N'gwasi D. Kamani, the most brilliant lawyer from Tanzania i have ever met

Nilifahamiana na N'gwasi D. Kamani kwa mara ya kwanza mwaka 2017 akiwa bado binti mbichi kabisa mwenye umri wa miaka 20/21. Yes she was just born in 1996.

Nilikutana nae kwenye event moja jijini Darusalama.

The kind of events which are attended only by people who really matters in this country.

Alikuwa anasoma Law School Of Tanzania Cohort ya 24, a Fresh LIB Graduate from St.Augustine University of Tanzania ( SAUT- Mwanza)

Rafiki zake walimwita simply "Mwasi" Na Mimi kwenye Uzi huu nitamuita Mwasi.

Niliambiwa N'gwasi kwa kisukuma maana yake ni msichana, kama ilivyo kwa kilingala (Mwasi. Mfano Mwasi Kitoko = Msichana mzuri)

Tulikuwa tumekaa kwenye meza moja kubwa iliyo zungungukwa na viti kumi na viwili.

Vitu alivyo kuwa akiviongea na hoja alizo kuwa akizijenga ikilinganishwa na umri wake vilini fanya niprove beyond any reasonable doubt ndani ya nafsi yangu kwamba ama kwa hakika this fine specie of a woman before me, is undoubtebly extremly brilliant. She only spoke relevant facts and relevant facts only

Ukiniambia nitunge sentensi moja kuhusu N'gwasi D. Kamani i will simply say , Mwasi D. Kimani is a very brilliant lady.

Kupitia maongezi ya hapo kwenye meza niligundua kwamba huyu mdada is a Lawyer in the making. She was pursuing her Diploma in Legal Practising at the Law School Of Tanzania and Of course I said to my self sijawahi KUKUTANA na lawyer or a lawyer to be wa kitanzania ambae yupo brilliant kama huyu dada " Mwasi "

Niliomba namba zake za simu na tukawa marafiki wakubwa sana na msichana huyu makini smart brilliant na mtoto wa tajiri kutoka kwao huko jijini Mwanza.

To be honest with u guys, I have got a very deep respect toward this girl na huwaga naamini atakuja kufika mbali sana kwenye career yake kama ninavyo amini kuhusu Jokate Mwegelo na Khadija K.Ismail.

Kutokana na heshima kubwa niliyo nayo kwa Mwasi, mwaka 2020 Nilipata mtoto wa kike and I named her after her.

Can u imagine? Mimi sio msukuma lakini nimempa mtoto wangu wa kike jina la kisukuma. Yani ni sawa na wewe mnyakyusa umuite mtoto wako Kokushubila simply kwa sababu umependezwa na msichana wa kihaya aitwae Kokushubila.

Ukiona mtanzania anampa mtoto wake jina la kikabila la mtanzania mwingine kwa sababu ya mtanzania huyo basi jua mtanzania huyo ana sifa za kipekee sana.

Nilisomaga na jamaa anaitwa Zamoyoni Massawe.

Baba ake mzee Massawe alimkubali sana Zamoyoni Mogella hadi akaamua kumuita mtoto wake jina la kiluguru/kizaramo wakati yeye ni mchagga. ( Zamoyoni Massawe baba ako alikuwaga anauza supu kwenye bar Manzese miaka ya 95 tukiwa darasa la 4 ni wewe ndo nakuzungumzia hapa)

Kwa wale wasio fahamu, I am a Gemini. We the Gemini people across the world , are characterised by one common character , the which character is we have the most biggest Egos on the face of planet earth.

When u think about the Gemini people u think about people like:

Donald Trump

Kanye West

T.I.D

Jide

Diva the Bawse

Tupac

Biggie etc .

Ni watu wenye big ego and arrogancy. We think we are the gods of this planet ( of course we are)

Ukiona mpaka nimefikia hatua ya kumkubali mtu kiasi cha kumpa mtoto wangu jina lake basi jua there is something special about that person.

Mwasi never speak nonsense.

When she speak one time I listen a million times.

Rule numbre uno: Mwasi is never wrong when she speak.

