kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
Hana hela ya kununua sababuni ya kufulia nguo yake chafu Leo atakuwa na hela ya kulipia ugonjwa ambao hajui ataugua nini lini?Chief, hata siku moja usitoe ushauri huu tena, maana utazidisha kuwaangamiza watanzania wengi. Usijaribu kusema tena maskini wanakinga sijui ya magonjwa sijui nini!! Narudia acha. Hatuishi kama waganga wakienyeji. Pili ningekuonyesha vifo vinavyotokea kwahao watu unaowataja ungeshangaa. Hawafi kwasababu hujasikia vifo vyao vikitangazwa. Wewe kaa Dar, jua wavijini wanakinga. Utaua ndugu zako. Pili shida sio wachangiaji kuwa wengi peke yake bali ni consistency ya utoaji. Watanzania wakishatoa mara 1 au 2 basi huacha, na ndio maana unaona NHIF inaendeshwa na watumishi kwasababu pesa huchangiwa kila mwezi constantly. Mtanzania akishapona husahau hata ugonjwa aliupataje na anarudia yaleyale vivyohivyo husahau na kuacha kuchangia kwenye bima.
Sent using Jamii Forums mobile app