Mtanzania,
Ndugu yangu ulozungumza yote ni sawa na kweli lakini tunachozungumzia sio tax zote ila hii ya Corporate ambayo Mh. Magufuli kaomba, na hoja yangu imetokana na incentive hii peke yake ambayo hata hizo nchi za mashariki ama visiwani hutoa nafuu hii ya kodi kwa matumizi ya ujanja ujanja yaani una register kampuni nchi yao ambako hulipi tax na pia ukweli ni kwamba huna hata ofisi yako nchini humo ila unatumia bendera yao kuepa tax za nchi unayofanyia biashara. Nadhani unakumbuka hata zile shule za open University tulizokuwa tukizizungumzia siku za nyuma wamesajiri shule zao visiwani ambako hakuna tax hizi na wala wao hawana ofisi zao huko. mchezo huu hufanywa pia na kampuni za meli na kadhalika. Huu ni uhuni na sio kabisa tunachozungumzia hapa kwani leo hii sisi tunaliwa wenyewe kwa nafuu kama hii.
Tanzania hatupo ktk fungu lao na kusema kweli ni ujinga mkubwa kutoa incentive kama hii kabla ya kujafahamu pato la mwekeshaji inakuwa kama unacheza karata...
mwenyewe unaua jinsi haya makapuni makubwa wanavyotafuta mbinu za kuepa kulipa hii tax, leo sisi tumekuja wapa nafuu kabla hata hatujafahamu hasara zao zinatoka wapi.. tazama basi kwa sabau sheria inasema wanapata nafuu hii kwa miaka mitano, Barricks waliingia nchini kwa hesabu za Gold kuuzwa kwa dollar 200 leo hii ni 700 mara tatu na nusu juu ya hesabu yao ya mwanzo bado wanatuambia wanapata hasara. tazama Sheraton Hotel, haya ile kampuni ya Tanzanite huko Arusha imeuzwa mra ngapi kila inapofika miaka mitano. How stupid can we be?leo tunaambia wmadini yanachangia 1.9, yet bado sisi wenyewe tunatafuta sababu za kusema nchi nyingine pia hutoa incentive kama hii.
Kifupi mkuu wangu mimi namwona magufuli kama mzembe fulani aisyeelewa kazi yake, na nitasema kwa nini.
Mtaji wa kuelendeleza kampuni unaruhusiwa kutolewa kabla kuja fail tax zako kwa nini asitumie faida yake kuzi reinvest ndani ya kampuni badala ya kuomba exemption ya tax hii wakati kisheria za mahesabu inaruhusiwa kabisa. maendeleo ya NHC yapo chini ya wizara yake na ni jukumu lake kutafuta minu za kiendeleza na sio kuomba msamaha wa kodi nje kupitia kwa rais nje ya sheria.
Ikiwa NHC watapewa msamaha huo basi mashirika yote ya Umma yatahitaji nafuu hiyo kwani rais mwenyewe atakuwa kafungua tobo la maombi. There are so many ways huyu Magufuli angeweza kutumia mbali kabisa na ushauri wa JK.