N'gwasi D. Kamani, the most brilliant lawyer from Tanzania i have ever met

N'gwasi D. Kamani, the most brilliant lawyer from Tanzania i have ever met

Watu tuko gizani for several months, productivity imeshuka, kazi haziendi, mapato yameyumba maji hakuna etc etc alafu unakuja na post kama hii yakipumbavu kabisa! Shame on you and your whole clan!
Dah so tuache kupost vitu vyetu kwa kuwa wewe huna hela? We bwege nini?
 
Aisee Masawe kusoma siyo mwisho wa ujinga.
 
Usikariri mkuu hata Giggy Money ana share the same birthday with Pac. Masha Love na yeye ni Gemini pia. Bila kuwasahau TID na Diva the Bawse.

Biggie Smalls alikuwa Gemini pia.

Gemini ni watu ambao wana amini wana akili nyingi kushinda watu wengine na huo ndio udhaifu wao mkubwa.

Mbona Biggie hakuwa against the government?
Mashalove simjui.ila gigy kuna mtu anamkuta confidence na kusema ukweli ?
Akili ziko evenly dstributed kwa wote kama urefu na ufupi.
Ila mtu kama mwijaku babalevo sijui msukuma mara babalevo hawezi kuwa gemini .
 
Nilifahamiana na N'gwasi D. Kamani kwa mara ya kwanza mwaka 2017 akiwa bado binti mbichi kabisa mwenye umri wa miaka 20/21. Yes she was just born in 1996.

Nilikutana nae kwenye event moja jijini Darusalama.

The kind of events which are attended only by people who really matters in this country.

Alikuwa anasoma Law School Of Tanzania Cohort ya 24, a Fresh LIB Graduate from St.Augustine University of Tanzania ( SAUT- Mwanza)

Rafiki zake walimwita simply "Mwasi" Na Mimi kwenye Uzi huu nitamuita Mwasi.

Niliambiwa N'gwasi kwa kisukuma maana yake ni msichana, kama ilivyo kwa kilingala (Mwasi. Mfano Mwasi Kitoko = Msichana mzuri)

Tulikuwa tumekaa kwenye meza moja kubwa iliyo zungungukwa na viti kumi na viwili.

Vitu alivyo kuwa akiviongea na hoja alizo kuwa akizijenga ikilinganishwa na umri wake vilini fanya niprove beyond any reasonable doubt ndani ya nafsi yangu kwamba ama kwa hakika this fine specie of a woman before me, is undoubtebly extremly brilliant. She only spoke relevant facts and relevant facts only

Ukiniambia nitunge sentensi moja kuhusu N'gwasi D. Kamani i will simply say , Mwasi D. Kimani is a very brilliant lady.


Kupitia maongezi ya hapo kwenye meza niligundua kwamba huyu mdada is a Lawyer in the making. She was pursuing her Diploma in Legal Practising at the Law School Of Tanzania and Of course I said to my self sijawahi KUKUTANA na lawyer or a lawyer to be wa kitanzania ambae yupo brilliant kama huyu dada " Mwasi "

Niliomba namba zake za simu na tukawa marafiki wakubwa sana na msichana huyu makini smart brilliant na mtoto wa tajiri kutoka kwao huko jijini Mwanza.

To be honest with u guys, I have got a very deep respect toward this girl na huwaga naamini atakuja kufika mbali sana kwenye career yake kama ninavyo amini kuhusu Jokate Mwegelo na Khadija K.Ismail.

Kutokana na heshima kubwa niliyo nayo kwa Mwasi, mwaka 2020 Nilipata mtoto wa kike and I named her after her.

Can u imagine? Mimi sio msukuma lakini nimempa mtoto wangu wa kike jina la kisukuma. Yani ni sawa na wewe mnyakyusa umuite mtoto wako Kokushubila simply kwa sababu umependezwa na msichana wa kihaya aitwae Kokushubila.


Ukiona mtanzania anampa mtoto wake jina la kikabila la mtanzania mwingine kwa sababu ya mtanzania huyo basi jua mtanzania huyo ana sifa za kipekee sana.

Nilisomaga na jamaa anaitwa Zamoyoni Massawe.

Baba ake mzee Massawe alimkubali sana Zamoyoni Mogella hadi akaamua kumuita mtoto wake jina la kiluguru/kizaramo wakati yeye ni mchagga. ( Zamoyoni Massawe baba ako alikuwaga anauza supu kwenye bar Manzese miaka ya 95 tukiwa darasa la 4 ni wewe ndo nakuzungumzia hapa)


Kwa wale wasio fahamu, I am a Gemini. We the Gemini people across the world , are characterised by one common character , the which character is we have the most biggest Egos on the face of planet earth.

When u think about the Gemini people u think about people like:

Donald Trump

Kanye West

T.I.D

Jide

Diva the Bawse

Tupac

Biggie etc .

