NHC: Tax Exemption & The Never Ending 'Committee' Issue

NHC: Tax Exemption & The Never Ending 'Committee' Issue

Mtanzania,
Ndugu yangu ulozungumza yote ni sawa na kweli lakini tunachozungumzia sio tax zote ila hii ya Corporate ambayo Mh. Magufuli kaomba, na hoja yangu imetokana na incentive hii peke yake ambayo hata hizo nchi za mashariki ama visiwani hutoa nafuu hii ya kodi kwa matumizi ya ujanja ujanja yaani una register kampuni nchi yao ambako hulipi tax na pia ukweli ni kwamba huna hata ofisi yako nchini humo ila unatumia bendera yao kuepa tax za nchi unayofanyia biashara. Nadhani unakumbuka hata zile shule za open University tulizokuwa tukizizungumzia siku za nyuma wamesajiri shule zao visiwani ambako hakuna tax hizi na wala wao hawana ofisi zao huko. mchezo huu hufanywa pia na kampuni za meli na kadhalika. Huu ni uhuni na sio kabisa tunachozungumzia hapa kwani leo hii sisi tunaliwa wenyewe kwa nafuu kama hii.
Tanzania hatupo ktk fungu lao na kusema kweli ni ujinga mkubwa kutoa incentive kama hii kabla ya kujafahamu pato la mwekeshaji inakuwa kama unacheza karata...
mwenyewe unaua jinsi haya makapuni makubwa wanavyotafuta mbinu za kuepa kulipa hii tax, leo sisi tumekuja wapa nafuu kabla hata hatujafahamu hasara zao zinatoka wapi.. tazama basi kwa sabau sheria inasema wanapata nafuu hii kwa miaka mitano, Barricks waliingia nchini kwa hesabu za Gold kuuzwa kwa dollar 200 leo hii ni 700 mara tatu na nusu juu ya hesabu yao ya mwanzo bado wanatuambia wanapata hasara. tazama Sheraton Hotel, haya ile kampuni ya Tanzanite huko Arusha imeuzwa mra ngapi kila inapofika miaka mitano. How stupid can we be?leo tunaambia wmadini yanachangia 1.9, yet bado sisi wenyewe tunatafuta sababu za kusema nchi nyingine pia hutoa incentive kama hii.
Kifupi mkuu wangu mimi namwona magufuli kama mzembe fulani aisyeelewa kazi yake, na nitasema kwa nini.
Mtaji wa kuelendeleza kampuni unaruhusiwa kutolewa kabla kuja fail tax zako kwa nini asitumie faida yake kuzi reinvest ndani ya kampuni badala ya kuomba exemption ya tax hii wakati kisheria za mahesabu inaruhusiwa kabisa. maendeleo ya NHC yapo chini ya wizara yake na ni jukumu lake kutafuta minu za kiendeleza na sio kuomba msamaha wa kodi nje kupitia kwa rais nje ya sheria.
Ikiwa NHC watapewa msamaha huo basi mashirika yote ya Umma yatahitaji nafuu hiyo kwani rais mwenyewe atakuwa kafungua tobo la maombi. There are so many ways huyu Magufuli angeweza kutumia mbali kabisa na ushauri wa JK.
 
Mkandara,

Una uhakika ni hili? Nafikiri sheria za accounting zinasema tofauti. Kama unajua kwenye basic profit statement (profit and loss account) inakuwa hivi:

1. Revenue
2. Less operating expenses
3. Less cost of capital expense
4. Unapata net taxable profit
5. Kisha dividends kama kuna shareholders
6. Retained profit, hii ndio unaweza kuinvest kwenye miradi mingine.

Kwahiyo utaona kwamba faida inakuwa re-invested baada ya kutolewa tax, kwa maana hiyo kama NHC wamepata faida, hawawezi kukwepa kulipa hiyo kodi. Of course kuna njia zingine nyingi ambazo wajanja wanaweza kutumia kukwepa hiyo kodi lakini sitegemei kampuni la umma watumie njia hizo.

Pia wakitumia TIC certificate hawawezi kuokoa hizo pesa zote walizozitaja maana msamaha utakuwa kwa ile mitaji mipya tu.

Nakubaliana na wewe haitakuwa busara kusamehe taxes za shirika moja maana kila shirika litaanza kuomba.
 
Dua,

Unachanganya kidogo, ngoja ni clarify zaidi. Kwa kawaida net income ni ile ambayo inapatikana baada ya kutoa Expenses za uendesha biashara. Hizi expenses ni tofauti na Assets (capital expenditures kama kujenga Nyumba kununua mitambo kujenga miundombinu etc), sasa hiyo net income inatakiwa itozwe 30% kama corporate tax.

