NHC gets $2Billion loan for its new Kawe Satellite City

Nitarifa nzuri lakini mafisi yatatafuna nusu ya hio pesa
Siyo chini ya uncle Magu. Onyo alishatoa hela yake hailiwi la sivyo itatokea kwenye tundu lolote la mwili ukila. Werevu watakuwa wameshamuelewa
 
Hii ni ngumu kumeza lkn hii amount hapa mmmmm $2 Bloan hii ni amount kubwa sn kukupeshwa hata kama nyie NHC Mnanyumba Nchi nzima ...

Anyway tunawatakia kher baada 2020 tujekupanga hapo huo mradi sindio utakakuwa compeleted.


Zimwi likujualo......
 
Wewe acha hizo.fremu ya kkoo na kawe city itakua sawa? Kwanza watakua wanalipia per square metres $$ kadhaa then bei iwe sawa na kkoo? Impossible.

Ukubali ukatae hizo project ni za matajiri.Na hao matajiri hawapend ago shopping kkoo kwa sababu ulizozutaja hapo juu na watafurahi kweli ikikamilika wasipishane na wanuka jasho wa kkoo.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tu ngosha arudi mjini
utaona wanapigwa stop.
masaki nyumba kodi zimeshuka sana.
usidanganye.
ukivuka msasani ya tanesco wachina wamejenga imelala mpaka owner kapata pressure
ukivuka msasani kwa mwalimu again wachina wame buma
msasani mediterean karibu na kawe city mradi umefail jamaa anauza anadaiwa bank kashindwa kulipa.
flat hizi za Nhc mwanzo wakivutila na payment plans. Sasa wakati mgumu bank zinataka more guarantee
na soko la nyumba kws kodi linapungua ukiimaliza msasani bei chini..mikocheni inapungua zaidi na ukifika mbezi chini sana huko kawe sawa na sinza
watu wakulipa $4000 wapo masaki na ma Tx wamepungua sana wamebaki mabalozi ambao hawa ondoki masaki.
kuhamia dodoma nayo ni factor nyengine
kuna tatizo la soko kwa sasa ...sababu kubwa ROI ipo chini ...itachukua miaka 20 kurejesha hela yako..
kule Arusha NSsf wana jengo kubwa sana lina mall ndani na maofisi rent ilikua 18/sqm ..hamna watu..leo wameshusha mpaka $7
pia mwanza hivo hivo....
hizi ni facts ...Nhc wawekeze nyumba za bei za chini zina soko kubwa...high end investment ni kwa wachache kama wewe tajiri wetu na wengi wa wamebanwa kwa ufisadi.
nyumba nyingi za nhc zimenunuliwa na maofisa wa serikali na parastatals..sasa subutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe acha ushamba. Kawe hawawekezi sana kwenye residential buildings Bali commercial buildings. Pili unaongea kama ndo mwisho wao kujenga.
Ataitwa ikulu na ataambiwa hio project iende dodoma
 
Hii ni ngumu kumeza lkn hii amount hapa mmmmm $2 Bloan hii ni amount kubwa sn kukupeshwa hata kama nyie NHC Mnanyumba Nchi nzima ...

Anyway tunawatakia kher baada 2020 tujekupanga hapo huo mradi sindio utakakuwa compeleted.


Zimwi likujualo......
Wameshokopeshwa tayari, kwa maneno mengine hiyo pesa tayari wanayo kwenye account
 
Unajua ndugu yangu watanzania tulio wengi hatuna uelewa wa mambo mengi sn wengi tunakwenda au tunacheza ngoma kwa sound ya wakati ule ikibadilishwa na sisi tuna badilika ....

Tuliletewa mradi mkubwa east Africa cjui unaitwa Kigamboni satalite city umeyayuka kama barafu... ukiachana nao kuna miradi mengine kule kigambano cjui DEGE ECO VILLAGE na EVIC TOWN cjui maendeleo yake yanakwenda vipi? Atleast Evic town umeonekana.

Zimwi likujualo......
 
msechu hamalizi huu mwaka bila kupigwa chiniii..

hata nssf ilianza hivyo hivyooo
 
Hii hapa ni Ramani ya Kawe City (CBD)

 
Toa povuuu lakini phase one imesha anza nawanasonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…