Super Msouth
Senior Member
- Dec 28, 2014
- 134
- 121
NHIF imefilisiwa na serikali halafu wanapa watu mzigo, serikali iache kutumia hela za mifuko kwa mambo tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kwetu mfuko ndo unaipa serikali helaMfuko wa bima utakufa hili halina ubishi aise....
Kwa sababu ya ubinafsi wa serikali yetu...
Nna uhakika mashirika ya bima ya nchi za wenzetu kuna fungu la kutosha linatolewa katika bajeti kuu ili ku boost mfuko wa bima za afya zao ila kwa kwetu hapa sina uhakika...na hii ndo inapelekea shida zote hii.
Katika yote hayo hakuna kinachoifanya NHIF kuwa hivyo.NHIF inaelemewa sababu ya
Inakopesha hospital
Inakopesha serikali pesa
Watumishi wa umma wengi mishahara midogo ila wana wategemezi wengi
Kuna shida ya uelewa kwa wengi. Mashirika ya bima ya afya yapo mengi, tatizo ni gharama kubwa na ndio kinachowashinda wengi. Mwalimu anayelipwa mshahara wa laki 5 kwa mwezi ataweza kuwa na bima Kama ya jubilee au strategies ambao makato yao kwa mwezi ni karibu laki 1??Wangeweka vigezo vya siku ya mahudhurio kati ya watumishi wa serikali na walio nje, maana watumishi wa serikali wanaojiunga asilimia kubwa hawajiunga sababu wanaumwa ila walio nje hujiunga kutokana na magonjwa na ndio wanabebesha mfuko huu mzigo ikishindikana waruhusu mashirika mengine ya afya yawekeze ili kuwe na ushindani.
Ningekuwa raisi juma tatu ungekuwa unakula kiapo chako chakuwa waziri wa afya uanze utekelezaji mara moja.Hiyo ni remedial action, but lazima kuwe na scientific approach ya kusuluhisha matatizo yaliyopo ili NHIF iwe stable and sustainable.
Kwanza, wajue mataatizo yanazalishwa na kitu gani, gap kwenye sheria au uongozi mbaya;
Pili, wajitathmini kama wanahitaji kuhodhi soko lote, yaaani watumishi wa umma na raia wa kawaida;
Tatu, watengeneze catalogues of medicines and services ikiwa na indicative prices ili kupunguza ubabaishaji na ku-predict their financial liability ambayo ita determine realistic premium ambayo wanachama wanapaswa kuchangia; na
Mwisho, wa automate process zote
Rudisha kishikwambi cha watu karani.Kuna shida ya uelewa kwa wengi. Mashirika ya bima ya afya yapo mengi, tatizo ni gharama kubwa na ndio kinachowashinda wengi. Mwalimu anayelipwa mshahara wa laki 5 kwa mwezi ataweza kuwa na bima Kama ya jubilee au strategies ambao makato yao kwa mwezi ni karibu laki 1??
Utakua mwalimu wewe maana unalia lia sana na vitu vya bure.Katika yote hayo hakuna kinachoifanya NHIF kuwa hivyo.
Nimecheka had machozi...dahBasi iliwasiwaue wagonjwa wa Figo watoe Figo zao Moja Moja wawachangie wagonjwa wanaofilisi mfuko wao🤸🤸🤸
Kuna mwamba mmoja alisema maskini hahitaji kupewa bima
Tuondoe umaskini hapo afya itakaa sawa automaticUnayanyapaa huo🚶
Mashirika binafsi ya Bima yapo. Tuseme wafanyakazi waachwe wachague wapi wanataka kujiunga.Wangeweka vigezo vya siku ya mahudhurio kati ya watumishi wa serikali na walio nje, maana watumishi wa serikali wanaojiunga asilimia kubwa hawajiunga sababu wanaumwa ila walio nje hujiunga kutokana na magonjwa na ndio wanabebesha mfuko huu mzigo ikishindikana waruhusu mashirika mengine ya afya yawekeze ili kuwe na ushindani.