NHIF matatani, kilio cha wamiliki wa hospitali binafsi kukatwa mabilioni ya fedha chaibuka

 
Hii ni shida ya NHIF nchi nzima sio Mwanza peke yake.Pia wanachelewesha malipo miezi 3~5
 
Hii ni shida ya NHIF nchi nzima sio Mwanza peke yake.Pia wanachelewesha malipo miezi 3~5
 
Wazo Bora kabisa
 
Ila awamu hii mbona mifuko inavurugwa sana!
 
Tutaanza kutumia miarobaini na mizizi kujitibu muda si mrefu.
 
Maagizo kutoka juu,we unadhani Dk Julieth anatoa wapi kiburi,
muda wa raha umepita
 
Mbona mada inahusu NHIF? Au hujaelewa?
Both NSSF na NHIF ni wanga wa baba yako. Pesa zao zilianza kutumika kununulia ndege kwa cash nje ya bajeti ya serikali na baadaye kununulia wapinzani. Kilangila.
 
 
Angalia kiambatisho πŸ‘†πŸ»πŸ‘‡
 

Attachments

  • 6D99944D-D914-45E3-8C19-C5A8EA32832C.jpeg
    165.9 KB · Views: 4
Huo Uduanzi Wa NHIF Sio Mwanza Tuuu!!!!!Mikoa Yote Kilio Ni Kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…