yahoocom
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 331
- 379
Ndg husikeni na mada tajwa tafadhar; mimi ni mwanachama wa mfuko wa bima wa nhif; miwani yangu imeharibika ngependa kupata nyingine kwa kutumia nhif yaani wanilipie gharama ya miwani. Nnaomba mwenye uelewa wa nini natakiwa kufanya anisaidie tafadhar nauliza hivi kwani huu mfuko wa bima huwa sio assured sana. Natanguliza shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app