Ukiwa na cetificate ya TIC basi baada ya kupata net income unatoa 100% ya capital expenditures, (hizo Assets) sasa kwa kawaida kama umeinvest heavily lazima itakuja Taxable net loss, hulipi hiyo 30%.

Hapo juu nimechukulia kuwa expenses zako zote za kuendesha biashara zilikuwa allowed kwa mtazamo wa kodi (wholly and exclusively incurred for the process of earning revenue/production.

Kama bado uliza tu kaka.
 
Mtanzania,
Unataka kunambia kuwa shirika la NHC wanashindwa kutumia pato lolote kama Capital expenditure ktk ujenzi wa nyumba nyinginezo, vifaa vya ujenzi kabla ya kufunga mahesabu yao ya mwaka!
 
Mkandara,

Hawashindwi, ila hawa claim 100% capital deduction ku arrive at taxable income kwasababu hawana TIC certificate!
 
Dua,

Unachanganya kidogo, ngoja ni clarify zaidi. Kwa kawaida net income ni ile ambayo inapatikana baada ya kutoa Expenses za uendesha biashara. Hizi expenses ni tofauti na Assets (capital expenditures kama kujenga Nyumba kununua mitambo kujenga miundombinu etc), sasa hiyo net income inatakiwa itozwe 30% kama corporate tax.

Ukiwa na cetificate ya TIC basi baada ya kupata net income unatoa 100% ya capital expenditures, (hizo Assets) sasa kwa kawaida kama umeinvest heavily lazima itakuja Taxable net loss, hulipi hiyo 30%.

Hapo juu nimechukulia kuwa expenses zako zote za kuendesha biashara zilikuwa allowed kwa mtazamo wa kodi (wholly and exclusively incurred for the process of earning revenue/production.

Kama bado uliza tu kaka.

Unasema nachanganya (BTW hayo sio maneno yangu ni ya TIC) ukisoma maneno yao wanasema resident non applicable (NA), (i.e. ukikongoli hapo utaenda moja kwa moja kwenye website yao). Je, NHC wao sio resident?
 
Hawa jamaa sioni wanasaidia vipi wananchi wenye kipato kidogo. Afadhari NSSF. Hivi kweli watanzania wangapi wanaweza kununua nyumba za Tshs 72 million mpaka 140 million. Mimi naona walipe tu wananchi hatunufaiki hata kidogo. Tembelea tovuti yao: http://www.nhctz.com/construction.htm uone njinsi gani wanavyotulangua wananchi!!!
 
Mtanzania uko sawa, Corporate tax inakuwa calculate baada ya kudeduct all company expenses, then baada ya hapa you pay kutokana na tax braket yako. Kusbsidy start up industry ipo karibia kila nchi, however World trade organization wanaimonitor hii kitu kwa kakaribu.

Tatizo ni loopholes ndani ya Tanzania ndio hawa wawekezaji wanafaidi, na hii inatokana na kuandikwa kwa sheria na watu wasio na experience na corporation culture. Kuna njia nyingi sana corporations can cook the books. What i want to know what Accounting system hawa mabwana wanatumia? Is it GAAT? I hope auditor wa Tanzania wanaweza kuwacatch hao rats wanaojaribu kucheat.

Tanzania tunaitaji agency mwingine apart from TRA ambaye atakuwa anaziangalia hizi corporation kwa karibu sana, includes their quarter ernings, their income statements, and their cash flow. That is the only way unaweza kushinda.

Last JK yuko sawa, hizi kampuni za Tanzania ambazo zinataka kujiendasha katika ujamaa theory need to stop. Competition kati yao na other investors inasababisha price ya kodi zanyumba iwe resonable. Wakipata tax exmption wataendelea kurelax na kunywa chai mpaka saa nne. Wacha watwangwe tax watafanya kazi wenyewe.
 
