Ngoja tu ngosha arudi mjini
utaona wanapigwa stop.
masaki nyumba kodi zimeshuka sana.
usidanganye.
ukivuka msasani ya tanesco wachina wamejenga imelala mpaka owner kapata pressure
ukivuka msasani kwa mwalimu again wachina wame buma
msasani mediterean karibu na kawe city mradi umefail jamaa anauza anadaiwa bank kashindwa kulipa.
flat hizi za Nhc mwanzo wakivutila na payment plans. Sasa wakati mgumu bank zinataka more guarantee
na soko la nyumba kws kodi linapungua ukiimaliza msasani bei chini..mikocheni inapungua zaidi na ukifika mbezi chini sana huko kawe sawa na sinza
watu wakulipa $4000 wapo masaki na ma Tx wamepungua sana wamebaki mabalozi ambao hawa ondoki masaki.
kuhamia dodoma nayo ni factor nyengine
kuna tatizo la soko kwa sasa ...sababu kubwa ROI ipo chini ...itachukua miaka 20 kurejesha hela yako..
kule Arusha NSsf wana jengo kubwa sana lina mall ndani na maofisi rent ilikua 18/sqm ..hamna watu..leo wameshusha mpaka $7
pia mwanza hivo hivo....
hizi ni facts ...Nhc wawekeze nyumba za bei za chini zina soko kubwa...high end investment ni kwa wachache kama wewe tajiri wetu na wengi wa wamebanwa kwa ufisadi.
nyumba nyingi za nhc zimenunuliwa na maofisa wa serikali na parastatals..sasa subutu
Sent using
Jamii Forums mobile app