NHIF unaweza dhamini manunuzi ya miwani ya macho?

NHIF unaweza dhamini manunuzi ya miwani ya macho?

yahoocom

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
331
Reaction score
379
Ndg husikeni na mada tajwa tafadhar; mimi ni mwanachama wa mfuko wa bima wa nhif; miwani yangu imeharibika ngependa kupata nyingine kwa kutumia nhif yaani wanilipie gharama ya miwani. Nnaomba mwenye uelewa wa nini natakiwa kufanya anisaidie tafadhar nauliza hivi kwani huu mfuko wa bima huwa sio assured sana. Natanguliza shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemeana na aina ya gharama ya miwani husika, Mara nyingi bima inacover asilimia flani ya gharama yote na kiasi kinachobaki unalipia kwa cash, kuna mtu alilipa 20,000 pamoja na bima yake hapo CCBRT.
 
Nashukuru ndg kwa mchango wako. Hiyo bima ilikua NHIF? Na miwani yake jumla ilikua sh ngap kama unafaham tafadhar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua tofauti ya mtu aliyejuinga nhif private na yule wa kwenye taasisi ktk wepesi wa kupata huduma.
 
Back
Top Bottom