FD,
Duh, basi kazi ipo maanake nimewahi fanya kazi kwa Myahudi mmoja hapa miaka ya 90 ambaye alikuwa mjenzi wa nyumba tena Condos na mwaka wake wa biashara ulikuwa ni Kuanzia July hadi June. Navyokumbuka mimi kwa miaka kama minne niliyokuwa naye hakuwahi kulipa Corporate tax kwa sababu kila inapooekana faida kidogo mzee hujenga nyumba nyingine na expenses zake huingia ktk mwaka huo huo wa matumizi kiasi kwamba ktk miaka hiyo tayari huyu jamaa aliisha jenga majumba highrise condos kama 6 hivi, fedha ilikuwa ikizunguka humo humo, pamoja na kwamba hizo nyumba ndio Assets zake lakini hakukosa matumizi ambayo yalikata kabisa corporate tax. Kama alivyosema Mtanganyika zipo njia nyingi sana za kuepa tax hii na kusema kweli sidhani kama swala la Accounting system linaweza ku solve. Number zinapikwa na binadamu, na tatizo kubwa la Tanzania ni kuwa hao wahasibu wetu wenyewe hawana idea ya bei za vitu vingi sana na hasa tunapokuja ktk makampuni ya nje ndio kabisa inabidi tukubali namba zozote zilizowekwa maadam kuna supporting document (receipt) ambayo pia hutenmgezwa na mkono wa binadamu..Ukiongeza na njaa ya Mdanganyika ndio kabisaaa hatuwezi kumlaumu JK kwa makusanyo madogo.

Mtanzania,
JK hakukosea lakini mjomba ebu nikuulize kitu kimoja. Haya maswala ya incentives nchi za wenzetu sii hua ni maswala ya sera ya chama ama?..
Kwa mfano Conseratives huzitoa hizi kwa hao big corporates wakiamini kuwa kitovu cha uchumi wa nchi zao unatokana na big investors wa ndani.
Na kama ulivyosema huko nyuma, Big Corporates za WAZAWA hupewa incentive kama hii kwa sababu wao ndio waendeshaji wa uchumi wa nchi na ukitazama kwa makini utakuta kweli kwani wengi wetu huwa tunashindwa kuelewa kwa nini makampuni makubwa hubebwa na kuwekewa mwavuli utadhani wao ndio wenye nchi.
Kinachotazamwa ili shirika kubwa kupata nafuu kama hizo huwa kwanza wanatazama namba za ajira inayotoa mathlan over 100,000 employees nationwide, na kama nafuu itakuwepo ktk tax hii basi kampuni hiyo hutegemea kukuza ajira kwa asilimia zaidi ya 10 kwa mwaka (One year Employee Growth rate). Pia mchango wa hizi kampuni hata kama kodi zote wamelipa kwa wastani wa asilimia 10 inaweza kuwa matrillioni ya dollar tofauti na kampuni mbuzi zinazolipa kodi zote lakini malipo yao hayajai mkononi.
Na mwisho huwa kuna sharti kubwa la kuwa mali yao itakuwa product ya ndani (made in) kwa hiyo hapa unalipa shirika bega ktk utajirisho ili kukuza zaidi uchumi wa nchi, pia ni mali yenu.
Upande wa pili kisiasa tunawakuta hao Progressive na Liberal ambao wanayaweza maisha ya wananchi mbele ya makampuni makubwa na hufikiria kutoa nafuu za kodi kwa wananchi wake na wafanya biashara wadogo wadogo badala ya haya makampuni makubwa.
Pamoja na yote haya nimeshindwa kuelewa mrengo wa vyama vyetu nchini hasa ktk swala la uchumi. Nimeshindwa zaidi kuelewa dira na mwelekeo wa CCM hasa wanapokuwa wakitoa ahadi nyingi kwa wananchi kama vile wako upande wa kushoto lakini matendo yao yanaonyesha wazi wamesimama imara kuume tena sio kati..

Ohhh! samahani nilisahau kumalizia swali langu. Pili, Tunapotoa hizi nafuu kuwavutia wawekeshaji wa nje huwa tuna lengo gani hasa? yaani hawa wawekeshaji wakisha kuja wakawekesha na kulipa kodi ndogo huwa hasa tunategemea kupata kitu gani baadaye.
 
Corporate governance is something new to most of emerging markets. Incentive zinatolowea nakubaliana na wewe Mkandara, lakini sio tax subsidy, kupewa tax cut ni jambo la kawaida kama utaonyesha kutacare society(kuaongeza idadi ya wafanyakazi, kutoa kwa charrity,and ect).

Kampuni nyingi Tanzania hasa za wazawa(wahindi, waswahili, nk) zimekuwa zikisubdiziwa na serikali, hivyo kusababisha hizi kampuni kujisahau. Mfano, kampuni ya usafirishaji ya Scandnavia imeshaondelewa tax sio mara moja, and this happened for no reason, sababu yao walikuwa wanatishia kudefault loan walizonazo.

