HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Huu mradi hautawasaidia watanzania walio wengi katika kuhakikisha wana pata nyumba za kupanga na kuishi za bei nafuu. Bei zake za awali zilikuwa za kichaa. Ndo maana bado nalia na hili shirika, haliwajengei wana nchi wa kipato cha kawaida walio wengi. Tutafurahia majengo marefu na mazuri ila hatutafaidika na wala haitaboresha maisha yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna ule msemo usemao
Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
Eneo kama Kawe wajenge nyumba kwa ajili ya kila mtu?