bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Huko wapewe wawekezaji waupendezeshe mjiTatizo tunataka pepo kufa hatūtaki.
Tuvumilie maumivi!
Karibuni Uswazi, kwa mnyamani, vingunguti, spenco, mbagara and the like....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko wapewe wawekezaji waupendezeshe mjiTatizo tunataka pepo kufa hatūtaki.
Tuvumilie maumivi!
Karibuni Uswazi, kwa mnyamani, vingunguti, spenco, mbagara and the like....
Basi wekeni walinzi na Nhc Soko la madini alinde choo na kufanya usafi mda wote maana ni ajabu choo cha Mall kufungwa kuepuka kisichafukeWe huwajui wabongo? Au sio mtanzania? Hpo mlimani city bila hao wafanya usafi kuwapo hpo muda wote hali ya ivo vyoo ingekuwa mbaya sana ...hao wafanya usafi ni km walinzi bila ya wao hali ingekuwa mbaya sana
Kumbuka kunguru wetu waTanganyika mwenye kifua cheupe!; unawaona mjini?????!Huko wapewe wawekezaji waupendezeshe mji
At the end hata huko chanika mji unakuaKumbuka kunguru wetu waTanganyika mwenye kifua cheupe!; unawaona mjini?????!
Wakaja kunguru wazenj wakaanza kula mayai yao, wakala vifaranga, wakabomoa viota, baadaye wakimuona wanamzomea kwa kishindo na kufukuzia chanika hådi Chole samvula[emoji24][emoji24]
Mungu Ametupa Dalili wenye macho hata ya nyama wanaona...