NHIF kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya, sasa kila Mtanzania kuzingatiwa

NHIF kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya, sasa kila Mtanzania kuzingatiwa

Benefits za najali afya, wekeza afya na Timiza afya zinatofautianaje?
Hizi hapa
tapatalk_1574781588027.jpeg
 
Walikua wapi siku zote,haka kataasisi kana wafanyakazi kidogo Sana,ila wanajilipa mijihela mingi Sana ,na wanayo kwa kuwa so wote wanaochangia wanaugua Kila mwezi, waweza kuta mtu kachangia hata miaka 4 ila hajawahi kwenda chipitali na Yuko singo.
 
Sio NHIF hiyo ni CHF
Mkuu utaratibu huo bado upo kwa dar es salaam familia ya watu 6 inategemewa watalipa laki 1 na kwa mtu mmoja mmoja ni elfu 40 kwa mwaka kwa mikoani elfu 30 kwa mwaka mzima kwa huduma za kituo cha afya,hospitali za mikoa na wilaya
 
hakuna lolote ni mbinu tu ya kutafuta pesa. wanaondoa unafuu ulikuwepo awali wa mtu mmoja kuwa na tegemezi sita.
Mkuu hii ni nafuu kwa sababu, kama mtu anafamilia ndogo anaweza kumudu gharama kama una familia kubwa una lipa zaidi
 
Hii ndio siri kubwa...hapo lazma kuna wanaotibiwa aga khan na wanaotibiwa amana
Mkuu tukiachana na AC, ukubwa wa majengo na lift pamoja idadi kubwa ya watu wanaohudumiwa, Amana Hospital ni Kati ya hospitali bora katika jiji hili
 
Back
Top Bottom