Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti mtu na akili zake anapendekeza bima kwa wote, elimu ya kuungaunga inafubasa ubongo. Utamsikia mtu akijisifu kuwa oo mimi nilianzia certificate nikapanda hadi PhD, hakuna kitu kabisa kwenye kufikiria criticallyVery well said. 👌👌
Nadhani hatuhitaji kuwa na uchumi mkubwa au mzuri sana. Kitu kikubwa ni ufahamu wa kuishi kwa kulinda afya zetu.
Nilishuhudia bibi yangu kijijini akiishi maisha ya kuilinda afya yake kwa mazingira yanayomzunguka.
1: Kunywa maji yaliyochemshwa
2: Kutokuchanganya vyombo vya chakula na kufuria, au vya bafuni na kuchotea maji ya kunywa, au chooni na matumizi ya kawaida.
3: Mazingira safi
4: Matumizi ya chandarua
5: .....👇
Suala kubwa ni kufanya preventive/kuzuia approach iwe kubwa kuliko subiri uumwe ili tutibu. Kujielekeza kubadili mentality zinazoeneza magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza, haya ya lishe ndo yatahitaji kuingia mfukoni sana.
Si useme usukumaniMasikini naye mtu japokua hana kitu.
Ila hii nchi ishagafeli kitambo..yani miaka 60 ya uhuru kuna mamtu hayana hata choo yanajisaidia vichakani.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwa watu wachini IPO Ile ya kaya, ilianza kwa 10,000 Tsh. Ikapandishwa 30,000 Haijapata muamko, wanataka Sheria ya bima kwa wote.Kwani hiyo bima imeanza?
Mtu maskini/fukara hawezi kuwa na afya bila kusaidiwa na watu wengine. Hakuna Kinga ya minyoo zaidi ya kutumia choo, kuvaa viatu, kunawa mikono , kunywa maji salama, kupika viive na kuosha vitu tunavyokula, hakuna Kinga ya utapiamlo zaidi ya kula chakula chenye virutubisho. Je maskini anaweza kujenga choo, kuvaa viatu, kununua na kugharamia?Kwanza fanya research ya haya mambo...
1) Maana ya Bima na vipi inafanya kazi na inahitaji nini ili kufanya kazi
2) Magonjwa mengi ya Kizazi hiki yanasababishwa na nini ? (Pressure, kutokufanya mazoezi, kubweteka) pia utagundua kwamba unhealthy eating junk food inaendana na rise in income, mfano America pamoja na income kubwa per capita lakini watu wake ni unhealthy..., China baada ya watu kuongezeka kipato Obesity ikaongezeka
3) Pia ushajiuliza kwanini wewe unahangaika kila siku ukinywa maji tu machafu kidogo wakati kuna watoto wa mitaani wanakunywa maji ya mitaroni na kuishi nje na sehemu chafu ila wanadunda (immunity has something to do with it)
Cha maana inabidi kama taifa tuache mambo ya reactive care bali twende kwenye preventive care..., and that has nothing to do with income bali elimu ya afya..., unaweza ukapata pesa zaidi ukazidisha bia, mafuta, red meat ukawa mtu wa kukaa ofisini ukitoka kwenye gari na kula junk food wakati kipindi unakimbizana na daladala ulikuwa unafanya zoezi tosha....
Afya ni nini ?, Ungejaribu kucheki jinsi concept ya BIMA ilivyo ungetambua its all about numbers, kwahio wote wakichangia kidogo kidogo mathematically haiwezekani 90% ya watu wote wakaugua kwahio kama una watu milioni kwenye mfuko ni vigumu 50 percent kuugua hata wakiugua hao ni watu laki tano..., ila kama una watu wawili 50% wakiugua unabaki peke yako hence mfuko kushindwa kufanya kazi, its all about numbersMtu maskini/fukara hawezi kuwa na afya bila kusaidiwa na watu wengine.
Kwahio matajiri ndio unadhani wanafanya hivyo na kunawa ?, unajua kwamba usafi ni tabia na sio fedha ?, pia nimekwambia watoto wa mitaani watembea peku wala majajarani wanaugua kama wengine ? hapo utagundua kwamba immunity pia matters na watumiaji wengi wa hizo Bima huenda ukakuta ni watu wenye kipato wenye lazy lifestyles as well as stressful lifeHakuna Kinga ya minyoo zaidi ya kutumia choo, kuvaa viatu, kunawa mikono , kunywa maji salama, kupika viive na kuosha vitu tunavyokula,
Hivi unajua kwamba huenda masikini anakula healthy food kuliko tajiri ?. Michemsho, mboga za majani na vingine ambavyo wewe unaweza kuona kwamba ni cheap food (no junk food wala kuunga unga) na karne hii ya milonge na vyakula vingine eating healthy sio vigumu kivile (tena wewe unayedhani unakula nyama na sijui mayai ambayo yanatoka kwenye mifugo iliyojazwa anti-biotics huenda ndio unaji-kill softlyhakuna Kinga ya utapiamlo zaidi ya kula chakula chenye virutubisho.
duh sijui unaongelea masikini gani huyo mtembea peku mkosa choo..., ingawa hata wale wanaokaa kwenye slums na kujisaidia kwenye mitaro ambayo uchafu unakwenda kwenye vyanzo vya maji sadly hicho kifo kinakupata hata wewe sababu it all goes in the water..., pia unaweza kudhani upo salama kumbe sewage system yetu ni mbovu hence hata unachokula wewe na samaki unaokula wote wamejaa masumuJe maskini anaweza kujenga choo, kuvaa viatu, kununua na kugharamia?
