N'gwasi D. Kamani, the most brilliant lawyer from Tanzania i have ever met

Upo sahihi kabisa. Ule ujumbe haukuwa idea yake, bali alikabidhiwa yeye kimkakati ausome ili kufanikisha yafuatayo;
Kuua joto lililokuwa lipo chini kwa chini la kutaka Samia asigombee, hivyo platform ile kutumika kupitisha wawili wale kuwa wagombea ingawa wajumbe wale hakuna aliyejua kuwa swla la kuteua mgombea lilikuwa miongoni mwa maazimio ya kikao.

Pia, N'gwasi alipewa yeye hoja ile aiwasilisilishe sababu ya kuipa nguvu ya vijana kwamba ndiyo waliopendekeza iwe vile.
kingine, mbali ya kuwa ni Kijana, pia N'gwasi ni kanda ya Ziwa, hivyo kwa kumtumia yeye kuwasilisha hoja ile, lile kundi la Mwendazake ndiyo limezikwa rasmi kwenye siasa za CCM, kwani sasa hivi wameshamuumba N'gwasi kuwa kielelezo wa siasa za kanda ya Ziwa, akina Makonda, Biteko akina Angela Mabula na wenzao ndiyo rasmi sasa watafute namna. Huku wameshamtengeneza N'gwasi, huku wameikamata damu nyingine changa , Mzee Wasira...ni kifo rasmi cha mtandao na siasa za 'Sukuma Gang'.

Mikakati yote hiyo, CCM ilikuwa ilikuwa ikipigana vita dhidi yake yenyewe, vita ya ndani, ni aina fulani ya mbinu waliyompa Mbowe aitumie ndani ya CHADEMA lakini CHADEMA wakastuka, wakaamua kuitumia silaha yao wenyewe.

 
Fact.

But Ng'wasi is brilliant
 
Chawa kama machawa wengine tu huyo ngw'asi huyu si ndiyo alisema noti iwekwe picha ya samia? U smart gani gani aliokuwa nao?
 
Chawa kama machawa wengine tu huyo ngw'asi huyu si ndiyo alisema noti iwekwe picha ya samia? U smart gani gani aliokuwa nao?
Kwa huyu hujui siasa hutoelewa kwanini alisema hivyo
 
Yes ni N'gwasi ila wenzake walikuwa wanamuita Mwasi. Nilikuwa natoka na Classmate wake @Lawschool of Tanzania cohort ya 24 mwaka 2007 nilimfahamu kupitia classmate wake
Mwaka 2007 tena.

Si ushasema mwaka 2017 kwenye thredi yako
 
Yes ni N'gwasi ila wenzake walikuwa wanamuita Mwasi. Nilikuwa natoka na Classmate wake @Lawschool of Tanzania cohort ya 24 mwaka 2007 nilimfahamu kupitia classmate wake
Usahihi ni Ng'wasi na si N'gwasi.

Ng'wasi Damas Kamani​


Born: March 28, 1996 (age 28 years
 
Next time kabla ya kudondosha Uzi unatutajia kwanza jina lako na jinsia yako…

Japo baada ya kujifungua na kumpa jina la Mwasi mtoto wako ndo nikafahamu kuwa ww ni KE.

Ok Madam wa “kind of events which are attended only by people who really matters in this country.” Mm binafsi nitoe kongole kwa brilliant lawyer n ww shost yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…