Rule number 2: if u think she is wrong then refers to rule number 1.

Rule no 3: If u think she is very very wrong then you should regard the " wrong" thing as a new idea.

Mh. N'GWASI D.KAMANI, The Advocate of the High Court of Tanzania and subordinate courts there too save for primary courts.

With due respect. I beg to agree with your statement.

Sura ya Samia iwekwe kwenye hela ya Tanzania..

Sio mnatuwekea picha ya tembo, nyoka, twiga au Simba.

Wewe unaweza kumshika tembo wewe? Unaweza kumshika Simba au nyoka wewe?

Wenzako walio weka picha ya tembo na nyoka na Simba wanakutukana kiutu uzima wanakwambia kwa lugha ya picha kwamba huwezi kushika hela wewe kama ambavyo huwezi kumshika tembo utabaki kuwa masikini.

Mwasi ameshauri iwekwe picha ya mama Samia badala ufurahie wewe unataka iendelee kukaa picha ya tembo ili usiendelee kushika hela. ( kwa sauti ya Mzee Mpili; we mjinga nini???)

Wewe ponda tu kauli ya Mwasi , Utaendelea na ufala wako wa kutokushika hela hivyo hivyo.

# Mama Kizimkazi.

# Samia mbele kwa mbele.
# Naunga mkono hoja ya Mh.Mwasi
sijasoma yote lakini baadaye nitarudi.
inaonekana inaweza kunivutia nikaanza weekend vzr.
 
What is all this rubbish you have written??? Broken English all over the place for a start!!!!!!. You would be wiser to keep your admiration for the lady to yourself. Pathetic!!!!!
 
Wacha bana.
 
Kesho saa 4 kamili uje hapa ofisi za GPA (Gemini peoople association) kitaru a shekilango.
Uje na viambatanisho hivi
1.barua ya maelezo ya kuandika huu upumbafu tangu chama kusimikwa
2.kadi yako ya uanachama kwa maamuzi yeyote
3.mali za chama ulizonazo za kuhamishika
Aidha mwenyekiti anatoa rai wajumbe mpuuze hii post ni ya watu wasioitakia mema taasisi yetu
Wenu
Katibu mwenezi GPA
......
The only
 
Yaani brilliant asome SAUT? tupunguze uchawa.....angekuwa brilliant angesoma walau UDSM na angekuwa recommended kuwa academician, na leo hii angekuwa anayo Masters au PhD kutoka Harvard.​
 
tusikariri sana watu wanabadilika wengi wenye maisha mazuri na mafanikio ni wale wasioenda shule kubwa na wengi tunatumwa mjini na wao.
huwezi kujua huwenda wakati wa mitihani alikuwa awe period lakini ikatokea siku zake zikagoma na kusababisha wenge ikashusha uwezo wake wa kufanya vizuri.
 
Yaani brilliant asome SAUT? tupunguze uchawa.....angekuwa brilliant angesoma walau UDSM na angekuwa recommended kuwa academician, na leo hii angekuwa anayo Masters au PhD kutoka Harvard.​
Mimi nimesoma udsm pia . Ingawa sijasoma sheria lakini records za Law School zinaonyesha graduates wa SAUT ndio wanao fanya vizuri zaidi kwenye mitihani ya LST.

Hata huyu Mwasi alifaulu First sitting mitihani ya Law School Cohort ya 24 wakati kuna graduates kibao tu wa udsm mpaka leo bado wanasota.

Kingine hiyo status ya udsm ilikuwaga miaka ya 2005 kushuka chini sasa udsm inaonekana ya kawaida tu kama vyuo vingine na graduates wake wengi tu wamekuwa bodaboda ubungo Msewe na Changanyikeni.

3. Mwasi ni mtoto wa tajiri. And she is her father's daughter huenda baba ake hakutaka mtoto wake akasome mbali na nyumbani ndio maana dogo kasomea SAUT. Kumbuka Mwasi ni mtoto wa mwaka 96 tu. Hiyo mwaka 2017 alikuwa na miaka 20/21. Kama ameingia law school na miaka 21 ukitoa na miaka minne ya llb maana ake ameingia first year akiwa na miaka 16 au 17.