Na UK ilikuwaje ?, Kushindwa kwa Obama ni Insuarance and pharmaceutical companies zingepoteza baadhi ya mapato yao, it was political with pharamaceuticals and insurance companies having massive lobbying power...Marekani ni tajiri lakini hakuna bima kwa wote. Obama alijaribu lakini sio rahisi.
🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu usijaribu kuingia kwenye kikundi cha kufa na kuzikana chenye watu maskini utafirisika kwa michango, Watu hawa utasikia mara anahaarisha na kutapika, mara mtoto kaungua na uji jikoni, mara ana malaria, minyoo, kipindupindu, anabanwa kifua, nk kafa au amelazwa hospital mumchangie, mumsafirishe, nk
Chief, hata siku moja usitoe ushauri huu tena, maana utazidisha kuwaangamiza watanzania wengi. Usijaribu kusema tena maskini wanakinga sijui ya magonjwa sijui nini!! Narudia acha. Hatuishi kama waganga wakienyeji. Pili ningekuonyesha vifo vinavyotokea kwahao watu unaowataja ungeshangaa. Hawafi kwasababu hujasikia vifo vyao vikitangazwa. Wewe kaa Dar, jua wavijini wanakinga. Utaua ndugu zako. Pili shida sio wachangiaji kuwa wengi peke yake bali ni consistency ya utoaji. Watanzania wakishatoa mara 1 au 2 basi huacha, na ndio maana unaona NHIF inaendeshwa na watumishi kwasababu pesa huchangiwa kila mwezi constantly. Mtanzania akishapona husahau hata ugonjwa aliupataje na anarudia yaleyale vivyohivyo husahau na kuacha kuchangia kwenye bima.Sijasikitishwa na alicho andika mtoa mada. nimeskitishwa na wachangiaji wote kukubslia na hoja zake.
Kwa mjibu wa mtoa mada , masikini wengi hawana vyoo Bora ,hawana makazi , hawanawi mikono , hawatumii condom.
Hitimisho lake nikua wanaumwa mara kwamara, na hii itachangia mfuko kufirisika.
Naomba nipingane nae kwe hitimisho lake.
1:masikini wengi wako vijijini ambako hata hizo huduma za afya hazijaboreshwa , wameishiwa kwenye ngazi ya zahanati.
Kwasababu hiyo huduma zipatikazo hapo zile za awali tofauti na mijini ambako vimeja vituo vya kutoa huduma za kibingwa(vingine hata hao mabingwa hapo) Tageti kubwa nikuhudumia wanachama na kupeleka madai kwenye mfuko.
2😛amoja nakujitahidi kutaja mazingira yazungukayo makazi ya masikini, Hali Iko tofauti na anavuo eleza mtoa mada.
Masikini wengi hawaumwi .nawengine wanaweza kuishi na baazi ya magonjwa kama ya ngozi Bila kutibiwa (wakiimini nikawaida)
Hicho chumba anacho lala nakuku, hajaanza yeye kakulia humo katoka kajenga kwake maisha yanaendelea.
Kajalibu kuwalaza watoto wenu humo muone , kama hamujawamushia mortuary.
Ukiachana na udumavu kwa watoto, masikini Wana Kinga ya mwili kuliko hili daraja lakati na matajiri.
Nihitimishe kwa kusema kuongeza michango kutoka kwa masikini kutaimalish a uwezo wa mfuko kwa sababu
A:wachangiaji wanaenda kua wengi.
B: Hili kundi kubwa halitakua matumizi makubwa kama kama makundi mengine.
Hicho kipimo cha vitamin D ndio kipi, na alienda hospitali gani?Wanaudhi sana!
Jana ndugu yangu kaenda kupata huduma kufika hospitali kipimo aliandikiwa na Daktari akaambiwa hakilipiwi na NHIF [emoji848][emoji848]
Kipimo cha vitamin D shilingi 35,000/-
Imagine.
Huyo Dada anasema anakatwa heka nyingi kwa kila mwezi yeye na mume wake hela chungu nzima kila mmoja anachangia karibia shilingi 200,000/- Kwa mwezi na mume hivyo hivyo.
Na kwenda hospitali ni kwa nadra sana.
Sasa kwenda kupata huduma akalazimika kwenda bank kuchukua hela alipie hicho kipimo,
Alikasirika jamani [emoji24]
Mkurugenzi wa NHIF na top mgt kwa ujumla liangalieni hilo jambo na mengine ya msingi.
Sio vizuri na sio haki kukata watu hela nyingi imagine familia moja zaidi ya 400,000/- Kwa mwezi halafu wakati wa huduma mnampangia?
Kwanini Vitamin D mnakataa kulipia ? [emoji19][emoji18]