NHC gets $2Billion loan for its new Kawe Satellite City

kuna watu wana akili za kimasikini sana. wao hawataki maendeleo
 
Mimi nipo tangu Nhc inapata nyumba za wizi.
hizi za miji yote tanzania nzima ni za dhulma.
kwa taarifa yako kabla Miradi mipya nyumba zao zilikuwa zikinunuliwa off plan kama unaelewa.
leo pale morocco mradi ule wameuza 50% tena kutoka awamu ilopita.
sasa hivi umedoda.
tukirudi kawe ni kuwa plan nzima wameharibu kwa design ambayo kuweka concetration ya watu wengi kwa pamoja ni blocks nyingi sehemu moja
Hii watu wengi hawapendi.
wange design vila types nk
ukumbuke sasa hivi miradi mingi ya nyumba imesimama kwa ukosefu wa soko.
hizi nyumba ya chini ni Tshs 400m...mbongo gani atatupa hela hio ?
Gege kule kigamboni ime fail
kuna wachina wa Avinc nao walijenga nyumba 100 tena nyumba za kujitegemea iliwapa tabu sana kuziuza. Na walikusuduia kuendelea 2nd phase wame stop...hakuna soko ..
mjini maeneo ya upanga masaki zipo nyumba zimedoda kuuzika...tena masaki ndio posh areas kuishi au ku invest.
hapo ndugu yangu mradi kwa sasa sio muafaka...bora wageuze hio sehemi iwe Univesitu tupate wasomi kuindesha hii nchii

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nyumba gani Dar ya NHC imekosa mteja?
 
Hizi hela zitakuja kuondoka na wengi...

Ile dege village ya kigamboni ilikuja kuishia wapi?
 
Sasa unaongelea vitu ambavyo havijakamilika?
Unajua ndugu nimegundua watu wengi hawajui chochote aise. NHC linajiendesha kibiashara hivi kweli waanze kuwekeza biashara ambayo hailipi!? Magufuli na Lukuvi wangekubali kweli!? Halafu hii miladi siyo lazima wapate pesa leo ni long time plan.
Watu wamezoea biashara za nyanya eti lazima auze leo leo asipouza zitaharibika wanasahau kuwa siku hizi nyanya zinasindikwa.
 
Cheap argument comes from cheap people, ukisoma comment na hoja zao directly unapata picture uwezo wao ni mdogo, kwanza kama hiyo project isingelipa mkopo wangeupataje?

Watu wanadhani kupata mkopo ni kuandika tu business plan, mpaka bank imetoa $2B sio kivyepesi kama wanavyodhan hapo ni extensive project payback analysis zimemeet za upande wa NHC na za bank ndio wakaamua kuachia pesa.

Ajabu ni mtu ambaye hata kutambua credit side na debt side kwenye cashbook hajui anakuja kutoa maoni yake ya kipumbavu.
 
Hahahaha. Umenikumbusha wakati nasoma accounts. Mambo ya T, Cash flow, mambo ya balance sheet ratios jinsi ya kuzitafsiri ili kujua mwelekeo wa biashara.

Yaani nimekumbuka mbali sana.

Tatizo baadhi ya watu wanataka kulazimisha vitu ambavyo hawaviwezi. Hawajui hata mkopo unapitia processes zipi mpaka unaupata. Ingekuwa mkopo ni wa kuchukua ovyo ovyo banks zingekuwa zimefungwa.
NHC wanauza nyumba, NHC wanapangisha nyumba. Hata anaposema pale Morocco, na victoria mwambie aende akaulize kama atakuta empty space. Mradi bado haujaisha watu tayari wameshachukua sehemu.
Aisdhani kwakuwa yeye hana hela eti watu wote hawana. Watu wanahela bana. Kuna wakati nilikuwa natafita nyumba ya kupanga NHC nilikosa maana zimeisha hakuna.

Uzuri mimi ndugu huwa nafanya research ya vitu. Kama sikijui sichangii mpaka nitakapojua ukweli.
Kuhusu NHC hakika linajiendesha kwa faida. Ni kati ya mashirika ya serikali ambayo hayapati ruzuku.
Tanesco wanajikongoja bado hawajaweza kujitegemea, TTCL ndio wameanza sasa, Air Tanzania nao tuwape muda, Shirika la posta na wenyewe bado bado etc.
 
Hahaha kweli umekumbuka mbali,

Kitendo cha NHC kutopekea ruzuku serikalini na kuweza kulipa mishahara, bima, repairs and maintenance, new investments na mambo mengine mengi positives lenyewe kwa fedha zake ni hali nzuri sana na linaonyesha lipo imara,

Watu hawajui tu ila katika mashirika ya umma na makampuni NHC ndio shirika lenye ukwasi kuliko lolote Tanzania, wanamiliki majumba na viwanja kwenye maeneo nyeti CBDs na prime area ambapo ni trillions worthy.
 
