NHIF mnapokeaje hela za vyuoni wanafunzi hata picha hawajapiga na wala kadi hawana?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Kuna watu wanataka kurudisha nyuma maendeleo ya Mh. Magufuli na kwa hili lazima tuwakatae mapema.

Baadhi ya vyuo wanafunzi wamelipa hela za NHIF kama bima na mpaka sasa hawajapiga picha wala kupewa kadi za bima wengine inakaribia mwezi wa tano sasa

- Ustawi wa Jamii
- Mwalimu Nyerere

Nani anaruhusu kupokelewa hela na kushindwa kuwahudumia wanafunzi?

Kwanini wanafunzi walipe hospitali wakati wameshakata na kulipa kadi ya bima?

Tunaomba msaada wa NHIF please.
 
Mkuu. Sifanyi kazi NHIF ila najua jinsi utaratibu wa kadi za NHIF unavofanyika mavyuoni.

Mwanafunzi akishalipa ile hela (50,400/=) anapewa formu ya kujaza na anabandika picha (passport size).

Zinakusanywa kwa Dean of Students (au muhusika yoyote kutegemeana na Chuo) halafu uyo muhusika ana hakiki majina ya hao waliolipa na form maana mwingine anaweza kusanya tu form bila kulipa.

Akiridhia anapeleka excel yenye taarifa za hao wanafunzi (jina, jinsia, picha, reg no, tarehe ya kuzaliwa etc) NHIF ofisi zao huku akiwa na risiti ya malipo kutokana na idadi ya wanafunzi waliolipiwa.

NHIF watatoa muda kadhaa labda mwezi mmoja au miwili ndio wataanza kutoa izo ID kwa batch.

Sijaona tatizo zaidi kusema labda zinacheleweshwa wangetafuta njia mbadala. Ila kuanzia mwaka wa pili ni easy wana renew tu ile ile kadi hadi atakapo maliza Chuo.

Hii huduma imewasaidia sana wanafunzi ambao walikua hawana kadi kwahiyo tuwapongeze NHIF pamoja na changamoto ndogondogo.
 
Taja jina la Chuo vinginevyo hutapata msaada.Vyuo ni vingi sana na sina uhakika kama uhuni huu unafanywa vyuo vyote.Kama unshindwa kutaja jina la chuo,nenda Takukuru maana inawezekana mmiliki wa Chuo pamoja na baadhi ya watumishi wa NHIF kuna makubaliano haramu wanafanya.
Ila NHIF wakipokea michango huwa hawcheleweshi
Kuna watu wanataka kurudisha nyuma maendeleo ya Mh. Magufuli na kwa hili lazima tuwakatae mapema.

Baadhi ya vyuo wanafunzi wamelipa hela za NHIF kama bima na mpaka sasa hawajapiga picha wala kupewa kadi za bima wengine inakaribia mwezi wa tano sasa

- Ustawi wa Jamii
- Mwalimu Nyerere

Nani anaruhusu kupokelewa hela na kushindwa kuwahudumia wanafunzi?

Kwanini wanafunzi walipe hospitali wakati wameshakata na kulipa kadi ya bima?

Tunaomba msaada wa NHIF please.
 
Mkuu. Sifanyi kazi NHIF ila najua jinsi utaratibu wa kadi za NHIF unavofanyika mavyuoni.

Mwanafunzi akishalipa ile hela (50,400/=) anapewa formu ya kujaza na anabandika picha (passport size).

Zinakusanywa kwa Dean of Students (au muhusika yoyote kutegemeana na Chuo) halafu uyo muhusika ana hakiki majina ya hao waliolipa na form maana mwingine anaweza kusanya tu form bila kulipa.

Akiridhia anapeleka excel yenye taarifa za hao wanafunzi (jina, jinsia, picha, reg no, tarehe ya kuzaliwa etc) NHIF ofisi zao huku akiwa na risiti ya malipo kutokana na idadi ya wanafunzi waliolipiwa.

NHIF watatoa muda kadhaa labda mwezi mmoja au miwili ndio wataanza kutoa izo ID kwa batch.

Sijaona tatizo zaidi kusema labda zinacheleweshwa wangetafuta njia mbadala. Ila kuanzia mwaka wa pili ni easy wana renew tu ile ile kadi hadi atakapo maliza Chuo.

Hii huduma imewasaidia sana wanafunzi ambao walikua hawana kadi kwahiyo tuwapongeze NHIF pamoja na changamoto ndogondogo.
Kwani mtu ukisema unafanyia nhif kuna shida gani?

Hebu tuzipendage kazi zetu jamani
 
Back
Top Bottom