NHIF kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya, sasa kila Mtanzania kuzingatiwa

hakuna lolote ni mbinu tu ya kutafuta pesa. wanaondoa unafuu ulikuwepo awali wa mtu mmoja kuwa na tegemezi sita.
Mkuu utaratibu huo bado upo kwa dar es salaam familia ya watu 6 inategemewa watalipa laki 1 na kwa mtu mmoja mmoja ni elfu 40 kwa mwaka kwa mikoani elfu 30 kwa mwaka mzima kwa huduma za kituo cha afya,hospitali za mikoa na wilaya
 
Hv vifurushi nilipata kuviona mapema kabla ya uzinduzi. Ngoja nicheki my docs kama ntakua sahihi.

Ila kiukweli ni gharama nafuu
 
Hawa jamaa wameficha sifa za vifurushi, watuambie utofauti wa vifurishi kihuduma ukoje kuliko kuja na bei tu halafu hata kwenye mtandao wao hakuna hilo tangazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…