bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Mabadiliko hayakwepeki,fire upanga yote ni market place wapewe wawekezaji wajenge vitega uchumi.Mkuu hii inahusu economic zone ya ubunge mzee.... mradi unapambana upate wateja kwa nguvu zote so kkoo lazima iuliwe
Haikwepeki hii hata Ulaya ilivunjwa kwa maendeleo tuyaonayoKuna developers kibao wameingia ubia na NHC kujenga majengo, tutashuhudia majengo mengi yakivunjwa na kujengwa upya
Mchina aue kariakoo ili iweje.Sidhani kama wanalegwa hao wahindi au ukarabati... hii ni ajenda inayohusu economics zone ya wachina pale ubungo ili kariakoo ife.
Hatukatai ishu ni nia njema tuuMabadiliko hayakwepeki,fire upanga yote ni market place wapewe wawekezaji wajenge vitega uchumi.
Ishu ya security, kuokoa mda na gharama za usafir kuwa karibu na maduka Yao.Wahindi hawapendi kukaa nje ya mji, wanapenda mitaa ya upanga/masaki/kariakoo/posta ..... huwezi wakuta Boko/Bunju/Madale/M-pande/Kimara/Kesemvule/Tabata/Chanika/Mbagala/Kibamba....
Ushawahi kufika pale ubungo plaza wanapo uza vizimba frem za biashara katika soko kuu lao pale ilipokua stand ya mabasi ubungo zamani Ili kuuza vitu kwa jumla na reja reja kutoka uchina?Mchina aue kariakoo ili iweje.
Hivi mswahili anaweza competition na mchina kweli.
Wachina wapewe Kimara yote hadi Mbezi waiweke flat waifanye kuwa business center hub
๐๐๐usicheke ndugu yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora wamefanya ivo ...watanzania jinsi wasivyo wastaarabu ukiwaruhusu watumie choo watakavyo kuna siku utakuta wamepaka mavi ukutani
Mkuu kuna vyumba hapa kibada na mji mwema kigamboni.Waje wapange huku Uswazi Vingunguti
Haha hilo jengo ndio ofisini mkuu. Huwa naenda floor ya 11 kidogo kuna afadhali huku kwingine ni balaa hapafai hata maji ni ya chumvi sana.Wakarabati kwanza na kuhakikisha waliyonayo yanafanya kazi katika ufanisi unaotakiwa.
Nhc Samora soko la madini ni Jengo la kibiashara lakini chooni tu unatakiwa kwenda na funguo vyoo vinafungwa et hakuna wa wafanya usafi wa kutosha.
Mbu kila mahali tena wana nguvu kama Ng'e.
Ukweli usemwe Nyumba za NHC zinatia aibu kwenye jiji, hakuna namna zibadilishwe TUKuna tetesi kwamba NHC Shirika La Nyumba wameanza kuwapa notisi ya kuhama majumba na fremu ya biashara jijini Dar Es Salaam kupisha nyumba hizi kubomolewa na kujengwa upya.
Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze. Website ya NHC haina taarifa zozote.
Nyerere Aliwekwa kwa Mujibu wa Katiba!Hizo nyumba ni mali zao Nyerere aliwapora babu zao,hazikujengwa na Serikali zilitaifishwa.
Kutaifisha ni kitendo Cha Serikali kuchukua Mali ya raia kinguvu pasipo ridhaa ya mwenye mali
Kupora watu Mali zao walizozitafuta kwa jasho ni kinyume na haki za binadam.Nyerere Aliwekwa kwa Mujibu wa Katiba!
Waje wapange huku Uswazi Vingunguti
Kwangu hio ni solution kwa watu wasio wastaarabu ili ijulikane nani mchafua mazingira siku ingine apigwe stop[emoji16][emoji16][emoji16]usicheke ndugu yangu
JEngo la biashara unaweka funguo za kuingilia chooni???
Yaani Mall uweke funguo chooni kunafungwa [emoji16][emoji16][emoji16] Hovyo kabisa
Wanakaa karibia na biashara zao mkuuWahindi hawapendi kukaa nje ya mji, wanapenda mitaa ya upanga/masaki/kariakoo/posta ..... huwezi wakuta Boko/Bunju/Madale/M-pande/Kimara/Kesemvule/Tabata/Chanika/Mbagala/Kibamba....
Watake wasitake watavuna walichopanda!
Kwangu hio ni solution kwa watu wasio wastaarabu ili ijulikane nani mchafua mazingira siku ingine apigwe stop
Haha hilo jengo ndio ofisini mkuu. Huwa naenda floor ya 11 kidogo kuna afadhali huku kwingine ni balaa hapafai hata maji ni ya chumvi sana.
Tatizo tunataka pepo kufa hatลซtaki.Kupora watu Mali zao walizozitafuta kwa jasho ni kinyume na haki za binadam.
Kwann hakujenga zake huku uswahilini
We huwajui wabongo? Au sio mtanzania? Hpo mlimani city bila hao wafanya usafi kuwapo hpo muda wote hali ya ivo vyoo ingekuwa mbaya sana ...hao wafanya usafi ni km walinzi bila ya wao hali ingekuwa mbaya sanaMchafua mazingira kwenye Mall??? Wewe hamnazo kwelikweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au ni mfanyakazi wa hapa unatetea ujinga wenu
MlimaniCity ni Mall inayotembelewa na watu wengi zaidi kwa Dar es salaam na vyoo havifungwi na visafi mda wote watu hawachafui iwe jengo lile?