NHIF kwa orodha hii ya dawa ambazo hazimo kwenye kitita chenu ni dhahiri hamna nia njema ya kuwasaidia Watanzania

Niweke wazi nimekua kwenye gemu (industry) muda Sasa....

Kuna dawa NHIF wame quote Bei za Chini Sana kuliko real market price na nyingine kuondolewa...

Hii inaenda kupunguza uwezo wa baadhi ya vituo vya afya na kupoteza wateja na maokoto kushuka..
 
NHIF walishajibu hilo.

Dawa mbadala za bei nafuu zimereplace hizo dawa ghali ili kusaidia mfuko kuwa na hela nyingi za kuwakopesha watumishi wake bila riba .
Bima ya afya haitakiwi kuwa kikoba ni basi tuu hii nchi ina umavi mavi mwingi bima ya afya inakuwaje kikoba cha kukopeshana tena hadi wanaondoa lengo la msingi la kupunguza gharama za matibabu kwa watu wanao changia ,
 
NHIF walishajibu hilo.

Dawa mbadala za bei nafuu zimereplace hizo dawa ghali ili kusaidia mfuko kuwa na hela nyingi za kuwakopesha watumishi wake bila riba .
Hili jibu ni murua sana. Naomba ujumbe huu anakilishwe waziri mwenye dhamana. Kwamba dawa za bei nafuu ni mnadala ili watumishi wa nhif waweze kujenga magorofa na kununua mavieite.
 
Bima ya afya haitakiwi kuwa kikoba ni basi tuu hii nchi ina umavi mavi mwingi bima ya afya inakuwaje kikoba cha kukopeshana tena hadi wanaondoa lengo la msingi la kupunguza gharama za matibabu kwa watu wanao changia ,
Sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Nimeshangaa nilipokuta eti kukiopesha bila riba. Utakopeshaje bila ribi wakati sh inaanguka kila siku?
 
Hili jibu ni murua sana. Naomba ujumbe huu anakilishwe waziri mwenye dhamana. Kwamba dawa za bei nafuu ni mnadala ili watumishi wa nhif waweze kujenga magorofa na kununua mavieite.
Paracetamol ya keko vs paracetamol za India

Azithromycin 500mg (azuma) vs azithromycin 500mg India

Ngoja tuone huu mtanange..
 
Kimsingi kwenye suala la afya serikali haiko serious. NHIF ni kichaka cha upigaji. Mheshimiwa Rais nakusihi piga chini kuanzia Ummy Mwalimu na wote wanaomshauri upuuzi. Mkurugenzi wa NHIF na genge lake wote tumbua na kama kuna hela wamepiga wazawadiwe kesi ya uhujumu uchumi.
 
Wahuni tu binfsi nalipaga kila mwezi na familia yangu ila sijui kama hata gharama ya robo huwa inafikiwa je tuko wangapi tz hii mpaka sema mfuko hauna pesa wizi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…