Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe subiria kwenye bei za hivyo vifurushi, ndio utajua neno mnyonge hutumika kisiasa tu, hawana huruma naye!!Ubunifu mzuri sana, utasaidia watu wengi sana. Angalizo uwe wa gharama nafuu, wasiwe na lengo na kupata fedha kwaajili ya gawiwo serikalini.
Target ni gawio mjombaUbunifu mzuri sana, utasaidia watu wengi sana. Angalizo uwe wa gharama nafuu, wasiwe na lengo na kupata fedha kwaajili ya gawiwo serikalini.
Mkuu utaratibu huo bado upo kwa dar es salaam familia ya watu 6 inategemewa watalipa laki 1 na kwa mtu mmoja mmoja ni elfu 40 kwa mwaka kwa mikoani elfu 30 kwa mwaka mzima kwa huduma za kituo cha afya,hospitali za mikoa na wilayahakuna lolote ni mbinu tu ya kutafuta pesa. wanaondoa unafuu ulikuwepo awali wa mtu mmoja kuwa na tegemezi sita.
Hv vifurushi nilipata kuviona mapema kabla ya uzinduzi. Ngoja nicheki my docs kama ntakua sahihi.Mkuu utaratibu huo bado upo kwa dar es salaam familia ya watu 6 inategemewa watalipa laki 1 na kwa mtu mmoja mmoja ni elfu 40 kwa mwaka kwa mikoani elfu 30 kwa mwaka mzima kwa huduma za kituo cha afya,hospitali za mikoa na wilaya
Target ni gawio mjomba
Hela yangu mshahara wangu jasho langu halafu unanipangia matumizi kama sio uchawi ni ninihakuna lolote ni mbinu tu ya kutafuta pesa. wanaondoa unafuu ulikuwepo awali wa mtu mmoja kuwa na tegemezi sita.
Dodoma ipo midomoni mioyo ipo Dar.Huyo Waziri bado anazindulia dar badala ya Dodoma?
Tangazo lipo mkuu tembeleleaHawa jamaa wameficha sifa za vifurushi, watuambie utofauti wa vifurishi kihuduma ukoje kuliko kuja na bei tu....halafu hata kwenye mtandao wao hakuna hilo tangazo
Tuache hadithi, vifurushi bomba sana kwa kila Mtanzania hasa wa kipato cha chini hivi hapa:
View attachment 1273092
Hawa jamaa wameficha sifa za vifurushi, watuambie utofauti wa vifurishi kihuduma ukoje kuliko kuja na bei tu....halafu hata kwenye mtandao wao hakuna hilo tangazo
sijui kakaBenefits za najali afya, wekeza afya na Timiza afya zinatofautianaje?
Wewe subiria kwenye bei za hivyo vifurushi, ndio utajua neno mnyonge hutumika kisiasa tu, hawana huruma naye!!