Huu mradi hautawasaidia watanzania walio wengi katika kuhakikisha wana pata nyumba za kupanga na kuishi za bei nafuu. Bei zake za awali zilikuwa za kichaa. Ndo maana bado nalia na hili shirika, haliwajengei wana nchi wa kipato cha kawaida walio wengi. Tutafurahia majengo marefu na mazuri ila hatutafaidika na wala haitaboresha maisha yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe moyo.Mkuu kuna ule msemo usemao
Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
Eneo kama Kawe wajenge nyumba kwa ajili ya kila mtu?
Hili ni deni la shirika la kibiashara, sio Serikali. Kuna tofauti kati ya kucheza kamali na shirika moja na kucheza kamali na nchi nzima. Nyinyi mlishauza nchi yenu kwa Mchina subirini siku wakija kubadili makufuli.
Halafu inasema unajuwa mambo ya Tanzania, Tanzania middle class inakuwa twice the rate of GDP. NHC ni shirika linalo jiendesha kibiashara, ndio maana wanaweza kukopa ili waweze kujiendeleza. Huwezi kuona NHC inajenga nyumba halafu serikali inatoa rizuku ili nyumba hizo ziwe bei ya chini kama ilivyo SGR yenu serikali inatowa ruzuku ili kuonyesha mradi unalipa. Kiukweli SGR ya Kenya imejengwa kunufaisha familia fulani iweze kufanya biashara zake, kituko ni kwamba mzigo wa kulipa huo mkopo umebebwa na Wakenya wote.NHC ni shirika la serikali ya Tanzania chini ya wizara ya ardhi, kwani hilo deni atalipa Mkenya? Mnajenga nyumba nyingi hivi kwa mkopo mkubwa kiasi hicho halafu ukumbuke Watanzania wengi sio middle-class wenye uwezo wa nyumba kama hizi, wengi wanaishi Manzense n.k.
Wekeza mikopo kwenye miundo mbinu kama reli....
Sio yaki fisadi kama SGR
Kwanza kabisa habari hii inafanya nini kwenye jukwaa la Kenya?
Miradi mingine iliyokamilika ya NHC inaendaje kibiashara? Tuhuma zozote za kifisadi zimedhibitiwa ipasavyo? Tunaweza kufurahia huu mkopo baadae tukaja kushangilia watu kutumbuliwa huku tumeshaingia hasara.
Huu mradi hautawasaidia watanzania walio wengi katika kuhakikisha wana pata nyumba za kupanga na kuishi za bei nafuu. Bei zake za awali zilikuwa za kichaa. Ndo maana bado nalia na hili shirika, haliwajengei wana nchi wa kipato cha kawaida walio wengi. Tutafurahia majengo marefu na mazuri ila hatutafaidika na wala haitaboresha maisha yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ma block yata fail
Rais azuie mkopo huo utakuja kulimaliza shirika.
Nyumba haziuziku ...ni concetration camp block 6 gorofa 20 kila moja ...huwezi ku invest hapo hela yako hairudi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba za watu yahali ya chini zipo Kigamboni, Mbweni na Boko. Kawe sio Kibera ni prime na very hot area. Wizara ya Aridhi na mipango miji imeamua kuweka satellite city hata kama isingekuwa NHC wengine wangejenga hivo kutokana na plan ya mipango mimi.NHC ni shirika la serikali ya Tanzania chini ya wizara ya ardhi, kwani hilo deni atalipa Mkenya? Mnajenga nyumba nyingi hivi kwa mkopo mkubwa kiasi hicho halafu ukumbuke Watanzania wengi sio middle-class wenye uwezo wa nyumba kama hizi, wengi wanaishi Manzense n.k.
Wekeza mikopo kwenye miundo mbinu kama reli....
Mkuu hujui biashara wewe. Kuwa mpole. Wacha wanaojiamini wafanye biashara. Umezaliwa umeikuta NHC, wenzako wamepiga hesabu za mbali, (ambazo nadhani wewe zilikupiga chenga)Hayo ma block yata fail
Rais azuie mkopo huo utakuja kulimaliza shirika.
Nyumba haziuziku ...ni concetration camp block 6 gorofa 20 kila moja ...huwezi ku invest hapo hela yako hairudi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huijui Tanzania.NHC ni shirika la serikali ya Tanzania chini ya wizara ya ardhi, kwani hilo deni atalipa Mkenya? Mnajenga nyumba nyingi hivi kwa mkopo mkubwa kiasi hicho halafu ukumbuke Watanzania wengi sio middle-class wenye uwezo wa nyumba kama hizi, wengi wanaishi Manzense n.k.
Wekeza mikopo kwenye miundo mbinu kama reli....
Right post in the wrong place. Good news fir Tanzania. However, kindly post it in your fòrum or is it not popular as the Kenyan forum?
NHC ni shirika la serikali ya Tanzania chini ya wizara ya ardhi, kwani hilo deni atalipa Mkenya? Mnajenga nyumba nyingi hivi kwa mkopo mkubwa kiasi hicho halafu ukumbuke Watanzania wengi sio middle-class wenye uwezo wa nyumba kama hizi, wengi wanaishi Manzense n.k.
Wekeza mikopo kwenye miundo mbinu kama reli....
Soma kwanza thread usikulupuke kuandika. Mseche yuyo bright sana kama mtoto wake alivyo ongoza TZ nzima kimasomo. NHC miradi yao inaendea vizuri Dar es salaam. Apartments kwenye majengo zina nunuliwa hats kabla project kaisha.They know what they are doing. Nahiyo taasisi iko chini ya Lukuvi. Hakija haribika kitu.
Mimi nipo tangu Nhc inapata nyumba za wizi.Mkuu hujui biashara wewe. Kuwa mpole. Wacha wanaojiamini wafanye biashara. Umezaliwa umeikuta NHC, wenzako wamepiga hesabu za mbali, (ambazo nadhani wewe zilikupiga chenga)
Hio zamani sio wakati wa magu...Wewe huijui Tanzania.
Miradi yote ya NHC, (despite higher costs)
Hununuliwa kabla hata haijaisha .
Mimi nipo tangu Nhc inapata nyumba za wizi.
hizi za miji yote tanzania nzima ni za dhulma.
kwa taarifa yako kabla Miradi mipya nyumba zao zilikuwa zikinunuliwa off plan kama unaelewa.
leo pale morocco mradi ule wameuza 50% tena kutoka awamu ilopita.
sasa hivi umedoda.
tukirudi kawe ni kuwa plan nzima wameharibu kwa design ambayo kuweka concetration ya watu wengi kwa pamoja ni blocks nyingi sehemu moja
Hii watu wengi hawapendi.
wange design vila types nk
ukumbuke sasa hivi miradi mingi ya nyumba imesimama kwa ukosefu wa soko.
hizi nyumba ya chini ni Tshs 400m...mbongo gani atatupa hela hio ?
Gege kule kigamboni ime fail
kuna wachina wa Avinc nao walijenga nyumba 100 tena nyumba za kujitegemea iliwapa tabu sana kuziuza. Na walikusuduia kuendelea 2nd phase wame stop...hakuna soko ..
mjini maeneo ya upanga masaki zipo nyumba zimedoda kuuzika...tena masaki ndio posh areas kuishi au ku invest.
hapo ndugu yangu mradi kwa sasa sio muafaka...bora wageuze hio sehemi iwe Univesitu tupate wasomi kuindesha hii nchii
Sent using Jamii Forums mobile app