farasi6453
Senior Member
- Sep 26, 2022
- 100
- 101
Duh
Wahindi hawapendi kukaa nje ya mji, wanapenda mitaa ya upanga/masaki/kariakoo/posta ..... huwezi wakuta Boko/Bunju/Madale/M-pande/Kimara/Kesemvule/Tabata/Chanika/Mbagala/Kibamba....
Wamerundikana kwenye vile vi boksi vya njiwa kama watoto wa Tetele.Wahindi hawapendi kukaa nje ya mji, wanapenda mitaa ya upanga/masaki/kariakoo/posta ..... huwezi wakuta Boko/Bunju/Madale/M-pande/Kimara/Kesemvule/Tabata/Chanika/Mbagala/Kibamba....
Watakuwa wanafanya jambo zuri sana, na Sio hadi watu waangukiwe na magofuKuna tetesi kwamba NHC Shirika La Nyumba wameanza kuwapa notisi ya kuhama majumba na fremu ya biashara jijini Dar Es Salaam kupisha nyuma hizi kubomolewa na kujengwa upya.
Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze. Website ya NHC haina taarifa zozote.
Wajenge 🤣🤣🤣🤣
Waje wapange huku Uswazi Vingunguti
Utakarabati nyumba si yako?Jambo zuri sana hawa wahindi wamezifanya kama zao,yan akihama anauza 20 mil anamueka muhindi mwenzake me nashangaa hela wanapata wanashindwa hata kukarabati duh,nyumba zimejaa uchiriz wa kijani rangi zimebanduka wakati wanalipa kodi ndogo waje huku mwisho wa dunia na wao waishi sio posta,upanga tu
Nimecheka sanaWamerundikana kwenye vile vi boksi vya njiwa kama watoto wa Tetele.
Mitaa ya posta hazitakiwi kuwepo maghorofa ya kizamani labda Yale machache ya kumbukumbu maalumNimecheka sana
Mkuu ynawajua tetele
Sidhani kama wanalegwa hao wahindi au ukarabati... hii ni ajenda inayohusu economics zone ya wachina pale ubungo ili kariakoo ife.Jambo zuri sana hawa wahindi wamezifanya kama zao,yan akihama anauza 20 mil anamueka muhindi mwenzake me nashangaa hela wanapata wanashindwa hata kukarabati duh,nyumba zimejaa uchiriz wa kijani rangi zimebanduka wakati wanalipa kodi ndogo waje huku mwisho wa dunia na wao waishi sio posta,upanga tu
Kuna developers kibao wameingia ubia na NHC kujenga majengo, tutashuhudia majengo mengi yakivunjwa na kujengwa upyaMitaa ya posta hazitakiwi kuwepo maghorofa ya kizamani labda Yale machache ya kumbukumbu maalum
Hiyo petition haijawahi amua lolote lileOkoa babdari zetu, shiriki kwenye petition hii ya kupinga serikali kuuza bandari zetu.
Hoja mufilisi imeshakufa kibudu!!Okoa babdari zetu, shiriki kwenye petition hii ya kupinga serikali kuuza bandari zetu.
Mkuu hii inahusu economic zone ya ubunge mzee.... mradi unapambana upate wateja kwa nguvu zote so kkoo lazima iuliwe