Tupo Dar es salaam unaleta Eldoret mambo ya EPZ. Okay soma hii Logistic center ya Mchina hapa Kurasini ya $31 Billion hapa Dar es salaam ulinganishe naya $2Billion.Nayenyewe nitaitengenezea thread uisome vizuri.
Screenshot_2017-07-19-11-46-09.png
.
China is investing the same amount ($2B) in Uasin Gishu county, Eldoret, for Special Economic Zone (SEZ), a private sector entity, industries wenzangu! doubting Thomases here google mjionee wenyewe. which of the two will have more impact to the economy?
 
Mimi nipo tangu Nhc inapata nyumba za wizi.
hizi za miji yote tanzania nzima ni za dhulma.
kwa taarifa yako kabla Miradi mipya nyumba zao zilikuwa zikinunuliwa off plan kama unaelewa.
leo pale morocco mradi ule wameuza 50% tena kutoka awamu ilopita.
sasa hivi umedoda.
tukirudi kawe ni kuwa plan nzima wameharibu kwa design ambayo kuweka concetration ya watu wengi kwa pamoja ni blocks nyingi sehemu moja
Hii watu wengi hawapendi.
wange design vila types nk
ukumbuke sasa hivi miradi mingi ya nyumba imesimama kwa ukosefu wa soko.
hizi nyumba ya chini ni Tshs 400m...mbongo gani atatupa hela hio ?
Gege kule kigamboni ime fail
kuna wachina wa Avinc nao walijenga nyumba 100 tena nyumba za kujitegemea iliwapa tabu sana kuziuza. Na walikusuduia kuendelea 2nd phase wame stop...hakuna soko ..
mjini maeneo ya upanga masaki zipo nyumba zimedoda kuuzika...tena masaki ndio posh areas kuishi au ku invest.
hapo ndugu yangu mradi kwa sasa sio muafaka...bora wageuze hio sehemi iwe Univesitu tupate wasomi kuindesha hii nchii

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio mfanya biashara huwezi kuelewa,
Unafikiri NHC wana vision kama yako ya biashara ya matikiti.
Wenzio wanafocus soko kwa analysis ya mahitaji ya Tz kwa for the coming 30years, kwa kuzingatia population growth.

Unataka shirika la nyumba lijenge Chuo kikuu, sijui ni shule gani ulisoma.
 
Tupo Dar es salaam unaleta Eldoret mambo ya EPZ. Okay soma hii Logistic center ya Mchina hapa Kurasini ya $31 Billion hapa Dar es salaam ulinganishe naya $2Billion.Nayenyewe nitaitengenezea thread uisome vizuri.View attachment 547184 .
Boss sijaelewa vizuri hii kitu,
Usiiweke kirahisi namna hii,
$31bn ni sawa na 50% ya uchumi wa Kenya,
tafahdari tengeneza uzi hapa.
 
Kawe satellite city can not decongest kariakoo in any way,the project is targeting the elites and affluent ones while kariakoo is for everyone.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Km wtakula labd Rais asiwe JPM vise P asiwe Mama Samia na PM asiwe Majaliwa K. Majaliwa na Wazri wa Aridhi asiwe Lukuvi na Mkuu wa Mkoa wa Dar asiwe Makonda maana hii Kombination hii ogopa sna kwenye pesa za Umma hawatakagi mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo Dar es salaam unaleta Eldoret mambo ya EPZ. Okay soma hii Logistic center ya Mchina hapa Kurasini ya $31 Billion hapa Dar es salaam ulinganishe naya $2Billion.Nayenyewe nitaitengenezea thread uisome vizuri.View attachment 547184 .
Hahaha safi leta thread watu wajue tanzania sio ya mchezo mchezo
 
Kawe satellite city can not decongest kariakoo in any way,the project is targeting the elites and affluent ones while kariakoo is for everyone.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
Tatizo la mazoea, majumba mazuri ni ya matajiri, kariakoo pamechoka watu wanajibana kwenye vikorido vya msimbazi, aggrey, Congo angalia mwendokasi ya magereza ilivyo risky watu hawafanyi shopping kwa uhuru kabisa lakini pamoja na vifrem vya kariakoo wanalipa kodi kubwa sana, kawe satellite city ipo well planed mtu atafanya kazi kwenye mazingira mazuri.

Kumbuka mtumba 2020 hautakuwepo
 
Back
Top Bottom