Tetesi: NHC Shirika la Nyumba lasitisha Mikataba

farasi6453

Senior Member
Joined
Sep 26, 2022
Posts
100
Reaction score
101
Kuna tetesi kwamba NHC Shirika La Nyumba wameanza kuwapa notisi ya kuhama majumba na fremu ya biashara jijini Dar Es Salaam kupisha nyumba hizi kubomolewa na kujengwa upya.

Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze. Website ya NHC haina taarifa zozote.
 
Kuna tetesi kwamba NHC Shirika La Nyumba wameanza kuwapa notisi ya kuhama majumba na fremu ya biashara jijini Dar Es Salaam kupisha nyuma hizi kubomolewa na kujengwa upya.

Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze. Website ya NHC haina taarifa zozote.
Watakuwa wanafanya jambo zuri sana, na Sio hadi watu waangukiwe na magofu
 
Jambo zuri sana hawa wahindi wamezifanya kama zao,yan akihama anauza 20 mil anamueka muhindi mwenzake me nashangaa hela wanapata wanashindwa hata kukarabati duh,nyumba zimejaa uchiriz wa kijani rangi zimebanduka wakati wanalipa kodi ndogo waje huku mwisho wa dunia na wao waishi sio posta,upanga tu
 
Utakarabati nyumba si yako?
 
Sidhani kama wanalegwa hao wahindi au ukarabati... hii ni ajenda inayohusu economics zone ya wachina pale ubungo ili kariakoo ife.
 
Okoa babdari zetu, shiriki kwenye petition hii ya kupinga serikali kuuza bandari zetu.
Hoja mufilisi imeshakufa kibudu!!
Kinachotakiwa sio kubishana na MAAMUZI bali kuandaa katiba mpya itakayowawajibisha viongozi!!

Petition isaidie NINI!!?
 
Wakarabati kwanza na kuhakikisha waliyonayo yanafanya kazi katika ufanisi unaotakiwa.
Nhc Samora soko la madini ni Jengo la kibiashara lakini chooni tu unatakiwa kwenda na funguo vyoo vinafungwa et hakuna wa wafanya usafi wa kutosha.

Mbu kila mahali tena wana nguvu kama Ng'e.
 
Back
Top Bottom