Cha mwisho kama Mwasi angekuwa amesoma St Augustine miaka ya 80 au 90 hoja yako ingeweza kuwa na mashiko kwa sababu kipindi hicho chuo kilikuwa udsm pekee labda na mzumbe.

Mwasi ni mtoto wa juzi hapa kitoto cha 96 wakati wewe upo form four mwaka huo
 
My friend why have you chosen to be poor while there is a plenty of money every where?

Sema hujaelewa alicho kisema. Ameongea kitu kikubwa sana ni ngumu mno kwa mtu asie penda kuwaza kuelewa alicho kisema Mwasi
Chawa tu.
 
Hisia na mahaba ya wazi yasio na msingi yametapakaa katika uzi.
Taifa haliwezi kukurupuka tu na kuweka picha ya raisi wa sasa katika fedha, kwakua mwanasheria bla bla bla kasema hivyo.
Lakini sishangai, dunia ya sasa ukitaka watu wakuskilize zungumzia Wanawake, Mashoga na watoto utapewa kila sikio
 
Kesho saa 4 kamili uje hapa ofisi za GPA (Gemini peoople association) kitaru a shekilango.
Uje na viambatanisho hivi
1.barua ya maelezo ya kuandika huu upumbafu tangu chama kusimikwa
2.kadi yako ya uanachama kwa maamuzi yeyote
3.mali za chama ulizonazo za kuhamishika
Aidha mwenyekiti anatoa rai wajumbe mpuuze hii post ni ya watu wasioitakia mema taasisi yetu
Wenu
Katibu mwenezi GPA
......
The only
Huwezi kuwa Gemini wewe
 
Huwezi kuwa Gemini wewe
Nimezaliwa same day na 2pac.ndo maana gemini wengi wako aganst system sio machawa wa mama kizimkazi kama ww na mwijaku.
Jaydee anafahamika alikuwa against magu na ushenzi wake
2pac aliuawa na system
Trump yuko against system
Gemini mm nikienda popote anaeongea ukweli na haogopi mtu 70 per huwa sisi wahuni wa gemini.
 
Usikariri mkuu hata Giggy Money ana share the same birthday with Pac. Masha Love na yeye ni Gemini pia. Bila kuwasahau TID na Diva the Bawse.

Biggie Smalls alikuwa Gemini pia.

Gemini ni watu ambao wana amini wana akili nyingi kushinda watu wengine na huo ndio udhaifu wao mkubwa.

Mbona Biggie hakuwa against the government?
 
Nilifahamiana na N'gwasi D. Kamani kwa mara ya kwanza mwaka 2017 akiwa bado binti mbichi kabisa mwenye umri wa miaka 20/21. Yes she was just born in 1996.

Nilikutana nae kwenye event moja jijini Darusalama.

The kind of events which are attended only by people who really matters in this country.

Alikuwa anasoma Law School Of Tanzania Cohort ya 24, a Fresh LIB Graduate from St.Augustine University of Tanzania ( SAUT- Mwanza)

Rafiki zake walimwita simply "Mwasi" Na Mimi kwenye Uzi huu nitamuita Mwasi.

Niliambiwa N'gwasi kwa kisukuma maana yake ni msichana, kama ilivyo kwa kilingala (Mwasi. Mfano Mwasi Kitoko = Msichana mzuri)

Tulikuwa tumekaa kwenye meza moja kubwa iliyo zungungukwa na viti kumi na viwili.

Vitu alivyo kuwa akiviongea na hoja alizo kuwa akizijenga ikilinganishwa na umri wake vilini fanya niprove beyond any reasonable doubt ndani ya nafsi yangu kwamba ama kwa hakika this fine specie of a woman before me, is undoubtebly extremly brilliant. She only spoke relevant facts and relevant facts only

Ukiniambia nitunge sentensi moja kuhusu N'gwasi D. Kamani i will simply say , Mwasi D. Kimani is a very brilliant lady.

