NHIF kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya, sasa kila Mtanzania kuzingatiwa

NHIF kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya, sasa kila Mtanzania kuzingatiwa

Inawezekana lakini nadhani ni mapema mno kuwasifia hawa na Wizara husika. Kwa kutazama haraka haraka, utaona namna wazee (60+) walivyo pigwa na wakati huo huo wanaimba kila siku kuwa wazee wanastahili huruma za Taifa lakini leo vifurushi vya hawa wazee ndio ghali sana! Halafu, hizi huduma sijui za MRI, CT Scan na nyingine eti statolewa baada ya MWAKA MMOJA wa kujiunga!? Yaani ukijiunga 01/12/2019, utapata huduma hizo 01/12/2020 au nimesoma vibaya!? Hii maana yake nini ninyi watu wa NHIF na Wizara husika? Hebu lidadavueni hili, wacheni maneno na mbwembwe za majukwaani.
Yaani umri wa 60+ ni laana sasa. Tunawashukuru NHIF kwa kutuharakishia safari yetu ya mwisho hapa duniani.
 
Sasa hata ultra sound usubirie mwaka mzima mambo gani haya ukilipa hiyo 192 hupati huduma za kibingwa
 
Mbona hilo tangazo ni la juzi lakini karatasi lake lilitotumika kuchapua tangazi hilo ni kama la mwaka 70'!
Halafu halijasainiwa, hiyo siyo nyaraka ya kughushi kweli!
Naona NHIF wame clarify
IMG-20191130-WA0002.jpeg
 
Serikali inataka jitoa kuchangia ile 3pc. Kwenye ile karatasi imetolewa na Regional Manager wa NHIF na Mhuri wa NHIF upo. Hii issue ni kweli.

Wanasubiria Waziri au Rais akazie
Naona kama walikua wanapima kina cha maji hivi....
Hata mimi naiona hii ishu inakuja, ni suala la muda tuu..
 
Nime attach presentation ya NHIF ikielezea juu ya hivi vifurushi vipya.
Vitu ambavyo nimenote from the presentation ambavyo nilikua sijajua ni;
1.Vifurushi vyote hivi, huduma yake mwisho ni HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA.
2.Pia, vifurushi vyote hivi havi cover CT Scan, wala MRI (with some exception, kuna kimoja kina cover CT baada ya muda, na mara moja kwa mwaka, na kingine cha juu zaidi kina cover MRI kwa beneficiary kuchangia 50℅).
3.Vifurushi vyote hivyo havi cover huduma za magonjwa ya Saratani, Figo na moyo.

Anyway, nisikumalizie uhondo, nime attach hiyo presentation kila mtu ajisomee mwenyewe Erythrocyte Root FRESHMAN FaizaFoxy

View attachment Mada_Vifurushi edited _New (1).pdf
 
Hoja yako namba 3 .. ndiyo tunailalamikia sana .. hayo magonjwa ni gharama sana bila bima
Nime attach presentation ya NHIF ikielezea juu ya hivi vifurushi vipya.
Vitu ambavyo nimenote from the presentation ambavyo nilikua sijajua ni;
1.Vifurushi vyote hivi, huduma yake mwisho ni HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA.
2.Pia, vifurushi vyote hivi havi cover CT Scan, wala MRI (with some exception, kuna kimoja kina cover CT baada ya muda, na mara moja kwa mwaka, na kingine cha juu zaidi kina cover MRI kwa beneficiary kuchangia 50℅).
3.Vifurushi vyote hivyo havi cover huduma za magonjwa ya Saratani, Figo na moyo.

Anyway, nisikumalizie uhondo, nime attach hiyo presentation kila mtu ajisomee mwenyewe Erythrocyte Root FRESHMAN FaizaFoxy

View attachment 1277861
 
Zamani eti mnaambiwa mje watu 6 na mlipe 1.5m papo hapo, si uwendawazimu huo?
 
Wewe subiria kwenye bei za hivyo vifurushi, ndio utajua neno mnyonge hutumika kisiasa tu, hawana huruma naye!!
Wengj wetu tuna upeo mdogo wa kufikiri, hatuna muda wa kuchambua hata yale yanayo husu maisha yetu. Bima hii ni siasa kuelekea uchaguzi , si lolote, si cho chote kwa mwananchi maskini wa nchi hii.
 
Wanasema miwani ni moja kati ya urembo.Kama unaweza pata miwani ya 30k.Lakini kwa kuwa unataka yenye madoido ziko frem za 500k.Unataka bima i cover hio pia?Think
Una maana gani mkuu?
 
Back
Top Bottom