Tanzania bado tunaitaji smart auditor wenye experience na corparate taxation,includes assets taxation. Loop holes will never varnish kwa nchi za dunia ya tatu, sababu ya rushwa.
 
FD,
Duh, basi kazi ipo maanake nimewahi fanya kazi kwa Myahudi mmoja hapa miaka ya 90 ambaye alikuwa mjenzi wa nyumba tena Condos na mwaka wake wa biashara ulikuwa ni Kuanzia July hadi June. Navyokumbuka mimi kwa miaka kama minne niliyokuwa naye hakuwahi kulipa Corporate tax kwa sababu kila inapooekana faida kidogo mzee hujenga nyumba nyingine na expenses zake huingia ktk mwaka huo huo wa matumizi kiasi kwamba ktk miaka hiyo tayari huyu jamaa aliisha jenga majumba highrise condos kama 6 hivi, fedha ilikuwa ikizunguka humo humo, pamoja na kwamba hizo nyumba ndio Assets zake lakini hakukosa matumizi ambayo yalikata kabisa corporate tax. Kama alivyosema Mtanganyika zipo njia nyingi sana za kuepa tax hii na kusema kweli sidhani kama swala la Accounting system linaweza ku solve. Number zinapikwa na binadamu, na tatizo kubwa la Tanzania ni kuwa hao wahasibu wetu wenyewe hawana idea ya bei za vitu vingi sana na hasa tunapokuja ktk makampuni ya nje ndio kabisa inabidi tukubali namba zozote zilizowekwa maadam kuna supporting document (receipt) ambayo pia hutenmgezwa na mkono wa binadamu..Ukiongeza na njaa ya Mdanganyika ndio kabisaaa hatuwezi kumlaumu JK kwa makusanyo madogo.

Mtanzania,
JK hakukosea lakini mjomba ebu nikuulize kitu kimoja. Haya maswala ya incentives nchi za wenzetu sii hua ni maswala ya sera ya chama ama?..
Kwa mfano Conseratives huzitoa hizi kwa hao big corporates wakiamini kuwa kitovu cha uchumi wa nchi zao unatokana na big investors wa ndani.
Na kama ulivyosema huko nyuma, Big Corporates za WAZAWA hupewa incentive kama hii kwa sababu wao ndio waendeshaji wa uchumi wa nchi na ukitazama kwa makini utakuta kweli kwani wengi wetu huwa tunashindwa kuelewa kwa nini makampuni makubwa hubebwa na kuwekewa mwavuli utadhani wao ndio wenye nchi.
Kinachotazamwa ili shirika kubwa kupata nafuu kama hizo huwa kwanza wanatazama namba za ajira inayotoa mathlan over 100,000 employees nationwide, na kama nafuu itakuwepo ktk tax hii basi kampuni hiyo hutegemea kukuza ajira kwa asilimia zaidi ya 10 kwa mwaka (One year Employee Growth rate). Pia mchango wa hizi kampuni hata kama kodi zote wamelipa kwa wastani wa asilimia 10 inaweza kuwa matrillioni ya dollar tofauti na kampuni mbuzi zinazolipa kodi zote lakini malipo yao hayajai mkononi.
Na mwisho huwa kuna sharti kubwa la kuwa mali yao itakuwa product ya ndani (made in) kwa hiyo hapa unalipa shirika bega ktk utajirisho ili kukuza zaidi uchumi wa nchi, pia ni mali yenu.
Upande wa pili kisiasa tunawakuta hao Progressive na Liberal ambao wanayaweza maisha ya wananchi mbele ya makampuni makubwa na hufikiria kutoa nafuu za kodi kwa wananchi wake na wafanya biashara wadogo wadogo badala ya haya makampuni makubwa.
Pamoja na yote haya nimeshindwa kuelewa mrengo wa vyama vyetu nchini hasa ktk swala la uchumi. Nimeshindwa zaidi kuelewa dira na mwelekeo wa CCM hasa wanapokuwa wakitoa ahadi nyingi kwa wananchi kama vile wako upande wa kushoto lakini matendo yao yanaonyesha wazi wamesimama imara kuume tena sio kati..

Ohhh! samahani nilisahau kumalizia swali langu. Pili, Tunapotoa hizi nafuu kuwavutia wawekeshaji wa nje huwa tuna lengo gani hasa? yaani hawa wawekeshaji wakisha kuja wakawekesha na kulipa kodi ndogo huwa hasa tunategemea kupata kitu gani baadaye.