Ni watu wenye big ego and arrogancy. We think we are the gods of this planet ( of course we are)

Ukiona mpaka nimefikia hatua ya kumkubali mtu kiasi cha kumpa mtoto wangu jina lake basi jua there is something special about that person.

Mwasi never speak nonsense.



When she speak one time I listen a million times.

Rule numbre uno: Mwasi is never wrong when she speak.


Rule number 2: if u think she is wrong then refers to rule number 1.


Rule no 3: If u think she is very very wrong then you should regard the " wrong" thing as a new idea.


Mh. N'GWASI D.KAMANI, The Advocate of the High Court of Tanzania and subordinate courts there too save for primary courts.

With due respect. I beg to agree with your statement.

Sura ya Samia iwekwe kwenye hela ya Tanzania..

Sio mnatuwekea picha ya tembo, nyoka, twiga au Simba.

Wewe unaweza kumshika tembo wewe? Unaweza kumshika Simba au nyoka wewe?

Wenzako walio weka picha ya tembo na nyoka na Simba wanakutukana kiutu uzima wanakwambia kwa lugha ya picha kwamba huwezi kushika hela wewe kama ambavyo huwezi kumshika tembo utabaki kuwa masikini.

Mwasi ameshauri iwekwe picha ya mama Samia badala ufurahie wewe unataka iendelee kukaa picha ya tembo ili usiendelee kushika hela. ( kwa sauti ya Mzee Mpili; we mjinga nini???)

Wewe ponda tu kauli ya Mwasi , Utaendelea na ufala wako wa kutokushika hela hivyo hivyo.

# Mama Kizimkazi.

# Samia mbele kwa mbele.
# Naunga mkono hoja ya Mh.Mwasi
Nami niliwahi kukutana na mabalozi wa Japani watatu kwa nyakati tofauti, nao ni balozi Sato, Masaki na Kazimoto.
 
Anaitwa N'gwasi Damas Kamani. Huyo Dr. Titus probably anaweza kuwa baba ake mdogo au mkubwa

Titus na Damas ni mtu na mdogo wake wanafanana mbaya sema Damas anafuga rasta Titus hafugi Damas ndo bab’ake Ng’was
 
Titus na Damas ni mtu na mdogo wake wanafanana mbaya sema Damas anafuga rasta Titus hafugi Damas ndo bab’ake Ng’was
Duh kumbe ndo maana Mwasi anapenda sana Reggae hususani nyimbo as Bob inawezekana amekuwa inspired na baba ake
 
Mashalove simjui.ila gigy kuna mtu anamkuta confidence na kusema ukweli ?
Akili ziko evenly dstributed kwa wote kama urefu na ufupi.
Ila mtu kama mwijaku babalevo sijui msukuma mara babalevo hawezi kuwa gemini .
She has false confidence
 
U know her? Unakubaliana ma.mimi kwamba she is very smart and brilliant?
Namfahamu japo sio sana. Kuna ndugu yake ndio ninafahamiana naye vizuri.

She is Smart upstairs.

Nilishawahi piga naye story miaka kadhaa nyuma. Kwa dakika chache nilizozungumza naye niligundua ni one amongst the finest brain we have in our country.

Japo hoja aliyoitoa sikubaliani naye. Nchi ina matatizo kibao wewe unawaza nani awekwe kwenye pesa.

Japo wazo lake ni zuri tu, kwenye jamii ya kimfumo dume. Rais mwanamke akiwekwa kwenye pesa ita- inspire mabinti wengi, walio vulnerable kuathiriwa na mfumo huu.
 
Likud, this is the second time unaandika nonsense. Mada Yako ya kukataza watu wasipeleke watoto shule za English medium ilikuwa pure nonsense. Seriously sura ya rais Samia kwenye noti ndicho kitu watu wanataka?

Katikati ya wizi, ufisadi , ukosefu wa umeme, kupanda kwa gharama ya maisha sura ya raisi kwenye noti ndicho kitu kinapaswa kutuchukulia muda kujadili?

Mbali na kuendeleza yaliyopo, mpaka sasa kitu gani kipya ambacho rais Samia aweza kujivunia kafanya kwa ubunifu wake yeye mwenyewe?
 
Likud, this is the second time unaandika nonsense. Mada Yako ya kukataza watu wasipeleke watoto shule za English medium ilikuwa pure nonsense. Seriously sura ya rais Samia kwenye noti ndicho kitu watu wanataka?

Katikati ya wizi, ufisadi , ukosefu wa umeme, kupanda kwa gharama ya maisha sura ya raisi kwenye noti ndicho kitu kinapaswa kutuchukulia muda kujadili?

Mbali na kuendeleza yaliyopo, mpaka sasa kitu gani kipya ambacho rais Samia aweza kujivunia kafanya kwa ubunifu wake yeye mwenyewe?
Upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom