasi kwamba nyimbo zake zote za hio álbum unaweza kusikiliza hata na mzazi wako au mtu yoyote wa heshima na usifadhaishwe na hata neno moja lenye kukengeuka maadili

Udhaifu wake nauona ktk kutumia mtindo mmoja wa kurap karibu nyimbo zake zote na hana club bangers song hata moja ktk hii album

Albert Mangwea ( RIP) :

Kwenye hii álbum nakubali sana uwezo wa Ngwea ktk flowing styles ( namna anavyonata na beatz), vina mwanzo kati na mwisho hasa ktk ngoma za Mikasi, Gheto langu, Napokea simu nk,
beats zilizoenda Harvard University kutoka kwa Pfunk nafikiri ni moja ya artist aliyependelewa sana na Pfunk ktk beats labda kwasbb ya ule uswahiba wa kushibana na vile alikuwa chini ya management yake,
Ngwea ni bora sana pía ktk kubadilika kwenye nyimbo ana uwezo wa kurap, kuimba, kupiga back vocal nk kwa mfano nyimbo za Dakika moja na Bado Nimo utaona uwezo wa kuimba wa Albert.

Pia ana ngoma kadhaa ambazo ni club bangerz

Udhaifu ktk ngoma zake kwenye hii álbum kulinganisha na JMo ni uandishi wa songs zake nyingi sio za kusikilizwa na rika lote au Ukiwa na watu wa heshima maana Albert anapenda sana kutumia vijimaneno vya hapa na pale vyenye ukakasi ktk maadili kama ngoma ya Mikasi kuna sehemu demu anatoa sauti za miguno ya sex ( bahati nzuri miaka ile basata walikuwa kama joka la kibisa, hawaumi) [emoji3]

All in All hizi álbum mbili sio za kukosa kuacha kusikiliza hata kidogo na kwangu mimi naziona ni moja ya álbum bora kabisa za wasanii wetu kuwahi kuzisikiliza na hata kwenye ngoma zao walizoshirikiana zilikuwa hits haswaaa...!!!
Asante kwa kudadavua vizuri sana
 
Dundeni midundo yote ila hata hapo ukihesabu ngoma kali a.k.a mimi inaongoza
 
  • Kicheko
Reactions: tyc
Mkuu screpa umewatendea sana haki wakina Jay-Moe na Ngwair kuwaweka kundi moja. Huwa napata sana shida pale ambapo watu hutaka kuwafananisha hawa wawili na watu kama Joh-Makini (Japo namkubali sana), lakini nadhani uwezo wa kiufundi wa tungo hawa wawili wanatisha sana.
 
Back
Top Bottom