Nashukuru ndg kwa mchango wako. Hiyo bima ilikua NHIF? Na miwani yake jumla ilikua sh ngap kama unafaham tafadharInategemeana na aina ya gharama ya miwani husika, Mara nyingi bima inacover asilimia flani ya gharama yote na kiasi kinachobaki unalipia kwa cash, kuna mtu alilipa 20,000 pamoja na bima yake hapo CCBRT.
Bima nilikuwa NHIF ila gharama ya miwani ndio sikujua. Ila ukienda hospital husika watakupa maelezo yoteNashukuru ndg kwa mchango wako. Hiyo bima ilikua NHIF? Na miwani yake jumla ilikua sh ngap kama unafaham tafadhar
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa nashukuru kwa maelezo yakoGharama za miwani zinalipwa na NHIF kwa mchangiaji tu{Principle member(one pair for a period of 3 years).}
Wale wanufaika wako hawapati huduma hiyo.