Bodi hii ni ovyo kabisa sijapata kuona, imekuwa haina msaada zaidi ya kujilipa wenyewe
Nenda katembelee hospitali mpaka unatamani hivi huu mfuko unasaidiaje hizi hospitali, Mteja anapata huduma wao wanakuja kukagua form na kutofauta makosa madogo madogo na kukata yaani ni bora waunde bodi mpya yenye mkakati wa kusaidia hii tasisi wateja wao na hosipitali zinazotoa huduama
Wewe mpaka inafika NHIF inadaiwa bil 10 haijalipa na taasisi moja sijui wanawaza nini juu uendeshaji wa taasissi hiyo
Naona unalaumu BIMA tuuu!! je umeshaona ufujaji wanao fanya Mahospitalini huko??? Maduka ya Madawa??? utagundua BIMA wako sahihi na utawaonea hururma kwa kazi wanayo fanya!!...mie nawashauri Bima kwa roho safi kuwa....
waajili Madaktari na Nurses kutoka hukohuko kwenye Mahospitali hayo watagundua mengi mnoo!! wao wachomoe mmoja mmoja tu! yaani ni hivi hawa wana Number za wateja wao!! kwa udi na uvumba wanazitafutaga wao!
hata wale wateja ambao hawajawahi kutibiwa Hospitalini! haumwi lolote na hawaja wahi kuumwa ila wana kadi za Bima wanakatwa! na wengine Maskini wa Mungu wamelazimishwa tu!
wamejaziwa Bill!.....ukienda nao hao wateja hapo Mahospitalini wala hata hawawajui kabisaaa!...haiwezekani weye Daktari usijue mgonjwa wako mwenye ugonjwa chronic hata kwa sura tu! kwa kuwa hawa unao kila siku na Mwezi!
kuna wateja ambao hawajawahi kuumwa kabisaaa!! lkn utakuta amejaziwa Bill ya Milioni saba! eti alilazwa TMJ Hospital Tena wana komaaa kabisaaa!! uzuri wateja wengine tunawajua ni wazee wa kilaji sana tunakuwa nao!! ukimuuliza bana weee ulilazwa lini??
Anang'aka wee!! mie Afya yangu Bomba tu!! na ni kweli si unamuona kila siku??? tatizo liliopo ni kuwa huko Mahospitalini hawana hata akili za kufoji hizo forms hasa hasa Hospital za Marie stop'' wana foji kijinga sana!!
na hizi kazi za kufoji Bills za wagonjwa wa Bima zinafanywaga na vile vi -nurse vilaza!! vya bei rahisi one year Course! Madaktari ni wagumu mara nyingi wanakuwaga wabishi kufoji! ...hta ukimuachisha kazi ni poa tu!
Kampuni ya Bima ya AAR iko vizuri wao wailiwapa onyo Marie stop na kutishia kujiondoa km wataendelea na mtindo wao huo wa kufoji hovyo!... hapo wakajirekebisha, tatizo liko kwa sirikali ya bima maweee!!
Hawa jamaa wanalala sana!! waende huko mahospitalini watagundua mengi!! Mifuko ya Afya inadhoofishwa sana!! na baadhi ya Hospitali!! wakiongozwa na shirika la Marie stop Mwenge!! na Dsm yote kwa ujumla wake!! Kamunyonge kulee! na ileee ya pale Arusha kando kando njiani hivi!!
BIMA ya AFYA inadaiwa hela nyingi kuliko inavyopokea sasa hii kweli haiwezekani! itajiendesha vipi?? BIMA mnikodi mie nije niwafanyie kazi kwa kuweka mifumo sawa miezi miwili tu!! mtaona mabadiriko! na
fumua mfumo wa chini huku wote na usuka upyaaaa!,,,Jiwe hakupewa miongozo mizuri na wahusika msimulaumu! hili namtetea si mnajua mie ni anti Jiwe!...BIMA ya afya Taifa bado ni wachanga sana msiwalaumu kwa kutolipa haraka .
hao Bima wamekosa Well learned strategic Health insurence officers wa level ya juu! badala yake sasa wanafanya kazi kienyeji sana na cheap nurses! lazima wapigwe kwa udhaifu huu!! shirika mtaliua faster! Dr Mood! Unalala sana mzee! Unaona sasa!