Tetesi: NHC Shirika la Nyumba lasitisha Mikataba

Tetesi: NHC Shirika la Nyumba lasitisha Mikataba

Sidhani kama wanalegwa hao wahindi au ukarabati... hii ni ajenda inayohusu economics zone ya wachina pale ubungo ili kariakoo ife.
Mchina aue kariakoo ili iweje.
Hivi mswahili anaweza competition na mchina kweli.
Wachina wapewe Kimara yote hadi Mbezi waiweke flat waifanye kuwa business center hub
 
Wahindi hawapendi kukaa nje ya mji, wanapenda mitaa ya upanga/masaki/kariakoo/posta ..... huwezi wakuta Boko/Bunju/Madale/M-pande/Kimara/Kesemvule/Tabata/Chanika/Mbagala/Kibamba....
Ishu ya security, kuokoa mda na gharama za usafir kuwa karibu na maduka Yao.
Ishu ni uchumi na usalama
 
Mchina aue kariakoo ili iweje.
Hivi mswahili anaweza competition na mchina kweli.
Wachina wapewe Kimara yote hadi Mbezi waiweke flat waifanye kuwa business center hub
Ushawahi kufika pale ubungo plaza wanapo uza vizimba frem za biashara katika soko kuu lao pale ilipokua stand ya mabasi ubungo zamani Ili kuuza vitu kwa jumla na reja reja kutoka uchina?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁😁usicheke ndugu yangu

Bora wamefanya ivo ...watanzania jinsi wasivyo wastaarabu ukiwaruhusu watumie choo watakavyo kuna siku utakuta wamepaka mavi ukutani

JEngo la biashara unaweka funguo za kuingilia chooni???
Yaani Mall uweke funguo chooni kunafungwa 😁😁😁 Hovyo kabisa
 
Wakarabati kwanza na kuhakikisha waliyonayo yanafanya kazi katika ufanisi unaotakiwa.
Nhc Samora soko la madini ni Jengo la kibiashara lakini chooni tu unatakiwa kwenda na funguo vyoo vinafungwa et hakuna wa wafanya usafi wa kutosha.

Mbu kila mahali tena wana nguvu kama Ng'e.
Haha hilo jengo ndio ofisini mkuu. Huwa naenda floor ya 11 kidogo kuna afadhali huku kwingine ni balaa hapafai hata maji ni ya chumvi sana.
 
Kuna tetesi kwamba NHC Shirika La Nyumba wameanza kuwapa notisi ya kuhama majumba na fremu ya biashara jijini Dar Es Salaam kupisha nyumba hizi kubomolewa na kujengwa upya.

Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze. Website ya NHC haina taarifa zozote.
Ukweli usemwe Nyumba za NHC zinatia aibu kwenye jiji, hakuna namna zibadilishwe TU
 
Hizo nyumba ni mali zao Nyerere aliwapora babu zao,hazikujengwa na Serikali zilitaifishwa.
Kutaifisha ni kitendo Cha Serikali kuchukua Mali ya raia kinguvu pasipo ridhaa ya mwenye mali
Nyerere Aliwekwa kwa Mujibu wa Katiba!
Waje wapange huku Uswazi Vingunguti
 
Nyerere Aliwekwa kwa Mujibu wa Katiba!
Waje wapange huku Uswazi Vingunguti
Kupora watu Mali zao walizozitafuta kwa jasho ni kinyume na haki za binadam.
Kwann hakujenga zake huku uswahilini
 
Hatuwezi kuwa na magofu ya miaka ya 70 katikati ya mji zama hizi
 
[emoji16][emoji16][emoji16]usicheke ndugu yangu

JEngo la biashara unaweka funguo za kuingilia chooni???
Yaani Mall uweke funguo chooni kunafungwa [emoji16][emoji16][emoji16] Hovyo kabisa
Kwangu hio ni solution kwa watu wasio wastaarabu ili ijulikane nani mchafua mazingira siku ingine apigwe stop
 
Wahindi hawapendi kukaa nje ya mji, wanapenda mitaa ya upanga/masaki/kariakoo/posta ..... huwezi wakuta Boko/Bunju/Madale/M-pande/Kimara/Kesemvule/Tabata/Chanika/Mbagala/Kibamba....
Wanakaa karibia na biashara zao mkuu
Sema na ubagizi pia umewajaa
 
Kwangu hio ni solution kwa watu wasio wastaarabu ili ijulikane nani mchafua mazingira siku ingine apigwe stop

Mchafua mazingira kwenye Mall??? Wewe hamnazo kwelikweli 😂😂😂😂
Au ni mfanyakazi wa hapa unatetea ujinga wenu
MlimaniCity ni Mall inayotembelewa na watu wengi zaidi kwa Dar es salaam na vyoo havifungwi na visafi mda wote watu hawachafui iwe jengo lile?
 
Haha hilo jengo ndio ofisini mkuu. Huwa naenda floor ya 11 kidogo kuna afadhali huku kwingine ni balaa hapafai hata maji ni ya chumvi sana.

HAlafu lipo mjini kabisa yaani na uongozi wao umeridhika kabisa wanaingia ofisini na kutoka 😂😂
Na heri mko juu hizi floor za chini maji yanavujaga maofisini siku ukifungua asubuhi unakuta kibwawa😂😂
 
Kupora watu Mali zao walizozitafuta kwa jasho ni kinyume na haki za binadam.
Kwann hakujenga zake huku uswahilini
Tatizo tunataka pepo kufa hatūtaki.
Tuvumilie maumivi!
Karibuni Uswazi, kwa mnyamani, vingunguti, spenco, mbagara and the like....
 
Mchafua mazingira kwenye Mall??? Wewe hamnazo kwelikweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au ni mfanyakazi wa hapa unatetea ujinga wenu
MlimaniCity ni Mall inayotembelewa na watu wengi zaidi kwa Dar es salaam na vyoo havifungwi na visafi mda wote watu hawachafui iwe jengo lile?
We huwajui wabongo? Au sio mtanzania? Hpo mlimani city bila hao wafanya usafi kuwapo hpo muda wote hali ya ivo vyoo ingekuwa mbaya sana ...hao wafanya usafi ni km walinzi bila ya wao hali ingekuwa mbaya sana
 
Back
Top Bottom