Nime attach presentation ya NHIF ikielezea juu ya hivi vifurushi vipya.
Vitu ambavyo nimenote from the presentation ambavyo nilikua sijajua ni;
1.Vifurushi vyote hivi, huduma yake mwisho ni HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA.
2.Pia, vifurushi vyote hivi havi cover CT Scan, wala MRI (with some exception, kuna kimoja kina cover CT baada ya muda, na mara moja kwa mwaka, na kingine cha juu zaidi kina cover MRI kwa beneficiary kuchangia 50℅).
3.Vifurushi vyote hivyo havi cover huduma za magonjwa ya Saratani, Figo na moyo.
Anyway, nisikumalizie uhondo, nime attach hiyo presentation kila mtu ajisomee mwenyewe
Erythrocyte Root FRESHMAN FaizaFoxy
View attachment 1277861