NHIF kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36, pia itatumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ili kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36.

Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo

Kwa taarifa zaidi wasiliana nao hapa hapa Jamii Forums wapo.

Source: Kipima Joto, ITV
 
watakavyo, hii ni a country in he shamble!
 
tunapitia ktk kipindi kigumu sanaaa, fungueni tu mikanda manake hata mkiifunga/kaza changamoto ziko pale pale
 
Hiyo ni remedial action, but lazima kuwe na scientific approach ya kusuluhisha matatizo yaliyopo ili NHIF iwe stable and sustainable.

Kwanza, wajue mataatizo yanazalishwa na kitu gani, gap kwenye sheria au uongozi mbaya;

Pili, wajitathmini kama wanahitaji kuhodhi soko lote, yaaani watumishi wa umma na raia wa kawaida;

Tatu, watengeneze catalogues of medicines and services ikiwa na indicative prices ili kupunguza ubabaishaji na ku-predict their financial liability ambayo ita determine realistic premium ambayo wanachama wanapaswa kuchangia; na

Mwisho, wa automate process zote
 
Mapigano ya maisha ki nchi, yakishindikana, unasogea kijamii, ukiona magumu unapambana mwenyewe bila kutegemea chochote!

Mungu ndo wa kutegemea tu, this government is no longer to be trusted, respected or even trusted, Hakuna lolote jema!
 
Ili kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36.

Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo

Kwa taarifa zaidi wasiliana nao hapa hapa Jamii Forums wapo.

Source: Kipima Joto, ITV
Basi iliwasiwaue wagonjwa wa Figo watoe Figo zao Moja Moja wawachangie wagonjwa wanaofilisi mfuko wao🤸🤸🤸
 
Ili kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36.

Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo

Kwa taarifa zaidi wasiliana nao hapa hapa Jamii Forums wapo.

Source: Kipima Joto, ITV
Jo Figo zako zipo sawa,kama la mtafute mwenye mfuko mshauriane jinsi atakavyo kugawia Moja🤣🤣
 
Mfuko wa bima utakufa hili halina ubishi aise....
Kwa sababu ya ubinafsi wa serikali yetu...
Nna uhakika mashirika ya bima ya nchi za wenzetu kuna fungu la kutosha linatolewa katika bajeti kuu ili ku boost mfuko wa bima za afya zao ila kwa kwetu hapa sina uhakika...na hii ndo inapelekea shida zote hii.
 
Ili kuboresha huduma na uimara wa mfuko NHIF inakusudia kupunguza muda wa mahudhurio ya hospitali kutoka 360 kwa mwaka hadi 36.

Kadhalika mfuko utaanza kutumia bei ya soko kwa dawa za kansa na kusafisha figo

Kwa taarifa zaidi wasiliana nao hapa hapa Jamii Forums wapo.

Source: Kipima Joto, ITV
Source, Kipima Joto ?‽? .... Wewe ulikuwa unasinzia wakati kipindi kinaendelea ... hakuna kitu kama icho
 
Nafikiri a hata Serikali ipinguze uchotaji kwa mashirika kama hilo maana wanashindwa fikia malengo
Wala hilo sio tatizo, tatizo hospital zinashirikiana na wafanyakazi kuibia mfuko. Pili wana utaratibu wa kujikopesha pesa.
 
Mfuko wa bima utakufa hili halina ubishi aise....
Kwa sababu ya ubinafsi wa serikali yetu...
Nna uhakika mashirika ya bima ya nchi za wenzetu kuna fungu la kutosha linatolewa katika bajeti kuu ili ku boost mfuko wa bima za afya zao ila kwa kwetu hapa sina uhakika...na hii ndo inapelekea shida zote hii.
Fungu linatotolewa mbona. Shida ni wizi uliokithiri wa hospital binafsi
 
NHIF inaelemewa sababu ya

Inakopesha hospital
Inakopesha serikali pesa

Watumishi wa umma wengi mishahara midogo ila wana wategemezi wengi
 
Back
Top Bottom