white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Hapo sawa!! Daaa kweli mnyonge hatimaye amekumbukwa kwa vitendo!!! Hapo hongera serikaliView attachment 1273245
Benefits kwa kila kifurushi hizi hapa
View attachment 1273246
Bei za vifurushi ndo hizo hapo mkuu white wizard unaonaje?
Is this sarcastic or u mean it mkuu?Hapo sawa!! Daaa kweli mnyonge hatimaye amekumbukwa kwa vitendo!!! Hapo hongera serikali
Hizi hapaBenefits za najali afya, wekeza afya na Timiza afya zinatofautianaje?
Mkuu utaratibu huo bado upo kwa dar es salaam familia ya watu 6 inategemewa watalipa laki 1 na kwa mtu mmoja mmoja ni elfu 40 kwa mwaka kwa mikoani elfu 30 kwa mwaka mzima kwa huduma za kituo cha afya,hospitali za mikoa na wilaya
Tumegeuzwa fursa....washenzi kweli
Mkuu hii ni nafuu kwa sababu, kama mtu anafamilia ndogo anaweza kumudu gharama kama una familia kubwa una lipa zaidihakuna lolote ni mbinu tu ya kutafuta pesa. wanaondoa unafuu ulikuwepo awali wa mtu mmoja kuwa na tegemezi sita.
Kwa sasa unaweza kuwasajili walezi wako kwa kuwapatia package ya 35-60 au 60+ kutegemea na umri wao.Hawana maana walinikatalia kusajili walezi wangu
Hawana maana walinikatalia kusajili walezi wangu
Vifurushi vina bei kali sana km ni kwa mwaka iyo bei siyo rafiki!!!
Mkuu asante kwa kuweka sawaSio NHIF hiyo ni CHF
Mkuu tukiachana na AC, ukubwa wa majengo na lift pamoja idadi kubwa ya watu wanaohudumiwa, Amana Hospital ni Kati ya hospitali bora katika jiji hiliHii ndio siri kubwa...hapo lazma kuna wanaotibiwa aga khan na wanaotibiwa amana