Mkandara,

Ukiwa na ma accountants na ma lawyers wazuri vyote ulivyosema vinawezekana na ndio maana huku West makampuni makubwa zaidi ya asilimia 80 hayalipi corporate tax. Wanatumia kila ujanja kupata mwanya. Hayo sasa yameingia kwetu tanzania na bahati mbaya sisi hatuna watu wa kucheza cat and mouse game na hawa wawekezaji, yaani wametuzidi mbele kwa hatua 100, kila tunapoongeza speed wenzetu wanatuacha mbali, ukichanganya na rushwa ndio kabisa.

Kuhusu ya CCM, huko mimi simo maana wao kwa kushindwa kusimamia vizuri sera zao wanaliingizia taifa hasara kwenye mikataba na uchumi kwa ujumla.

Kuhusu suala lako la mwisho, tunaweza kupata jibu kama tungechua hao Sheraton ya zamani, kwa mwaka wanalipa kodi kiasi gani? Ninaposema kodi nina maana kila kitu kuanzia kodi za wafanyakazi, mambo ya insurance kama yapo na kodi zingine ndogo ndogo. Unaweza kuta pamoja na kukwepa corporate tax lakini bado wanalipa hizi kodi zingine nyingi.

Hapa UK juzi kulikuwa na mjadala wa hawa jamaa wa Equities kwamba hawalipi kodi pamoja na kwamba wanatengeneza mabilions lakini ikaja onekana pamoja na kwamba hawalipi corporate taxes lakini kwa mfano kampuni moja inalipa kodi zingine kwa mwaka zaidi ya bilion 2. Sasa ungelikuwa wewe utafanyeje, uwabane hawa watu wakimbie London, waende Newyork na nchi ikapoteza ajira na hizo bilions 2 au ujifanye huoni na upoteze milioni 100 kama corporate tax lakini upate bilions 2 zingine pamoja na watu wako kupata ajira?

Sina data za TZ ndio maana ngumu kujibu lakini kwa vyovyote bado Sheraton wana faida kwa nchi kuliko kama wasingelikuwepo. Muhimu ni kuminya mianya ili tufaidike zaidi.
 
Tume Tume Tume... nahisi zinabuniwa kuwasahaulisha Watanzania mambo muhimu hasa pale zinapochukua muda mrefu kutoa majibu!!

Baada ya kelele za muda mrefu kuhusu uuzwaji wa nyumba za $erikali uliofanywa na $erikali ya BWM, Msanii JK aliunda Tume iliyoweka kambi pale TBA-HQ.

1. Kumbu kumbu zinaonyesha Tume hii ilitakiwa kukamilisha kazi yake Mwezi Oktoba 2006.

2. ulipofika muda huo (Oktoba 2006) nikaambiwa waliongezewa muda mpaka Februari 2007.

3. Ikiwa inakaribia Februari 2007, taarifa ikatoka kuwa wameongezewa muda wa miezi miwili mpaka April 2007.

Kutokana na ubinadamu (kama walivyo WaTZ wengi) nilichoka kufuatilia na hata matokeo ya Tume hii (kama yalitoka) sikuwa na hamu ya kuyafatilia! Ni kwa sababu ya huu msululu wa Tume zinazoundwa na Msanii ndio zimenifanya niikumbuke.

Wakuu naomba mnikumbushe kama mmewahi kusikia majibu ya Tume hii na hatua zilizofuata maana inawezekana majibu yalitoka na kujadiliwa hapa nikiwa offline.
 
Jshabaan,
Bibafsi sina jibu, ila pia nyonngeza juu ya tume za nyumba ipo pia iliyo undwa kuhusu kukagua viwango na ujenzi wa magorofa baada ya lile la Temeke kuporormoka likaua mtu, sijui nayo iliishia wapi?

Nahisi hizi tume ni mkakakati maalumu wa kufunika kombe mwanaharamu apite!
 
Jee, unajuwa kuwa, besides ya nyumba za serikali, Mkuu JK kachukuwa nyumba ya jirani yake, maarufu kwa jina la Somji, bila ya kupatana nae na kwa bei anayotaka yeye JK. Na hii ilkuwa ni mara tuu baada ya JK kupata Ukuu!, kumbuka, hii si nyumba ya serikali bali ni ya mtu binafsi.

Jirani yake huyo, mwenye asili ya visiwani na ni mfanya biashara maarufu wa magari ya mitumba kutoka Dubai na Far East na wala si mdosi, bali ni maarufu tu kwa jina la Somji.