Kupitia maongezi ya hapo kwenye meza niligundua kwamba huyu mdada is a Lawyer in the making. She was pursuing her Diploma in Legal Practising at the Law School Of Tanzania and Of course I said to my self sijawahi KUKUTANA na lawyer or a lawyer to be wa kitanzania ambae yupo brilliant kama huyu dada " Mwasi "

Niliomba namba zake za simu na tukawa marafiki wakubwa sana na msichana huyu makini smart brilliant na mtoto wa tajiri kutoka kwao huko jijini Mwanza.

To be honest with u guys, I have got a very deep respect toward this girl na huwaga naamini atakuja kufika mbali sana kwenye career yake kama ninavyo amini kuhusu Jokate Mwegelo na Khadija K.Ismail.

Kutokana na heshima kubwa niliyo nayo kwa Mwasi, mwaka 2020 Nilipata mtoto wa kike and I named her after her.

Can u imagine? Mimi sio msukuma lakini nimempa mtoto wangu wa kike jina la kisukuma. Yani ni sawa na wewe mnyakyusa umuite mtoto wako Kokushubila simply kwa sababu umependezwa na msichana wa kihaya aitwae Kokushubila.

Ukiona mtanzania anampa mtoto wake jina la kikabila la mtanzania mwingine kwa sababu ya mtanzania huyo basi jua mtanzania huyo ana sifa za kipekee sana.

Nilisomaga na jamaa anaitwa Zamoyoni Massawe.

Baba ake mzee Massawe alimkubali sana Zamoyoni Mogella hadi akaamua kumuita mtoto wake jina la kiluguru/kizaramo wakati yeye ni mchagga. ( Zamoyoni Massawe baba ako alikuwaga anauza supu kwenye bar Manzese miaka ya 95 tukiwa darasa la 4 ni wewe ndo nakuzungumzia hapa)

Kwa wale wasio fahamu, I am a Gemini. We the Gemini people across the world , are characterised by one common character , the which character is we have the most biggest Egos on the face of planet earth.

When u think about the Gemini people u think about people like:

Donald Trump

Kanye West

T.I.D

Jide

Diva the Bawse

Tupac

Biggie etc .

Ni watu wenye big ego and arrogancy. We think we are the gods of this planet ( of course we are)

Ukiona mpaka nimefikia hatua ya kumkubali mtu kiasi cha kumpa mtoto wangu jina lake basi jua there is something special about that person.

Mwasi never speak nonsense.

When she speak one time I listen a million times.

Rule numbre uno: Mwasi is never wrong when she speak.

Rule number 2: if u think she is wrong then refers to rule number 1.

Rule no 3: If u think she is very very wrong then you should regard the " wrong" thing as a new idea.

Mh. N'GWASI D.KAMANI, The Advocate of the High Court of Tanzania and subordinate courts there too save for primary courts.

With due respect. I beg to agree with your statement.

Sura ya Samia iwekwe kwenye hela ya Tanzania..

Sio mnatuwekea picha ya tembo, nyoka, twiga au Simba.

Wewe unaweza kumshika tembo wewe? Unaweza kumshika Simba au nyoka wewe?

Wenzako walio weka picha ya tembo na nyoka na Simba wanakutukana kiutu uzima wanakwambia kwa lugha ya picha kwamba huwezi kushika hela wewe kama ambavyo huwezi kumshika tembo utabaki kuwa masikini.

Mwasi ameshauri iwekwe picha ya mama Samia badala ufurahie wewe unataka iendelee kukaa picha ya tembo ili usiendelee kushika hela. ( kwa sauti ya Mzee Mpili; we mjinga nini???)

Wewe ponda tu kauli ya Mwasi , Utaendelea na ufala wako wa kutokushika hela hivyo hivyo.

# Mama Kizimkazi.

# Samia mbele kwa mbele.
# Naunga mkono hoja ya Mh.Mwasi
Watu tuko gizani for several months, productivity imeshuka, kazi haziendi, mapato yameyumba maji hakuna etc etc alafu unakuja na post kama hii yakipumbavu kabisa! Shame on you and your whole clan!
 
Back
Top Bottom