NHC yatelekeza miradi ya mabilioni wilayani Chato

Tatizo ni yule rais kivuri hakuwahi kuyapenda mapinduzi makubwa yaliyofanyika katika awamu ya tano na sasa series inaendelea baada ya mwenye miradi kuondoshwa kinachofuata ni miradi yake kufa kifo cha aibu

Wame copy na kupest maendeleo yake leo hii wanaketi na kujipongeza aibu zaidi ni pale wanapo jisahau kuwa muosha huoshwa

Hitaji letu nchi ijengwe kwa usawa Kama kweli mwendazake aliipendelea chato tungeiona miradi makubwa yote ikiwa chato
 
Tuliwambie Mtupe yufugie Mbuzi
 
Watuache sisi wasukuma tufugie mangombe yetu

miradi isiyo na kichwa wala miguu tupa kule.
 
Pesa ya maendeleo ya nchi kodi na mikopo zote kwa miaka mitano imeeharibiwa Chato mapolini, nchi imesimama kiuchumi na imekua masikini, na uchumi umeshuka kutoka 7% mpaka 2%
Walaaniwe MaCCM wote..!
Alaaniwe Mwendawazimu wa Chato.!
Siku ya kuzima mwenge itafanyika Chato ,tutawaanika mbele ya mama yenu ili mtumbuliwe.
 
Magufuli aliua NHC mwenyewe ili ahamishie fedha kwenye miradi aliyopenda yeye na hasa chato na kanda ya ziwa, sasa mabula analia nini?
 
Mnaolipa kodi na matozo ni maboya sana kwa jinsi hela ya nchi inavyotapanywa.

Siku mkiweza ku link jasho lenu na hizi hela mtalia sana.

Wengi wenu mkiibiwa hata 500/= katika daladala mnawaka, mnaweza hata kumchoma moto mwizi, sasa fikiria maelfu ya pesa zako zinazochukuliwa kila siku na kwenda kufujwa.
 
Japo lilikua boko wangemalizia tu kuenzi maono yake maana alijenga nchi nzima bila upendeleo ila kujenga kwake ndio imekua nongwa
Nani hakuwa na Upendeleo? Alisema wazi majimbo ya upinzani hapeleki maendeleo.Huo ndo upendeleo
 
Japo lilikua boko wangemalizia tu kuenzi maono yake maana alijenga nchi nzima bila upendeleo ila kujenga kwake ndio imekua nongwa
Na kule kaskazini watulie Kwanza. Mwendazake alifanya Nini zaidi ya kuvuruga maisha ya watu?

Tuogope machozi ya wenzetu yanapomwagika. Mungu hakupendezwa na huo utawala.

Tukipima Kati ya Lissa na mwendazake Nani alistahili kuishi? Kwa Nini mungu kaamua Kama yalivyotimia katika ukurasa alioandaa yeye mwenyewe? Mfano tunao kwenye biblia mungu anapokea malalamiko ya wanna wa Izrael.
 
Duniani hapa hakuna Jambo jipya...watu walipiga kelele hapa na mifano na picha wakatoa kuhusu magofu ya Mobutu Congo...Sasa chato kila siku unasikia majengo ,viwanja etc vinabaki magofu..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mama aacha upumbavu hiyo miradi haina tija huko ilipelekwa kimaslahi...anafikiria meko aliempa uwaziri kwa kusoma shule moja bado yupo
 
Wakuimalizia sasa ndio hawapo, NHC wanaona ni kisai gani watapoteza pesa kukamilisha hiyo miradi, bora nusu shari kuliko shari kamili, hizo hela zilizopotea watafanya kama zimetumbukia chooni bahati mbaya, n sio hiyo tu, kuna lisoko lilijengwa sehemu moja huko kusini bila kuwashirikisha wananchi kujua mahitaji yaom hasa ni nini, miaka zaidi ya minne sasa tangu limekamilika halijaanza kufanya kazi
 
Alafu kura utaenda kuomba wapi?

Unaijua nguvu ya kanda ya ziwa au unaisikia?

Unajua kitatokea nini ikiwa watashawishiwa na chama chochote cha upinzani?

Subiri moto utawaka
Hilo nalijua. Wametengeneza bomu la Kalemani, Msukuma, Bashiru na wengineo. Bado hujajumuisha hasira za uchaguzi uliopita. Nakubaliana kanda ya ziwa patachimbika
 
Hakika leo nimeamini ule msemo usemao “Marehemu hana thamani/Haki” leo Wilaya ya Chato ndio ya kukosa fedha za kumalizia miradi kweli?
Acha wawatenge wanafikiri chato siyo wapiga kura,mbona Msoga kila kukicha miradi mipya.
 
Kwi Kwi Kwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…