Somji ni mmanga wa Zanzibar au to be exact ni mPemba.na kwa hili huwa analalamika pembeni tuu kwa kuogopa. Na Hii ni kweli tupu na JK abishe au apindishe kwa hili, na hii ni open challenge.

Jamaa huyo (Somji) kashindwa kufanya lolote kwa uwoga na kwa kuwa mkuu ndio kaamuwa.

Jee, kama hiyo si dhulma na ufisadi ni nini? au hamjuwi system ni nini?

Nikipotea kwa hili mjuwe system ipo kazini.
 
Jee, unajuwa kuwa, besides ya nyumba za serikali, Mkuu JK kachukuwa nyumba ya jirani yake, sio ya serikali, bila kupatana nae na kwa bei anayotaka yeye JK, mara tuu baada ya kupata Ukuu!

Jirani yake mwenye asili ya visiwani na mfanya biashara maarufu wa magari ya mitumba kutoka Dubai na Far East.

Kama mnabisha muulizeni? na huyu ni jirani yake aliyekuwa akikaa nae kabla ya kupata Ukuu. Maarufu kwa jina la Somji, ingawa yeye si mdosi bali ni mmanga wa Zanzibar au to be exact Pemba. Hii ni kweli tupu na JK abishe au apindishe kwa hili, na hii ni open challenge.

Jamaa huyo (Somji) kashindwa kufanya lolote kwa kuwa mkuu ndio kaamuwa.

Jee, kama hiyo si dhulma na ufisadi ni nini? au hamjuwi system ni nini?

Nikipotea kwa hili mjuwe system ipo kazini.

Duuuu.... kwa mtindo huu hata sehemu muhimu za familia zetu zinaweza kuchukuliwa! Unasikia tu mkeo ni first lady academia
 
Duuuu.... kwa mtindo huu hata sehemu muhimu za familia zetu zinaweza kuchukuliwa! Unasikia tu mkeo ni first lady academia

hahahah na kweli kama kafanya hivyo basi atanunua hata mlima kilimanjaro ataununua lafiiiiiiiii
 
kuhusiana na hiyo tume hasa katika kukagua majengo dar hapo maghorofa holela kama kawaida ya serikali yetu lets be patient likianguka jengo lingine ndipo wataibuka tena kwenye ulabu wao
 
Tume Tume Tume... nahisi zinabuniwa kuwasahaulisha Watanzania mambo muhimu hasa pale zinapochukua muda mrefu kutoa majibu!!

Baada ya kelele za muda mrefu kuhusu uuzwaji wa nyumba za $erikali uliofanywa na $erikali ya BWM, Msanii JK aliunda Tume iliyoweka kambi pale TBA-HQ.

1. Kumbu kumbu zinaonyesha Tume hii ilitakiwa kukamilisha kazi yake Mwezi Oktoba 2006.

2. ulipofika muda huo (Oktoba 2006) nikaambiwa waliongezewa muda mpaka Februari 2007.

3. Ikiwa inakaribia Februari 2007, taarifa ikatoka kuwa wameongezewa muda wa miezi miwili mpaka April 2007.

Kutokana na ubinadamu (kama walivyo WaTZ wengi) nilichoka kufuatilia na hata matokeo ya Tume hii (kama yalitoka) sikuwa na hamu ya kuyafatilia! Ni kwa sababu ya huu msululu wa Tume zinazoundwa na Msanii ndio zimenifanya niikumbuke.

Wakuu naomba mnikumbushe kama mmewahi kusikia majibu ya Tume hii na hatua zilizofuata maana inawezekana majibu yalitoka na kujadiliwa hapa nikiwa offline.

Hii tume ni kiini macho. Katika waliojipatia nyumba za sirikali kiharamu ni pamoja na fisadi Mkapa. Na jamaa kishasema 'mwacheni mzee wetu astaafu kwa amani' sasa hii tume ni ulaji tu hakuna chochote cha maana kitakachofanyika. Dawa ni kuwang'oa tu hawa mafisadi madarakani.
 
Hizi tume za kila siku zimetuchosha kwani hakuna la zaidi linalotokea.

Kwa upande wangu sina imani kabisa na serikali ya awamu ya nne, hapa nikiwa na maana sina imani kabisa na JK pamoja na baraza lake la mawaziri. Kitu ambacho anaweza kufanya ili kurudisha imani kwa wadanganyika ni kumkata MKAPA kumfikisha mahakamani na kumfunga, vinginevyo wanabodi wenzangu naomaba muelewe kwamba kulia na kucheka yote ni makelele tu.
 
Back
Top Bottom