Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 884
- 376
Mimi nipo kahama wanasema nilienda kwema hospital wakaniambia huduma za kawaida natumia nhif kama ni utrasound gharama yake 10000 sijui kwa nini wanafanya hivyo
AGA KHAN hawajui NHIF ni mdudu ganiNHIF inalipa kila kitu hata private hospitals zote zinazotumia.