NHC yatelekeza miradi ya mabilioni wilayani Chato

Hakika leo nimeamini ule msemo usemao “Marehemu hana thamani/Haki” leo Wilaya ya Chato ndio ya kukosa fedha za kumalizia miradi kweli?
Ndiyo matokeo ya kutofuata mfumo wa bajeti wa kupitia bungeni...
 
Mnada wa ngombe 4.8bn, wataweka cold rooms? Kutakuwa na shelves za kupanga mifugo?
 
NHC na minada wapi na wapi? Kwanini huu mradi usiwe chini ya Narco? Kwanini usiwekwe kwenye ranch ya mitamba Kitengule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…