johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
watakavyo, hii ni a country in he shamble!Ili kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36.
Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo
Kwa taarifa zaidi wasiliana nao hapa hapa Jamii Forums wapo.
Source: Kipima Joto, ITV
Basi iliwasiwaue wagonjwa wa Figo watoe Figo zao Moja Moja wawachangie wagonjwa wanaofilisi mfuko wao🤸🤸🤸Ili kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36.
Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo
Kwa taarifa zaidi wasiliana nao hapa hapa Jamii Forums wapo.
Source: Kipima Joto, ITV
Jo Figo zako zipo sawa,kama la mtafute mwenye mfuko mshauriane jinsi atakavyo kugawia Moja🤣🤣Ili kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36.
Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo
Kwa taarifa zaidi wasiliana nao hapa hapa Jamii Forums wapo.
Source: Kipima Joto, ITV
Source, Kipima Joto ?‽? .... Wewe ulikuwa unasinzia wakati kipindi kinaendelea ... hakuna kitu kama ichoIli kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36.
Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo
Kwa taarifa zaidi wasiliana nao hapa hapa Jamii Forums wapo.
Source: Kipima Joto, ITV
Wala hilo sio tatizo, tatizo hospital zinashirikiana na wafanyakazi kuibia mfuko. Pili wana utaratibu wa kujikopesha pesa.Nafikiri a hata Serikali ipinguze uchotaji kwa mashirika kama hilo maana wanashindwa fikia malengo
Fungu linatotolewa mbona. Shida ni wizi uliokithiri wa hospital binafsiMfuko wa bima utakufa hili halina ubishi aise....
Kwa sababu ya ubinafsi wa serikali yetu...
Nna uhakika mashirika ya bima ya nchi za wenzetu kuna fungu la kutosha linatolewa katika bajeti kuu ili ku boost mfuko wa bima za afya zao ila kwa kwetu hapa sina uhakika...na hii ndo inapelekea shida zote hii.
na hilo ndo linawafilisi,kuna hospotali moja ya rufaa ya kanda jamani ule upigaji sio wa kawaida?Fungu linatotolewa mbona. Shida ni wizi uliokithiri wa hospital binafsi
Dah.. Hii nchii hii! Na bado tukiendelea kuwwachekea yatatufika makubwa zaidi ya haya.