Cc ubarinolutu Nisame ft. Jay Moe & Bamboo. by Ngwair | Nisame ft. Jay Moe & Bamboo. Lyrics | Boomplay MusicHii ngoma naitafuta kila mahali siipati, embu fanya msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc ubarinolutu Nisame ft. Jay Moe & Bamboo. by Ngwair | Nisame ft. Jay Moe & Bamboo. Lyrics | Boomplay MusicHii ngoma naitafuta kila mahali siipati, embu fanya msaada
tyc nakupa challenge,kasikilize na album ya Daz Baba-Elimu Dunia.Safi sana Screpa kwa kuanzisha huu mjadala
Kwenye ile thread kuhusu Ngwair ni mimi ndie nilichomekea kwa kumwambia mchangiaji mmoja kwamba kama anasema hajaona álbum bora zaidi ya AKA MIMI basi itakuwa hajaisikiliza álbum ya 'Ulimwengu ndio Mama' ya Juma Mohamed Mchopanga aka J Mo au Mo Teknik
Back in Mada,
Álbum zote nilishawahi kuzinunua na kuzisikiliza sana na sana tu kwasbb walikuwa moja ya artists niliokuwa nawakubali sana
Ubora wa Jmo ktk hii album:
Binafsi ubora wa Jmo nauona ktk uandishi mzuri wa mashairi, flowing styles, beats kali za Pfunk na matumizi mazuri ya lugha kiasi kwamba nyimbo zake zote za hio álbum unaweza kusikiliza hata na mzazi wako au mtu yoyote wa heshima na usifadhaishwe na hata neno moja lenye kukengeuka maadili
Udhaifu wake nauona ktk kutumia mtindo mmoja wa kurap karibu nyimbo zake zote na hana club bangers song hata moja ktk hii album
Albert Mangwea ( RIP) :
Kwenye hii álbum nakubali sana uwezo wa Ngwea ktk flowing styles ( namna anavyonata na beatz), vina mwanzo kati na mwisho hasa ktk ngoma za Mikasi, Gheto langu, Napokea simu nk,
beats zilizoenda Harvard University kutoka kwa Pfunk nafikiri ni moja ya artist aliyependelewa sana na Pfunk ktk beats labda kwasbb ya ule uswahiba wa kushibana na vile alikuwa chini ya management yake,
Ngwea ni bora sana pía ktk kubadilika kwenye nyimbo ana uwezo wa kurap, kuimba, kupiga back vocal nk kwa mfano nyimbo za Dakika moja na Bado Nimo utaona uwezo wa kuimba wa Albert.
Pia ana ngoma kadhaa ambazo ni club bangerz
Udhaifu ktk ngoma zake kwenye hii álbum kulinganisha na JMo ni uandishi wa songs zake nyingi sio za kusikilizwa na rika lote au Ukiwa na watu wa heshima maana Albert anapenda sana kutumia vijimaneno vya hapa na pale vyenye ukakasi ktk maadili kama ngoma ya Mikasi kuna sehemu demu anatoa sauti za miguno ya sex ( bahati nzuri miaka ile basata walikuwa kama joka la kibisa, hawaumi) 😀
All in All hizi álbum mbili sio za kukosa kuacha kusikiliza hata kidogo na kwangu mimi naziona ni moja ya álbum bora kabisa za wasanii wetu kuwahi kuzisikiliza na hata kwenye ngoma zao walizoshirikiana zilikuwa hits haswaaa...!!!
Nakubali hii ni Album kali sana, sema kila mtu na bahati yake. Feruzi alitoboa zaidi ya Daz Baba kwasababu ya umaarufu wa nyimbo kama 2 tutyc nakupa challenge,kasikilize na album ya Daz Baba-Elimu Dunia.
Kama utabahatika kusikiliza full album basi njoo tena.
Kwangu binafsi Daz naona haitokuja kutokea album kama ile,nyimbo kwa nyimbo,maudhui ya kila wimbo,uadishi,chorus na mpangilio wa ala zilizotumika.
Bahati mbaya sana kipindi kile Ruge alikua na biashara zake na MWANAFA,album bora akawa anachukua FA.
Kwangu naamini album hii ina madini mengi sana na ubora uliotukuka
View attachment 2131911
Hapana mkuu screpa si nyimbo mbili tu.Nakubali hii ni Album kali sana, sema kila mtu na bahati yake. Feruzi alitoboa zaidi ya Daz Baba kwasababu ya umaarufu wa nyimbo kama 2 tu
Hakika Mkuu, album yake haikua ya kutisha sana na inasemekana Ferouz ndio alianza kumfanyia fitna Daz kwa P-Funk baada ya kuona jamaa ana mawe makali,jamaa akataka yeye ndio apewe kipaumbele na hadi ikafikia sehemu jamaa akatunga wimbo wa "kijana mteja kumdiss Daz.Nakubali hii ni Album kali sana, sema kila mtu na bahati yake. Feruzi alitoboa zaidi ya Daz Baba kwasababu ya umaarufu wa nyimbo kama 2 tu
Mola niokoe mimi ni dent au mjeshiHizo ndizo nyimbo sasa achana na ushetwani wa "mwagia ndani, dera lako jipya chupi lako la zamani, nani kamwaga pombe yangu na kibamia"
Wamekutana kwenye ngoma kibao tu to name a fewNB: Ngwea na JayMo wamewahi kukutana kwenye ngoma mbili; Kimyakimya na Cheza kwa Step
Hii M.A.F.I.A "Machizi Ambao Fani Imelala Asilia" naupataje huu mdundo. ? Nani anao?Wamekutana kwenye ngoma kibao tu to name a few
1.kimafia
2.mida mibovu
tyc nakupa challenge,kasikilize na album ya Daz Baba-Elimu Dunia.
Kama utabahatika kusikiliza full album basi njoo tena.
Kwangu binafsi Daz naona haitokuja kutokea album kama ile,nyimbo kwa nyimbo,maudhui ya kila wimbo,uadishi,chorus na mpangilio wa ala zilizotumika.
Bahati mbaya sana kipindi kile Ruge alikua na biashara zake na MWANAFA,album bora akawa anachukua FA.
Kwangu naamini album hii ina madini mengi sana na ubora uliotukuka
View attachment 2131911